Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi.
Pia Soma: GE2025 - Peter...
Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)
Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo?
Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
Habari
Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV)
Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi.
Kuna kipimo cha...
Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . ..
Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon..
Tutegemee medali!!
Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha..
Kenya wenzetu kupitia Ntv
Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo.
Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
Lushoto, Tanzania
Alhamisi, 18 Septemba 2025
MAFUNZO YA UENDESHAJI MASHAURI YA UCHAGUZI KWA MAJAJI, MAHAKIMU YAHITIMISHWA
https://m.youtube.com/watch?v=WAAaVOMqZkM
· Jaji Mkuu asema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Kanuni za uchaguzi
· Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Mohamed Chande Othman ashiriki...
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani.
Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
Habari Tanzania !
Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana.
Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
Habari Tanzania !
Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini.
Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
Salam Wakuu,
Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote.
Jamaa...
Lazima nicheke kwanza 🤣! Vijana wa Kipemba wenyewe wamesema hawana haja ya kuandamana, kwani hawajui hata sababu ya kufanya maandamano hayo — “eti mnataka tuandamane ili iweje sasa?” 😏
==================
Sisi hatuandamani Tanzania sio Nepal, Makuli mapya ya ghorofa yamejengwa na Mabarabara mapya...
Trafiki alipolisimamisha gari, alimkuta dereva yupo sawa kila sekta: bima ilikuwa halali, mzigo ulikuwa na stakabadhi kamili, leseni ilikuwa bado hai, na matairi yalikuwa mazima bila tatizo. Baada ya kulikagua gari kwa kulizunguka mara mbili, ndipo akaibua kosa moja tu—ufa mdogo kwenye taa...
Huyu mwanadada enzi hizo alitikisa sana hapa bongo, kiasi kwamba watu tuliamini ndio mwanamke mzuri Tanzania nzima.
Wanaume wote wa dasalama, walishirikiana kumkuwadia mwanetu Mb dogg. Ila pamoja na kubembelezwa na wanadasalama, kimwana huyo alimchomolea mb dogg ambaye hata denda hakuambulia...
Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM.
Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.