Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
185
Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani

1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari
Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali.

2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga
Inahitaji kiwango cha juu cha hesabu, fizikia na uhandisi

3. achelor of Architecture – Usanifu Majengo
Inahitaji ubunifu, michoro mingi, miradi mikubwa na muda mwingi wa kazi.

4.achelor of Electrical Engineering – Uhandisi wa Umeme
Ina hesabu ngumu, fizikia na mifumo tata ya umeme.

5.Bachelor of Chemical Engineering – Uhandisi wa Kemikali
Huchanganya kemia, fizikia, hesabu na teknolojia.

6. Bachelor of Computer Science (hasa Artificial Intelligence/Cybersecurity)
Inahitaji mantiki, programu na kutatua matatizo magumu.

7. Bachelor of Neuroscience – Sayansi ya Ubongo
Inahitaji uelewa mkubwa wa biolojia, kemia na mfumo wa fahamu.

8. Bachelor of Mathematics / Theoretical Physics – Hisabati au Fizikia ya Nadharia
Ina dhana za juu sana za kihisabati na kufikiri kwa kina.

Kwenye hizi degrees Zote ugumu hutegemea uwezo, maslahi na mazingira ya mwanafunzi.

Degree ipi apo unaweza kuigusa kidogo na ukafanikiwa kugraduate bila kudisco?.
 
Hiyo namba moja niliwahi kupigwa sup za mchongo mchongo ila niligraduate hahahah
Ningejua ningewahi katoro tu 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Computer Science unetumia kigezo gani kuiweka hapo huku ukiiacha Machanical Eng?
Baada ya Chemical, ilitakiwa ifuate Machenical, Hiyo Computer Science ikiwezekana itoe, au iwe mwisho wa list. 😊
Itakuwa ni moduke za programming
 
Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani

1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari
Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali.

2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga
Inahitaji kiwango cha juu cha hesabu, fizikia na uhandisi

3. achelor of Architecture – Usanifu Majengo
Inahitaji ubunifu, michoro mingi, miradi mikubwa na muda mwingi wa kazi.

4.achelor of Electrical Engineering – Uhandisi wa Umeme
Ina hesabu ngumu, fizikia na mifumo tata ya umeme.

5.Bachelor of Chemical Engineering – Uhandisi wa Kemikali
Huchanganya kemia, fizikia, hesabu na teknolojia.

6. Bachelor of Computer Science (hasa Artificial Intelligence/Cybersecurity)
Inahitaji mantiki, programu na kutatua matatizo magumu.

7. Bachelor of Neuroscience – Sayansi ya Ubongo
Inahitaji uelewa mkubwa wa biolojia, kemia na mfumo wa fahamu.

8. Bachelor of Mathematics / Theoretical Physics – Hisabati au Fizikia ya Nadharia
Ina dhana za juu sana za kihisabati na kufikiri kwa kina.

Kwenye hizi degrees Zote ugumu hutegemea uwezo, maslahi na mazingira ya mwanafunzi.

Degree ipi apo unaweza kuigusa kidogo na ukafanikiwa kugraduate bila kudisco?.
Uhandisi ndio shahada ngumu hizo zingine ni kukariri tu.
 
Back
Top Bottom