tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanganyika ilipata uhuru wake 09 Dec 1961. Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ tukajitwalia uhuru wetu tarehe 17th March 2021

    Kuna mahali nchi ilipita kwenye bonde la uvuli wa mauti. Matajiri wakaambiwa wataishi kama mashetani, masikini wakaambiwa watalimia meno. Nchi ikakosa furaha, kiwango cha huzuni kikawa kikubwa na kutamalaki hadi nchi jirani. Unyama na ukatili tu, uliwaendea hadi vifaranga na ng'ombe. Ni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 27/01 kuwa mwisho wa korona ?

    Kwa taarifa zilizopo mpaka sasa inasemekana linalojiita shirika la afya Duniani(WHO) linatarajiwa kutangaza mwisho wa janga la korona huko Davos, uswizi siku ya January 27
  3. JamiiForums Tanzania 21/01/2023 CHADEMA walifanya uzinduzi wa mikutano, baada ya hapo ratiba ya mikutano itafuata

    Wengi wanadhani Chadema walianza rasmi mikutano yao hapana, baada ya uzinduzi huo kitakachofuata ni ratiba rasmi ya mikutano na ndiyo itakayotoa huenda yote wanayoyatarajia watanzania kulingana na itakavyofanyika. Kuna watu wanaodhani kwenye uzinduzi utaongelea matatizo yote ya nchi, hapana...
  4. JamiiForums Tanzania Mkeka walioitwa kwenye usaili uhamiaji tarehe 28 Januari 2023

    Orodha ya majina walioitwa kwenye usaili wa ajira konstebo 500 haya hapaaa Ndugu zangu
  5. JamiiForums Tanzania Kama Musonda akiingia katika Mfumo na akacheza pamoja na Mayele tarehe 9 April 2023 nitajificha kwa Aibu ya Kufungwa nyingi

    Kuna Watu nawashauri mapema tu kwakuwa nimeshaona hawana Mabeki wa Kuwazuia akina Mayele na Musonda hiyo tarehe 9 April, 2023 basi GENTAMYCINE nawashauri kuanzia leo wakirejea kutoka Kuzurula na kupoteza muda na Pesa kwa Mwarabu wawatafute Waganga wazuri wa Kienyeji wa Kuwazuia Washambuliaji...
  6. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Halotel wanafanya wizi wa kutisha kwenye bundle za wateja kuanzia leo saa 6 mchana tarehe 05.01.2023

    Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha. Kwa MB 490 ukiangalia video...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iweke bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15

    Serikali ichukue huu ushauri itakuja kunishukuru. Ipange (plan) bajeti ya kuwalipa watumishi wa umma kias cha pesa kila tarehe 15. Wakati ambapo watu wengi mfukoni hawana kitu Chochote. Lakini pia itakuja kukata kiu ya dai la Muda mrefu, nakumbuka nilisikia ushauri huu unatolewa tangu miaka na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

    Bwana Yesu asifiwe? Bila shaka asilimia 70 ya watanzania wamchao Mungu, muda huu wenye tvs watakuwa live kufuatilia kongamano kubwa la VUKA NA CHAKO ikiwa ni maono ya mtumishi Boniphace Mwamposa yenye maudhui ya kuupokea mwaka mpya ukiwa tayari umeshapokea Baraka, uponyaji, Rehema na Mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

    Mama tokea tarehe 28.11 haujapata hata lepe la usingizi mpaka leo. Moja ya 'wisemen' wa rais alimtonya mama akamwambia, "hivi mama unajua kuwa hilo daraja la Kibiti ungeamua kujenga madarasa basi ungepata madarasa 350 kwa kutumia force account, ambazo ni sawa na shule 18 za kuanzia" Mama kidogo...
  11. JamiiForums Tanzania Mgao wa Umeme; Kati ya Tarehe 1 - 29 Novemba ametumia Shilingi Milioni 15 kuwasha Generetor

    Hakika kila kitu kitapanda bei. Hapa kwenye biashara ya rafiki yangu ananambia ametumia milion 15 za kuwasha Generator kati ya Nov 1-29. Umeme wa kawaida huwa wanatumia milion 5 tu kwa mwezi. Sasa anafikilia kupandisha bei kama hari ikiendelea hivi na mwezi huu. Ila anaogopa kupoteza wateja...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Tarehe ya Uchaguzi Mkuu Simba SC kutangazwa, tegemeeni Simba SC Kushinda mfululizo hadi January 2023

    Baada ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu wa Simba SC Kutajwa rasmi leo kuwa ni January 2023, tegemea kuanzia sasa kuiona Klabu ya Simba ikishinda tena kwa Kishindo kabisa Mechi zake zote. Ni kwamba karibu Wagombea Wote (Watamani Uongozi ndani ya Simba SC) ndiyo wamekuwa Wasaliti Wakuu wa Matokeo ya...
  13. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka mgeni rasmi " The Big Praise Concert " FPCT Kurasini

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana, Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
  14. JamiiForums Tanzania Kuanzia tarehe 20/12 mtapata kuku wa nyama kwa bei poa kabisa

    Wadau wangu wa nguvu, kwa wale wa Morogoro, kwa shilingi 12,000 pekee utapata kuku wa nyama kuanzia mwezi wa 12 kuanzia tarehe za 20 karibu karibu na Christmas ๐ŸŽ„. Tupeane ka support hapo. Wasiliana na Mimi kupitia (WhatsApp and normal) +255 743 016 950
  15. JamiiForums Tanzania Mualiko kwa wana JamiiForum: Tarehe 12/12/2022 tutakuwa na Mawlid ya Mtume Muhammad (S.A.W) hapa BAKIIF ISLAMIC

    ุงู„ุณูŽู‘ู„ุงูŽู…ู ุนูŽู„ูŽูŠู’ูƒูู…ู’ ูˆูŽุฑูŽุญู’ู…ูŽุฉู ุงู„ู„ู‡ู ูˆูŽุจูŽุฑูŽูƒูŽุงุชูู‡ู Kama mjuavyo uislamu sio dini ngumu, thamani ya Biriani, Pilau na Ubwabwa, viliwe katika mjumuiko wa kheri ambao MUNGU anauridhia, hivyo tunachukua fursa hii kuwatangazia waislamu wote wa JamiiForum kwamba Tare 12/12/2022 siku ya Jumamosi saa...
  16. JamiiForums Tanzania Tarehe 17/11/22 nitaongoza Ibada ya kuombea mvua. Wote mnakaribishwa

    Heshima kwenu wanajamvi. Mimi Ngongo pamoja na Katibu wangu tarehe 17/11/2022 nitaongoza Ibada ya maombezi kuombea mvua inyeshe sehemu kubwa ya JMT. Hapatakuwa na sadaka ya kuteketezwa wala sadaka kama zile za Mwamposa, Kakobe, Mzee wa Upako aka Bapa. Baada ya maombezi mazito natarajia tarehe...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 naomba anisaidie

    Waraka Na. CCB.228/271/01 wa tarehe 7 Agosti, 2012 Tafadhali, kwa yeyote mwenye waraka huo au anayejua maudhui yake naomba anisaidie Waraka huo unazungumzia: Utaratibu wa kuomba Kibali cha kurejea katika Utumishi wa Umma Mara nyingi nafasi za ajira serikalini zinapotoka zinawataka "waombaji...
  18. JamiiForums Tanzania Movie ya Rango ilitabiri huu Mgao wa maji na Umeme utaisha lini

    Kuna watu wanahisi huu mgao labda ni kitu cha muda mfupi, yani labda by December mambo yatakuwa shwari. Hii imenikumbusha ile scene ya movie ya Rango ambapo Rango anakutanishwa na Mayor wa kijiji cha Dirt kwa mara ya kwanza. Kijiji cha Dirt kimekuwa kina shida ya ukame na watu hawana maji kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Mvua zitaanza kunyesha Kuanzia tarehe 18 Mpaka 26 Mwezi huu ingawaje hazitakuwa nyingi

    MVUA ZITAANZA KUNYESHA KUANZIA TAREHE 18 MPAKA 26 MWEZI HUU INGAWAJE HAZITAKUWA NYINGI Anaandika, Robert Heriel, Mwanajiografia Hali ni Tete Kwa sehemu ya nchi kuwa na uhaba wa mvua. Hii ni kusema kuna janga la ukame kinaendelea. Kijiografia Mvua zilipaswa zianze mwezi mmoja baada ya jua...
  20. JamiiForums Tanzania TP Mazembe 8-0 Club Africain, tarehe 02 February 2019

    Mwaka 2019 tarehe kama ya kesho mwezi wa pili timu ya club africain kutoka nchini Tunisia ilipigwa nane bila na timu ya TP Mazembe pale mjini Lubumbashi nchini Congo DRC katika uwanja wa Stade TP Mazembe. Hivi nawaomba mashabiki wa mikia aka makolo kama Gentacymine waache kimbele mbele kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ