Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Nimegundua kwamba Mwanza kuna wanawake wengi Sana, Wazuri na sio Malaya, wasio na alama za weusi katikati ya mapaja. Hawajatumika sana. Na kikubwa zaidi wana " Jasho" Zuri. ( Jasho la mwanamke ni nini katika ulimwengu wa roho? A topic for another day)
How did I know that about Mwanzanian women...
Kuna watanzania wanamkataa Yesu Kristo, Lakini Wanaishi kwa kufuata mfumo wa Tarehe Yake ya kuzaliwa
Ni ajabu, dunia inavyojikanganya. Watu wengi wanakana kuwepo kwa Yesu Kristo, wanabeza mafundisho yake, na wanajifanya hawamwitaji. Lakini kila siku wanathibitisha kuwa maisha yao bado...
Simba SC tafadhali sana nawaomba chonde chonde msiingie katika huu Mtego wa Kiufundi na Kabamba ambao Yanga SC waliuanza na bado wanaendelea nao mpaka leo kuwa HAWATOCHEZA MECHI YA MARUDIANO na Simba SC baada ile ya tarehe 8 Machi, 2025 Kuahirishwa.
Taarifa za uhakika ambazo leo hii GENTAMYCINE...
NA MUITA KRISTO BWANA ATAKAYE NI HUKUMU , ASHUHUDIE KWAMBA KURA YANGU IMETOLEWA KWA YULE AMBAYE KULINGANA NA MUNGU NAAMINI ANA FAA KUCHAGULIWA.
Hayo ni maneno ambayo kila kadnali anayerusiwa kupiga kura ya kumchagua Papa hutamka mbele ya altare akiwa amesimama na karatasi ya kura yake kabla...
Tarehe rasmi ya mchezo ilikuwa 8, Busara zikatumika kumkimbia Pacome, Sasa mnalazimisha Busara isitumike kumpatia Yanga haki yake na kumlazimisha kucheza hiyo June 😀 Mna akili timamu kweli? Kateni hizo alama shusheni hata Ligi ya Mkoa HATUCHEZI!
Semguto, Jaribu tena na Karia watacheza 🤝
Hili limenishtua sana. Tarehe ya fainali ya pili ya Simba vs RS Berkane ambayo timu inakabidhiwa kombe ni tarehe 25-05-2025.
Mimi siyo mnajimu ila hizi namba kama zinakujakuja hivi. Embu ngoja nizichimbe zaidi nione zina nini ndani yake. Kwa kuanzia, code ya Tanzania ni 255.
Utabiri wangu wa...
Hii ni aina ya Fixed Income Security, yaani Serikali inakukopa pesa yako leo na Inakuahidi malipo ya riba ya kudumu (fixed 14% kwa mwaka), Na baada ya miaka 10, inakurudishia mtaji wako wote.
Riba ya 14% inabaki ile ile kwa miaka yote 10 bila kujali kama hali ya uchumi itabadilika — iwe mfumuko...
Au bado wanauguza majeraha?
Kwa nini inakuwa lazima kuwapiga watu kama vile wao ni watoto?
Kwa nini Chalamila hataki kuona kwamba watu wakija kutoka mikoani kusikiliza kesi ya Lissu Gesti House Dar zitafurika?
MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA
TAARIFA KWA UMMA
MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA
Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025:
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika.
Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi
Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa!
Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa.
Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch.
Mods naomba nieleweke...
Maadhimisho haya ktk miaka yetu hufanywa na wayahudi na hata wakiristo, ambapo wakiristo mbali na Pasaka huadhimisha pia UFUFUO wa YESU Kiristo
Chimbuko lake ni Ukombozi wa Wana wa Israel kutoka Utumwani nchini Misri. Mungu wa KWELI alimtumia MOSES ambaye kupitia kwake Mungu aliwapiga Wamisri...
Habari za muda huu wadau. Yoyote ambaye amezaliwa tarehe na mwezi kama wa Leo 11 April, wa jinsia yote kama anaishi Dar es salaam na maeneo jirani natamani nipate partner wa ku share nae siku hii muhimu kwanga. Karibu inbox kwa maelekezo zaidi Ahsante 🙏
Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3.
Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
Ndugu wanasimba
Hayo ndiyo matokeo ya kesho twendeni tukakamilishe ratiba, Heshima ya uwanja wa mkapa ishapotea zama zile hazipo tena. Tujipange kwa msimu ujao
FT Simba 0 al masry 0.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.