TANESCO yatangaza tarehe kuanza kutumia mita zisizohitaji kuingiza ‘token’

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.

Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa likiulizwa mara kwa mara lakini majibu yake yataanza kuonekana mwaka mpya wa fedha wa serikali.

“… ukinunua umeme, kama king’amuzi, pale pale kwenye simu yako unawaka, lakini hadi tuwe na smart meters ambazo zitaanza mwezi wa saba,” amesema Chande.

Jambo hili limekuwa kilio cha wananchi kwa muda mrefu wakitaka kuwepo mfumo ambao utawawezesha pindi wanaponunua umeme kwenye simu zao, wasilazimike kwenda kwenye mita zao kuingiza namba.

Hata hivyo, licha ya kuwa Chande hajaeleza, ‘smart meters’ ambazo zimeanza kutumika katika nchi nyingine zina uwezo wa kurekodi taarifa mbalimbali za mwenendo na utumiaji wa umeme, ili kumuwezesha mteja kuboresha matumizi yake.

Pia, soma;

1). Story of Change - Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

2). Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?
 
Jambo hili limekuwa kilio cha wananchi kwa muda mrefu wakitaka kuwepo mfumo ambao utawawezesha pindi wanaponunua umeme kwenye simu zao, wasilazimike kwenda kwenye mita zao kuingiza namba.

Swahili Times
Hiki ndio Kilio cha muda mrefu?

Sio mgao na Gharama za Umeme na kutokuwa na umeme wa Uhakika ?

Labda naishi Tanzania Tofauti na huyu Bwana....
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.

Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa likiulizwa mara kwa mara lakini majibu yake yataanza kuonekana mwaka mpya wa fedha wa serikali.

“… ukinunua umeme, kama king’amuzi, pale pale kwenye simu yako unawaka, lakini hadi tuwe na smart meters ambazo zitaanza mwezi wa saba,” amesema Chande.

Jambo hili limekuwa kilio cha wananchi kwa muda mrefu wakitaka kuwepo mfumo ambao utawawezesha pindi wanaponunua umeme kwenye simu zao, wasilazimike kwenda kwenye mita zao kuingiza namba.

Hata hivyo, licha ya kuwa Chande hajaeleza, ‘smart meters’ ambazo zimeanza kutumika katika nchi nyingine zina uwezo wa kurekodi taarifa mbalimbali za mwenendo na utumiaji wa umeme, ili kumuwezesha mteja kuboresha matumizi yake.

Swahili Times
Cc watu wavivu sanaaa,kuingiza umeme nayo changamoto kwetu
 
Labda ndio maana wanaona wakate kate kila wakati ili kupunguzia watu usumbufu wa kujaza token.....

Huyu jamaa angeelezea faida za Smart Meter ambazo huenda ni zaidi ya usumbufu wa kujaza....., mfano labda kuepuka upotevu wa pesa na njia rahisi ku-monitor matumizi ya watu na sio kuleta hizi hadithi (Pia sio vibaya tujue tunaigharamia kiasi gani hizi Mita Janja)
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.

Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa likiulizwa mara kwa mara lakini majibu yake yataanza kuonekana mwaka mpya wa fedha wa serikali.

“… ukinunua umeme, kama king’amuzi, pale pale kwenye simu yako unawaka, lakini hadi tuwe na smart meters ambazo zitaanza mwezi wa saba,” amesema Chande.

Jambo hili limekuwa kilio cha wananchi kwa muda mrefu wakitaka kuwepo mfumo ambao utawawezesha pindi wanaponunua umeme kwenye simu zao, wasilazimike kwenda kwenye mita zao kuingiza namba.

Hata hivyo, licha ya kuwa Chande hajaeleza, ‘smart meters’ ambazo zimeanza kutumika katika nchi nyingine zina uwezo wa kurekodi taarifa mbalimbali za mwenendo na utumiaji wa umeme, ili kumuwezesha mteja kuboresha matumizi yake.

Pia, soma;

1). Story of Change - Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme
hao wakurugenzi sijui wanapataje hizo nafasi, eti kilio cha mda mrefu, kilio cha mda mrefu ni umeme kukatika katika kila mra na kila sekunde hadi kero vifaa vya watu vinaungua hakuna pa kwenda kulalamika ni shida,hadi mitaani vitoto na watu wazima vimekuwa majizi ukikata utawasikia aaahhhhh ukirudi huooooooooooo maisha yanaendelea. ''sijui tunaandaa kizazi gani cha baadaye'' dah hili jamaa sijui ni maharage ya wapi
 
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kwamba kuanzia Julai mwaka huu litaanza kutumia ‘smart meters’ za umeme, ambapo mteja akinunua umeme utaingia moja kwa moja na umeme utawaka.

Maelezo hayo yametolewa na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande akisema kwamba suala hilo limekuwa likiulizwa mara kwa mara lakini majibu yake yataanza kuonekana mwaka mpya wa fedha wa serikali.

“… ukinunua umeme, kama king’amuzi, pale pale kwenye simu yako unawaka, lakini hadi tuwe na smart meters ambazo zitaanza mwezi wa saba,” amesema Chande.

Jambo hili limekuwa kilio cha wananchi kwa muda mrefu wakitaka kuwepo mfumo ambao utawawezesha pindi wanaponunua umeme kwenye simu zao, wasilazimike kwenda kwenye mita zao kuingiza namba.

Hata hivyo, licha ya kuwa Chande hajaeleza, ‘smart meters’ ambazo zimeanza kutumika katika nchi nyingine zina uwezo wa kurekodi taarifa mbalimbali za mwenendo na utumiaji wa umeme, ili kumuwezesha mteja kuboresha matumizi yake.

Pia, soma;

1). Story of Change - Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme
Juzi tu wametuuzia mita za remote
 
  • Thanks
Reactions: MCN
Nasoma comments za wadau hapa 😂😂😂
Hi Nchi kuna asilimia ya mijitu yake Ni mipumbavu Sana,Wao kila jema kwao baya kenge Hawa, wanatakaje sijui, angalia eti wanapinga kuwa huo Ni upuuzi eti TANESCO hiachanenao,
 
Back
Top Bottom