tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania huru inakuja

    Siku nzuri imekaribia Tanzania ya watanzania iko karibu, Hakutakuwa na dhuruma na uchawa Tena wala ufisadi wa kutisha, Tanzania ya haki na ya wazalendo wa kweli iko njiani, Ole wake wachafu au walioshiriki katika dhuruma wakati sio wao sasa,heri sasa waponye nafsi zao kwa kukimbia nchi...
  2. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Save Tanzania, Save Humanity

    I cannot prove it today, but I feel it deep within that 2025 will mark a turning point; one of Tanzania’s greatest years since colonial rule was broken.
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi wa Tanzania wameukataa uchaguzi au ni Maigizo?

    Kuna Mwanajeshi kataka Tanzania isifanye uchaguzi. Je, Yupo peke yake au nyuma yake kuna wenzie. Kama katoka hadharani na kisema, huu mwezi wa kumi 2025 utakuwa ni mwezi kona. Anaitwa Kapteni Tesha kutoka Shule ya Anga ya Jeshi. Amesema katafakari sana.. Amesema, "JESHI LICHUKUE NCHI HARAKA...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wamejisahau kabisa kuwa kuna watu wengine wanahitaji maisha bora kama yao

    Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu. Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka. Raia wa kawaida wanamaisha...
  6. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Msigwa Kwa akili yake anafikiri Uhuni unaendelea Tanzania, Dunia haioni !!

    BALOZI mbalimbali zipo hapa. Majasusi wapo hapa . Kwamba UN kutoa Report juu ya Kinachoendelea Tanzania, Kwa akili ya Msigwa na Genge lake ni kua UN imekaa na kuja na repoti ya Kusadikika !!. Sisi ni sehemu ya Dunia !!.
  7. Killing machine

    JamiiForums Tanzania Je! Nini hatma ya mkulima na mazao yake Tanzania?

    Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo" nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu? Hebu fikilia.. Kukodi shamba ni pesa Kulima ni pesa Mbolea ni pesa Kupalilia ni pesa Kuvuna ni pesa Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa Tena ni tsh 1000...
  8. fundi radio

    JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  9. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwani anahitaji kura ngapi ili awe mshindi wa urais Tanzania?!

    Nchi hii haina kiwango cha kura ili mtu awe mshindi. Hata akipata kura milioni 1 anatangazwa mshindi. Hivyo ili kumzuia lazima kuwa na mbadala, ama tuzuie hili zoezi lisifanyike au wagombea wapotezwe. Bila hivyo tunatwanga maji.
  10. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lyata: Uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutarajie Tanzania iliyogawika

    Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Sikonge, Felix Lyata amesema kama uchaguzi ukifanyika kwa mazingira ya sasa tutegemee kuiona Tanzania iliyo gawika kwasababu itatokea kundi la watu litasema huyu ni Rais wetu, mbunge wetu kwa sababu tulimchagua sisi na wengine watasema huyu hatukumchagua sisi kila mtu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  12. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Balile: Dunia nzima Mwendokasi ipo Tanzania na Brazil tu

    Wakuu nimekutana na hii video ya Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania (TEF) akisema kuwa dunia nzima mwendokasi ipo Brazil na Tanzania tu. Hii imekaaje?
  13. Tonny Kapola Gas Station

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Asilimia 86 ya Pombe Zinazouzwa Tanzania Zimechakachuliwa. Mnaua Figo na Maini Yenu!

    TBS wameshindwa kazi. Ni kila mtu na lwake. Pombe feki zinachanganywa na mbolea. Madawa ya hospitalini. Makemikali ya viwandani. Halafu wewe unafakamia. Miaka mitano tu mbele ya safari figo na ini hoi. Maisha yanakoma. Ewe mlevi na mnywaji: chukua hatua...
  14. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonyesha Hapendi Wahuni waongoze Tanzania

    Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025 Citation Registered Trustees of Alliance for Change and...
  17. canular

    JamiiForums Tanzania TANZANIA inakutegemea wewe mzalendo wa kweli

    Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
Back
Top Bottom