tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Senegal akubali kubadili tarehe ya Uchaguzi Mkuu baada ya shinikizo la Maandamano

    SENEGAL: Rais Macky Sall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya Uchaguzi Mkuu kutoka Desemba 15, 2024 hadi Machi 24 kutokana na maandamano yanayomtaka kuheshimu muda wake wa kuondoka madarakani. Awali Rais Sall anayetakiwa kumaliza kupindi cha utawala wake kwa mujibu wa Katiba ifikapo Aprili...
  2. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya Wanawake wilaya ya Mbogwe za tarehe 7/3/2024 bado takwimu za unyanyasaji wa kijinsia zipo juu

    Wilaya ya Mbogwe Leo inaadhimisha siku ya Wanawake Duniani chini ya kaulimbiu " WEKEZA KWA WANAWAKE KUHARAKISHA MAENDELEO YA TAIFA NA USTAWI WA JAMII" huku takwimu za unyanyasaji zikionesha wanawake waliofanyiwa unyanyasaji na kutoa taarifa zikiwa 1309 na wasichana zikiwa 50. Taarifa...
  3. JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  4. JamiiForums Tanzania Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya hospitali binafsi zilizotangaza kutotoa huduma kwa wateja wa NHIF kuanzia 1/3/2024

    Baadhi ya hospital binafsi zimeshaweka matangazo kama yanavyosomeka hapo juu Nini sulihisho la hili?tiririka ili serikali ipate madini na kuyafanyia kazi inawezekana kabisa hawajui nini cha kufanya kunusuru hilo suala nyeti la afya.
  7. G

    JamiiForums Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kuzikwa tarehe 2 badala ya siku ya kesho ndani ya masaa 24 ni kukiuka mazishi ya kiislam. Napendekeza ratiba ibadilishwe

    Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi kafariki saa 11 na nusu jioni ya leo tarehe 29/2/2024 hivyo kwa taratibu za kiislam inabidi azikwe kesho 01/03/2024 kabla ya saa 11 na nusu jioni, ikipendeza zaidi ilibidi iwe kesho asubuhi au mchana Imepokewa kutoka kwa Abu Hurayra رضى الله عنه akisema: Amesema...
  8. JamiiForums Tanzania Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

    Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu. Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa. Nimemaliza.
  9. JamiiForums Tanzania Natangaza tarehe 01/03/2024 iwe siku ya mandamano ya kukataa mgawo wa umeme Tanzania

    Kiukweli wanaichi tumechoka mbona magufuri aliweza kumaliza tatizo hili na mvua zilikuwa za mapicha picha ila mgao haukuwepo Wadau karibuni kwa mawazo tuanzie wapi tuishie wapi
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA tafakarini kama maandamano ya Februari 15 ni sahihi

    Taifa lipo katika msiba, huu ni msiba wa kitaifa na nyinyi mnataka maandamano, je mpo sahihi? Sisi kwa kanuni za kiusalama hampo sahihi na hatuungi mkono uvunjifu wa Amani, na pia hatuwezi ruhusu tarehe 15 mtaniambia nipo hapa. TUKUTANE MONDULI MIMI NATANGULIA LEO Pia soma - Mbowe...
  11. JamiiForums Tanzania Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kuna nini katika tarehe 17 February?

    Aliyekuwa mgombea Urais na hatimaye kuwa Rais John Pombe Magufuli alifariki tarehe 17/3/2021. Aliyekuwa mpinzani wake 2015 Edward Lowassa ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu Edward Lowassa naye atazikwa tarehe 17/02/2024. Na wakati huo msafarawa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Paul Makonda...
  13. JamiiForums Tanzania Ratiba: Lowassa kuzikwa kwao Monduli tarehe 17/02/2024

    Hii ndio Taarifa ya sasa kuhusiana na Msiba huo Hii ni kwamba Maombolezo ya kitaifa ya siku 5 yataisha kabla hajazikwa. ==== Mwili wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa unatarajiwa kuzikwa Februari 17, mwaka huu kijijini kwao Ngarash wilayani Monduli Mkoa wa Arusha. Lowassa amefariki...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Poland kuwasili nchini kwa ziara ya siku mbili tarehe 8-9 February 2024

    Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda Rais wa Jamhuri ya Poland, Andrzej Duda anatarajiwa kuwasili nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku mbili kuanzia tarehe 8-9 February, 2024. Mh. Duja atawasili nchini tarehe 8 February, 2024 akiambatana na mwenza wake Bi. Agata Kornhauser-Duda na atapokelewa...
  15. JamiiForums Tanzania Karibu sana Mwenezi Paul Makonda ndani ya Songwe

    Wananchi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Songwe wanatarajia kumpokea Katibu Mwenezi Taifa ndugu Makonda kuanzia hapo kesho tarehe 06/03-2024. Ukiwa kama mkazi wa Mkoa huu wenye fursa nyingi,unakaribishwa kuhudhuria mikutano ya mwenezi wetu taifa. Karibuni sana,Kidumu chama cha...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la uhaba wa sukari kujirudia kila mara na kuyumbisha bei sokoni, nini suluhisho la kudumula kutatua tatizo hili?

    Jana kulikuwa na malumbano ya hoja ikihusu TATIZO LA UHABA WA SUKARI KUJIRUDIA KILA MARA NA KUYUMBISHA BEI SOKONI, NINI SULUHISHO LA KUDUMULA KUTATUA TATIZO HILI? Waalikwa walikuwa kutoka Bodi ya sukari, kutoka Wizara ya Kilimo na wote waliingia mitini. Yaliyozungumzwa pale yanatisha. Kumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Februari 1, 2024, ahadi ya SGR kuanza safari yayeyuka. CCM waongo sugu

    Leo ni tarehe Mosi Februari 2024. Tuliambiwa na Mhe. Waziri Mbarawa kuwa safari za treni mwendokasi kati ya Dar na Moro kuanza January 24..... Je, tuendelee kuwaamini CCM kuwa wana nia njema na nchi hii? Wapo bize kupitisha miswada inayokandamiza haki za raia. Na hawajali changamoto...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  19. JamiiForums Tanzania Kabla hatujaingia barabarani kuandamana leo tarehe 24 Januari hebu tutafakari jambo hili

    2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa. Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo. So far viongozi wa ngazi ya juu CHADEMA waliahidi kutokushiriki uchaguzi mkuu wa 2020 endapo kasoro kama zile au...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi watoa kibali cha maandamano kwa CHADEMA. Wawasisitiza viongozi kuepuka vitendo vya uvunjifu wa amani

    SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…