tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tuna tatizo kama jamii na taifa maana sielewi mantiki ya watu wazima na akili zao kukubali kuita au kuitwa au kujigeuza chawa

    Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini? Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Simba SC wageukia Madhabahu. Wamuomba Mtume Mwamposa "ahudhurie" mchezo wa tarehe 9/04

    Katika ibada ya Leo tarehe 6/04, Mtume Boniphace Mwamposa amekiri kupokea mualiko wa Simba SC kuhudhuria na kuwaombea kuhusu mechi ijayo ya tarehe 9/04/2025. Ameahidi kuhudhuria au kutuma wawakilishi katika mechi hiyo na atawaombea. Hongereni Simba SC kwa kuachana na Matunguli. Shikilieni hapo...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kwanini mwaka mpya huwa ni tarehe 1 january na siku ya wajinga ni tarehe 1 Aprili?

    Kabla ya mwaka 1582, jamii nyingi zilikuwa zinaadhimisha mwaka mpya tarehee 1 Aprili. Kumbuka karne hiyo papa alikuwa na nguvu kubwa ya kuamua chochote. Mnamo mwaka 1582, papa Gregory XIII akaamua kubadilisha kwamba mwaka mpya utasheherekewa inapofika tarehe 1 Januari. Kuna watu hawakukubaliana...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally ukiniambia kuwa unawatia Moyo wana Simba SC Wajaze Uwanja Jumatano sawa, ila Kumfunga Al Masry tarehe 9 sahau sawa?

    Ni bora nichukiwe kwa kusema Ukweli na kutokuwa Mnafiki kuliko Kuwafurahisha Wapumbavu na Washamba wa Mpira.
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mnamo tarehe 1-April-2004 kampuni ya google ili zindua barua pepe ya Gmail kutumika rasmi.

    Gmail ilianza kutumika rasmi tarehe 1 Aprili 2004 kama huduma ya majaribio (beta). Ilitolewa kwa watumiaji wachache kwa mwaliko kabla ya kufunguliwa kwa umma mnamo 7 Februari 2007.
  6. Tunzo

    JamiiForums Tanzania DSTV wapandisha tena vifurushi kuanzia leo tarehe 1/4/2025

    Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000 Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
  7. Setfree

    JamiiForums Tanzania Tarehe 1 Aprili ni siku ya wajinga au ya waongo?

    Nashangaa bado kuna watu wanaiita tarehe 1 Aprili, "Fools' day," au siku ya wajinga. Siku hii ingefaa zaidi kuitwa siku ya waongo kwa sababu watu wengi wanaongea uongo ifikapo Aprili Mosi. Kama umekuwa ukiitumia tarehe 1 Aprili kusema au kuandika habari za uongo basi ujue baba yako ni...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025

    Waziri Kombo alivyowasilisha ujumbe Maalum Angola, Tarehe 15 Machi, 2025
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, tarehe 17 siku ya kumkumbuka shujaa wa Africa ni sikukuu ya umma.? Na sisi watumishi hatuendi kazini?

    Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima.
  10. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka Ilikuwa Tarehe 8 March Mwaka 2021 Ilikuwa Hivi Hivi Na Yanga Hakufungiwa

  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yasipotokea haya tarehe 8 Machi, 2025 Kipigo kipo pale pale kwa anayepigwa kila mara

    1. Mchezaji mmoja Kupasuka na kuvuja Damu Kichwani au Usoni. 2. Kadi Nyekundu (ya Mchezaji tegemezi) na Timu moja kucheza pungufu. 3. Mtanange kusimama kwa dakika 3 hadi 5 kutokana na Fujo. 4. Kama kafara la Mtu maarufu na mwanachama lia lia halijafanyika au hajafa 5. Ndimu zisipotumika 6...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Bashiri utabiri wako kuelekea Kariakoo Derby

    Tuone kipawa chako cha ubashiri. Kuelekea mchezo wa weekend hii, Yanga Vs Simba, tabiri matokeo yatakuaje. Mimi naanza Yanga 1-3 Simba, Tutakuepo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Game ya Tarehe 8 March, Simba ina Pressure zaidi kuliko Yanga

    Sababu ni moja tu : Wamefungwa mara nne(4) mfululizo na katika hizo kuna moja kapigwa goli 5. Hivyo hii game inayokuja Simba wameipania kupita kiasi maana ikitokea wakafungwa tena ITAKUWA NI AIBU NA FEDHEHA KUBWA ZAIDI na pale makao makuu ya Simba hakutakalika. Kwa upande wa Yanga wao hawana...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  15. G.T.L

    JamiiForums Tanzania AHMED ARAJIGA kuchezesha Derby tarehe 8

    Sasa ni Official, Referee Ahmed Arajiga ndio msimamizi wa mechi ya Yanga vs Simba tarehe 8. Sasa ngoja tuone kama kutakua na malalamiko kutokana na makosa ya kiusimamizi.
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  17. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Leo Tarehe 26-02-2025: Imetimia miaka 140 Tangu kufanyika kwa Mkutano wa Berlin

    Miaka 140 iliyopita tarehe kama ya leo ndipo mkutano wa Berlin ulipohitimishwa. Mkutano ulianza Tarehe 15 Novemba 1884 na kuhitimishwa Tarehe 26 Februari 1885 kwa kusainiwa kwa makubaliano ya jumla baina ya mataifa yaliyoshiriki. Jambo la kustaajabisha kwenye mkutano huu ni kuwa ingawa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Simba fanyeni maboresho ya kikosi vinginevyo tarehe 08 Machi 2025 tunakwenda kumpa ubingwa Tena Yanga

    Jana kwa namna nilivyouangalia mpira, timu yetu katikati ilikuwa inakatika sana, kama wangekuwepo wale sungura huku Pacome, kule Max, kule Aziz, cjui Mzize au Dube Leo wengine tusingeamka majumbani kwetu na tungebakia mavyumbani kusikiliza nyimbo za Amapiano TU, kiukweli Azam walitukosa sana...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Leo ni tarehe ya kipekee sana haitatokea tena kamwe 25-02-2025; Leo ni tarehe 0!

    Leo ni tarehe 0! :Loading:Tarehe ya leo ni ya kipekee kabisa, inaundwa na number 0, 2 na 5 pekee 25-02-2025. 2(5-0-05)=0 :PensiveWobble:!
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Kahawa Barani Afrika Februari 21–22, 2025 Ukumbi wa JNICC Dar es Salaam

    Kutakua na mkutano mkubwa wa kahawa barani Afrika utakaofanyika tarehe 21–22 Februari 2025 katika Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), Dar es Salaam, Tanzania. Mkutano huu unaongozwa na Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mkutano una lengo...
Back
Top Bottom