tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Simba mnaweza Kujifunza kwa Kilichomkuta Kaizer Chiefs Leo, ila kwakua nyie ni sikio la kufa subirini tarehe 8

    Habari Hongera na weekend! Nianze hivi kilichomkuta Kaizer sio kusema kanunuliwa sio kusema sijui ana udhamini wa GSM ni kapigwa Mpira unaitwa Kosa Kujisahau tu. Kwa wasiojua Kaizer Alienda Pre season nje ya Sauzi na tangu atangazwe NABI alikua hajapoteza huko Pre-Season yani ilikua full dozi...
  2. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Yanga anaanda kikosi Cha CAFCL, niwatoe hofu Simba tarehe 8 leteni timu msiogope Wala Yanga hawana tatizo na nyie, sisi ni ndugu

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Nikimnukuu kocha wa Yanga alichosema baada ya kumalizika mchezo huko Kwa Madiba Gamondi "You know Yanga & Simba are friends,so here in South Africa I prepare my team because of CACL,iam not here for Simba,So let I assure the Simba fans, we're brothers...
  3. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Simba hakikisha unavaa SANDA yako tarehe 8

    Hongera sana boss MO na Sandaland kwa kutengeneza sanda janja (smart sanda). Tarehe 8 Simba itaandika historia mpya kuwa timu yakwanza kufa kwa bao 10 bila kwenye mechi za ngao ya jamii. Kwa kulitambua hilo, maboss wameandaa sanda kwa kila shabiki na mwana chama ili kupunguza gharama za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba niulize hivi 4 R zilianza tarehe ngapi na mwezi upi hapa Tanzania?

    Naenda kwenye maada Moja Kwa Moja hivi 4R za mama Samia chimbuko lake na zilianza kutumika lini hapa Tz. Ahsante naomba kuwasilisha
  5. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Tarehe 8 msipoleta timu tunawafuata huko huko Bunju

    Nyie sinamzijua sana kejeli? Nyie si mna midomo? Nyie si mmesajili mnauhakika? Tarehe 8 . 8 ni siku kuu ya wakulima hivyo siku hiyo tutahakikisha msipoleta timu uwanjani tutawafuata huko huko Njubu na tutawapeni ZAWADI za matikiti kabla hayajadondoka Ili mzipelekee familia zenu! Ubuyu Ubwete!
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Maandamano mapya tena tarehe 16 mwezi wa 7 huko Kenya

    Ruto anapata wakati mgumu wakenya wamepanga tena maandamano siku ya Jumanne ambayo tarehe 16 mwezi huu. Lengo ni kuondoka madarakani Ruto si vingine hata abadilishe nini?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30/06/2024ni Killed Cha Maadhimisho ya Kupinga utengenezaji, utumiaji na usambaji wa madawa ya kulevya.

    Tukio ilo kitaifa litafanyika mkoa wa MWANZA Mh Waziri Mkuu atakua mgen rasmi wa jambo hilo kwenye uwanja wa Nyamagana.Brudan zitaanza saa 12:00 Karibuni sana.
  8. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania KESHO TAREHE 27 GENERATION Z WANATIMIZA TAKWA MOJA LILILOBAKI!.

    Wakuu Heshima mbele! Nilisoma yale ambayo Generation Z waliyasema na yote wameyatekeleza kwa asilimia 100%. Kesho 27/06 Waandamanaji wamesema watafunga njia kuu ya kuelekea nairobi na kuiteka ikulu kushuhudia ruto akisaini ili kuwafanya kuwa watumwa katika nchi yao. Na uzingatie vijana hawa...
  9. Shammy-

    JamiiForums Tanzania Mimi huyo tarehe 13 july 2024😁

    😁🤸
  10. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi tarehe 15 na 16 Juni,2024

    Ofizi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) zitakuwa wazi siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni,2024 na Jumapili tarehe 16, Juni 2024.
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania IAEA: Iran atakuwa na Bomu la Nuclear Wiki moja kuanzia leo tarehe 27 May 2024

    Hii ndio habari iliyoletolwa leo na Shirika la atomic duniani AIEA. Nuclear ndio silaha ya maangamizi bora kuliko silaha zote zilizowahi kutokea duniani mpaka sasa. Kwa minajili hiyo kwa sasa eneo la mashariki ya kati kutakua na nchi 2 (japo moja ni nchi fake) zenye silaha za maangamizi za...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania HESLB: Fedha za kujikimu (Chakula na Malazi), Wanafunzi kuanza kupokea kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024

    UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE Ijumaa, Mei 17, 2024 Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waitara: Ni sahihi kukusanya kodi ya Serikali kwa njia ya kumwaga damu? (Bungeni Mei 15, 2024)

    https://www.youtube.com/watch?v=Z5YgPiauF-U Hoja Za Serikali: Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Mambo Ya Ndani Ya Nchi Kwa Mwaka Wa Fedha 2024/2025. WAITARA: NI SAHIHI KUKUSANYA KODI YA SERIKALI KWA NJIA YA KUMWAGA DAMU? Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua usahili afisa kilimo daraja la pili kwa Dar unafanyikia wapi tarehe 12/05/2023

    Naomba kujua usahili kada ya afisa kilimo kwa Dar unafanyikia wapi tar 12/05/202411
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jumapili ya leo, tarehe 5,May, M23 yatoa tangazo.

    Huyu amejiita,'Bertrand Bisimwa',kiongozi wa M23,na makamu kiongozi wa AFC ambayo inaongozwa na Cornell Nanga,ambaye ni Political Coordinator na Sultan Makenga ambaye ndie kiomgozi mkuu wa Jeshi la M23. Kwa niaba ya Cornell Nanga na Sultan Makenga anatoa tangazo hili: "Ndugu wananchi wa Congo...
  16. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 📍Tarehe 21/2/2024 Pr Tony Kapola Kwa IG yake Alipost Picha anafungua Buti La gari [Ineos Granadier] Bonge moja la machine twenda pamoja upate kuijua

    Ile gari baada ya kuwaposted ika draw tension ya wapiga kura Maana ilikua chuma ya kitofauti sana. na as Samatime Magari tukaona sio vyema tukawaacha wapiga kura hivi hivi na kiu ya kuijua so ikabidi tuimulike vizuri.. . Hapa MA paratrooper wazee wa kombat huwa wanasema Machine ya Pr...
  17. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 22, Aprili ni Maadhimisho ya Siku ya Dunia

    Siku ya Dunia ni siku inayotengwa kwa ajili ya kuadhimisha masuala yanayohusu mazingira, uhifadhi wa asili, na uelewa wa changamoto za kimazingira zinazokabili ulimwengu wetu leo. Kila mwaka, tarehe 22 Aprili, watu duniani kote hushiriki katika shughuli mbalimbali kama vile kufanya usafi wa...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024 Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ. Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
  19. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya hewa jijini simba anashinda mechi ya kesho tarehe 20.4.2024

    Wasalam Kwa jinsi mvua inavyochapa hapa mjini Wanasimba tuanze kabisa kushangilia kuwa kesho tunapata ushindi na kufufua matumaini yetu ya kuwa mabingwa msimu huu Historia inaonyesha Simba anajua kucheza na kipindi cha mvua na huwa anaifunga timu ya Yanga KESHO ANAKUFA MTU.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulioko Kampala Uganda tunakutana wapi Jumamosi tarehe 20 April, 2024 kuitizama Derby ambayo nimehakikishiwa kuna Watu hawatoamini kabisa?

    Nitakuwa natokea maeneo Kololo karibu kabisa na ulipo Uwanja wa Ndege ( hasa Helicopter za Kijeshi na ya Mheshimiwa Rais kwa sasa ) wa Kololo Airstrip, hivyo kwa Watanzania mliopo hapa Kampala Uganda tafadhali nipeni tu ramani la Chimbo ambalo wengi wenu mtakuwepo Siku hiyo ili nami GENTAMYCINE...
Back
Top Bottom