tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikiwa katika biashara ya kununua na kusafirisha mazao Tanzania

    Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida. Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania JS Kabylie ya Algeria yatangaza kumsajili nyota wa Tanzania, Alphonce Mabula

    Nyota wa Tanzania Alphonce Mabula amejiunga rasmi na klabu ya JS Kabylie ya Algeria. Mabula awali alihusishwa na kujiunga na mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Young Africans SC (Yanga SC) katika dirisha kubwa la usajili, lakini hatimaye ameibukia JS Kabylie. Usajili huo unamuweka Mabula katika...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni muda wa Tanzania kujenga small satellite launch pad

    Ukiangalia gharama za kutengeneza small satellite launch pad ina range kwa usd million 5 au 10 sawa na tsh billion 10 au 20 Kwa tsh billion 10 au 20 tunajenga multi pad satellite launch Faida za small satellite launch pad ni kama zifuatazo Itatumika kwenye scientific study kama weather...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika ni kiboko, ndiyo maana alikuwa Tanzania One! Soma alivyombabadua Katuga

    Katibu Mkuu wa Chadema anaendelea kutoa ushahidi wake. Mahakama imerejea muda huu saa tisa kasoro alasiri. Majaji wameingia tayari na Ajuaye Zengeli anasema wako tayari. Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika anapanda kizimbani. Anasimama KATUGA anasema atakuwa na maswali machache labda kama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uzalendo hauna vipande, Vijana wa Tanganyika wamepoteza uzalendo wa Muungano wamehamishia uzalendo kwenye Pesa na vyeo tofauti na Wazanzibari

    UZALENDO HAUNA VIPANDE Uzalendo ni kuipenda nchi yako hata pale ambapo hakuna cheo cha kupata, hakuna pesa ya kupewa na hakuna maslahi binafsi yanayokusubiri. Lakini uzalendo huu unaweza kuyeyuka haraka sana pale ambapo nchi yenyewe inaanza kugawanywa katika hisia, utambulisho na maslahi...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kinara World Travel Awards 2026

    Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda tuzo hiyo katika World Travel Awards. Kwa ujumla, Tanzania imeibuka mshindi katika vipengele vitano...
  7. ngozimbili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania haihitaji lawama za upande mmoja — inahitaji ukweli, uwazi na uwajibikaji wa kila upande

    Kuna maswali ambayo lazima tuwaulize Serikali, upinzani, wanaharakati, wasomi na viongozi wa kiraia kuhusu yaliyotokea Oktoba 29, 2025. Kuna jambo moja nataka nilianze kwa kulisema wazi: Mimi sipingi maandamano. Ninaunga mkono haki ya wananchi kuandamana kwa amani. Maandamano ni sehemu ya...
  8. Keynez

    JamiiForums Tanzania Hii miezi 18 ijayo inabeba hatma ya Tanzania!

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo. Nikiangalia mwenendo wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi ya Tanzania, naona kwamba miezi 18 ijayo inaweza...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mfumo wa Kidemokrasia unaifaa zaidi Tanzania.

    Habari yenu ndugu zangu watanzania Kwa macho ya wengi kuanzia mwaka 2015 Tanzania taratibu ilianza kuibomoa misingi ya kidemokrasia na kujenga misingi ya utawala wa kiimla. Dalili za kuwa mtazamo huu ni wa kweli zinajionyesha kupitia 1. Chaguzi zisizo huru wala za haki, rejea uchaguzi mkuu wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Ndio maana sishangai rais kuipigia debe hii katiba maana inamfanya awe kiumbe wa daraja la juu kuliko viumbe vyote Tanzania. Yaani hawezi kushtakiwa akiwa rais au hata baada ya kustaafu haitajalisha amefanya maovu kiasi gani. Kwa maneno mengine rais wa Tanzania anaruhusiwa kuvunja katiba...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania: New VP Ndejembi Takes Office Amidst Unity Hopes

    Retired From Politics, Former VP Offers to Serve as New Deputy Sweeps In With Widespread Support DODOMA, Tanzania Tanzania’s political landscape is shifting rapidly. After leaving office, former Vice President Dr. Emmanuel Nchimbi said he is willing to serve the government in other roles...
  12. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kenya Kununua Magunia Milioni 11 ya Mahindi kutoka Zambia Kwa bei Kubwa na Kuikacha Tanzania Yenye Mahindi Mengi ya Bei Chee.

    Kenya imeamua kui by pass Tanzania Kwa kuamua kununua mahindi takribani gunia Milioni 11 kutoka Zambia badala ya Tanzania huku ikoacha wakulima wa Tanzania wakihaha wasijue wapi watauzia mahindi Yao. Ikumbukwe Tanzania ni mzalishaji wa mahindi namba 2 Afrika ilizalisha zaidi ya Tani Milioni 12...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu wa Tanzania ni wa Tanganyika pekee au ana mamlaka hadi Zanzibar?

    Mbona huwa sijawahi kuwaonea wakina Majaliwa na Mwigulu wakienda kutoa maelekezo, maagizo na kufanya mikutano ya kutatua changamoto za wananchi Unguja au Pumba? Hii nafasi ya waziri mkuu wa Tanzania mamlaka yake yakoje katika nchi ?
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kama Zanzibar ni nchi huru,Je Tanzania ina muungano na nchi gani? Rejea katiba ya Zanzibar.

    Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ? Montevideo Convention ya...
  15. Moaz

    JamiiForums Tanzania Taifa kwanza wakati wa Tanzania kuweka utaifa juu ya tofauti zetu

    Utangulizi Katika kipindi ambacho dunia inapitia mabadiliko makubwa ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kiusalama, kuna jambo moja ambalo linajidhihirisha wazi zaidi kuliko wakati mwingine wowote: mataifa ambayo yanaweza kusimama imara mbele ya changamoto kubwa ni yale ambayo wananchi wake wana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusikubali kuchezeshwa kete ya ubaguzi

    Kuna silaha ambayo haihitaji bunduki, risasi wala mabomu ili kuligawa taifa. Silaha hiyo ni propaganda—hasa propaganda inayolenga kuwafanya wananchi waamini kwamba tofauti zao ni sababu ya kuchukiana. Watanzania tunapaswa kuwa makini.Mara nyingi propaganda ya mgawanyiko haiji kwa kusema wazi...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Meli ya Tanzania inawaka moto! Captain hajitambui! Wote tunaenda majini

    Captain wa meli yetu anasema yeye ndiyo captain! Sawa lakini angetakiwa kujikita kuokoa meli yeye bado anafukuza watu ndani ya meli na kulaumu abiria wakati moto unawaka kwenye meli na bila kuuzima wote watateketea
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Wanabodi Je wajua kuwa hapa tunapozungumza, Tanzania tunao Makamu wawili wa rais?,kati ya hao wawili,mmoja ni halali hadi tarehe 4 September, na mwingine ni batili kwa ubatilifu hadi tarehe 4 September ndipo anakua halali! Kwa mujibu wa barua ya kujiuzulu ya Dkt. Nchimbi aliwasilisha barua...
  19. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi

    Nimeshuhudia masheikh wengi wakisema sasaivi haki haitakiwi ila amani ndio ya msingi. Lakini quraan inasema uislam ndio dini ya haki. Je uislam unaongozwa na matakwa binafsi ya mtu au quraan?
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ilipofikia Sasa Hata 'Banana Republic' Ina Nafuu

    Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili? Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye...
Back
Top Bottom