tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Kalenda hii inaonesha kesho ni tarehe 32/10/2024

    Hii taasisi imetoa kalenda na kesho ni 32/10/2024 Nini maoni yako?
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU leo tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku

    TANESCO kufanya Maboresho ya miundombinu ya Mfumo wa LUKU siku ya Jumatatu tarehe 21/10/2024 kuanzia saa 5:59 usiku hadi saa 9:00 usiku wa kuamkia Jumanne. Shirika limewahimiza wateja wake wote kununua umeme wa kutosha mapema nje ya muda wa maboresho ili kuepuka usumbufu unaoweza kujitokeza...
  4. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawakujifunza Septemba 23?

    Chadema ni lini watapata funzo kuwa wananchi hawataki upuuzi wa maandamano basi wameshindwa kutumia njia mbadala kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha wanaBwaza upuuzi kila kukicha usio na mafanikio!
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Tarehe 19 tunacheza na timu kubwa iliyotuzidi makombe 8.

    “Tarehe 19 tunaenda kucheza mechi na mkubwa wetu ambae ametuzidi mwaka mmoja wa kuzaliwa na anatuzidi makombe🏆🏅 nane 8 ya ligi, hii ni mechi ambayo inabeba taswira ya soka letu la tanzania.
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Updates za Paris Motor Show 2024 (Tarehe 14 - 20 October)

    Paris Motor Show ni moja ya maonyesho makongwe ya magari (tokea mwaka 1898) yanayofanyika kila baada ya miaka miwili, ambapo makampuni mbalimbali ya magari yanaonesha magari yao mapya, concepts, teknolojia na vitu vingine vinavyohusiana na magari. Kwa mwaka 2024, zaidi ya makampuni ya magari...
  7. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Wala sina wasiwasi na Simba hii tarehe 19.10.2024 anamshinda yanga sio chini ya magoli 2.

    Hapo vip!! Kifupi ni hivi Simba ni bora na ipo kwenye ubora hivyo mechi ya sara ya jana haiwezi kuiyondoa Simba sc kwenye ubora wake ulionao msimu huu. Nakuhakikishia tarehe 19.10.2024 Simba atamfunga yanga magoli mengi na hayawezi kupungua 2,nimawili kuendelea. Admin naomba usave hii post kwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hans: Simba wakipoteza mchezo wa tarehe 19 (Derby) hapo ndio basi tena

    "Matokeo haya ya Simba dhidi ya Coastal Union yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana, kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyo….lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo). Mnaweza kusema...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Tarehe 03 October siku ya Boyfriend Duniani

    Siku ya ‘Boyfriend Day’ huadhimishwa kila Oktoba 03 ya kila mwaka. Ni siku inayotumiwa na watu kuonesha upendo na shukrani kwa wapenzi wao wa kiume.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Kachukueni fomu mapema, msisubiri tarehe 1 itakula kwenu "Tuwe Wajeuri, Watu Jeuri Watashinda Uchaguzi”

    Tundu Lissu awafunda watia nia wa nafasi ya Uongozi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa akiwa Jimboni Kibamba katika Semina iliyofanyika Kata ya Kawe na kuwataka kutofanya makosa ambayo yatasababisha kupoteza kwenye Uchaguzi unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Lissu amewataka Watia nia...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tarehe 30/9 ni siku ya tafsiri duniani. Chukua zawadi yako

    Kila mwaka tarehe 30/9 dunia inaadhimisha siku ya Tafsiri duniani. Siku hii ilianzishwa ili kumuenzi Mtakatifu Jerome aliyefariki tarehe 30/9/420. Huyu alifanya kazi kubwa ya kufasiri biblia na hujulikana kama baba wa watafsiri/wafasiri. Chukua zawadi yako hapo. Usisahau kuinstall app ya...
  12. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze; Kuomba/Kupanga tarehe maalum ya maandamano ni sawa na Kinjekitile kumuomba Mjerumani ruhusa ya vita!

    Kinjekitile: mheshimiwa Gavana Tunaomba tuandamane Gavana: Oh karibu Kinjekitile: Ahsante, kama ulivyosikia, tunataka tuandamane Gavana: Bwana Kinje, kwanini Mnataka kuandamana? Kinjekitile: Tumechoka kuwa Watumwa...
  13. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024

    Wakuu mimi bado masikini,nipo napambana najitafuta.Kwa muda mrefu nimejichanga kutafuta ka mtaji nikapata. Nikatafuta kasehemu nikafungua local grocery,yani ni ya kawaida sana.Biashara ikaanza kwa mwitikio mzuri tu si haba. Siku kadhaa baada ya kuanza,mama mwenye nyumba ambaye anaishi hapohapo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA imeonekana nchi nzima na hofu ya vyombo vya dola ni kubwa sana. Je huu ni ushindi kabla ya mechi?

    Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania. Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maandamano ya Maombolezo Septemba 23: Je, Mamlaka Zimejiandaa?

    Kuna kila dalili kwamba maandamano yatafanyika, lakini ni kwa ukubwa gani ni ngumu kutabiri. Kwa wiki nzima hii, kamata kamata imekuwa kubwa sana, hadi vibaka na wezi wameamua kuchukua likizo ya muda. Tumeshuhudia pia maandalizi makubwa ya polisi wa kutuliza ghasia, polisi wa sare, na...
  16. mirindimo

    JamiiForums Tanzania USHAURI : CHADEMA IHAMISHE LOCATION YA MAANDAMANO HALAFU ISOGEZE TAREHE

    Nashauri Chadema isogeze mbele halafu itoe location mpya watu wasafiri wakaungane huko wawaache askari na farasi na magari yao Dar waendelee na mkutano na maadhimisho ya Amani
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz kuisimamisha nchi kuachia wimbo wa kimataifa tarehe 23 September 2024

    Msanii namba moja Africa na mfanyabishara millionea Diamond Platnumz siku ya jumatatu 23 September 2024 ataachia wimbo mkali sana level za kimataifa. Kwa sasa watanzania wote macho na masikio wameelekeza kwenye ujio huu wa diamond unaokuja kikubwa. Je ni wimbo upi ataachia holiday au upi...
  18. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo route itakayotumika katika maandamano ya 'Samia Must Go' tarehe 23/09/2024

    Haya shime wale tunaoitakia mema nchi yetu tuungane sote kupaza sauti zetu, ili kukemea maovu ya serikali ya Samia. Maandamano ni haki yetu kikatiba, Tupo tayari hata ikitupasa kufa kwa ajili ya nchi yangu. Tukutane Magomeni
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Katika Hali isiyo ya kawaida FFU waanza shamra shamra huku mjini posta wanazunguka zunguka kabla ya tarehe 23 yenyewe

    Aman iwe nanyi wana wa MUNGU Katika Hali isiyo ya kawaida kabisa huku mjini posta FFU wanatembea kama kumbi kumbi na magari yao Kilichonishangaza zaidi ni silaha walizobeba, silaha hizi nazionaga kabeba myahudi kwa ajili ya kuwaulia magaid wa hamasi nimeshangaa sana FFU wakiwa wanalinda...
  20. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Freeman Mbowe asitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23

    Nimeona video ikizunguka kwenye mitandao ya Kijamii ikonesha kuwa jioni ya leo, mwenyekiti wa CHADEMA amesitisha maandamano yaliyokuwa yafanyike Septemba 23
Back
Top Bottom