Tarehe ya leo (22.02.2022) ni "rare palindrome"

Makanyaga

JF-Expert Member
Sep 28, 2007
10,315
6,845
Tarehe ya leo 22.02.2022 ni "rare palindrome", inasomeka sawa kote kote kutoka kulia kwenda kushoto, au kutoka kushoto kwenda kulia, na ni ya mwisho kwenye muongo huu wa 2020-2029. Nyingine itakayofuata ni ya mwaka 2030, ambayo itakuwa tarehe 03.02.2030

Soma pia hapa:

MUBARKIWE TENA NA BWANA
 
PEPSI = IS DED

NB: Wachawi, washirikina, waganga na individuals wavivu wasiopenda kujishughulisha ili kupata vipato, wanaamini sana katika ^goodluck^ za tarehe fulani au namba fulani. This is very close to occultism, spiritualism and IDOLATRY.
 
Dah
 
PEPSI = IS DED; this is not a palindrome!
 
Back
Top Bottom