tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wasira amesema 'hapa Tanzania kwaka huu CCM inaogopa CHADEMA, inawakamata ili ishinde uchaguzi'

  2. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

    Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi. Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
  3. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  4. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia Familia ya kimafia with Low Key Tanzania

    Hii familia mpaka leo nikiitafakari huwa sipati jibu, Kwanza ni familia ya kiungwana sana wako very very humble ni wacha Mungu, na kanisani hawakosekani na ni watu wenye kusaidia wengine kwa moyo bila kujisifu, Ni familia ya kipato cha kati si matajiri wala si masikini wako OK,(Juuuuust right)...
  5. ZaraBae

    JamiiForums Tanzania Inside Tanzania Witchcraft Economy: Albino Killings and a Hidden Human Crisis

    DAR ES SALAAM, Tanzania – Sixteen-year-old Juma’s voice trembles as he recalls the night that scarred his life. “They think we’re ghosts,” he says, touching the wounds where attackers tried to hack off his limbs. Juma is one of Tanzania’s estimated 17,000 people with albinism—and one of the few...
  6. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports)

    Makampuni nchini Tanzania yanakabiliwa na changamoto mbalimbali zinazochangia kutokuandaa ripoti za uendelevu (sustainability reports) kwa mwaka husika, licha ya kuongezeka kwa shinikizo la kisheria na la wadau. Makampuni mengi bado yanaona ripoti za uendelevu kama zoezi la kuzingatia sheria tu...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu ukiwa unatekeleza majukumu yako ya kiofisi unaonekana ni mwenye kiherehere?

    Kufanya kazi na Watanzania ni changamoto sana kwa kweli. Labda mnisaidie kuelewa, muda si mrefu nimeingia ofisini hapa kuanza majukumu yangu ya siku. Nimefika tu, kuna chawa wangu mmoja akaniletea kaumbea kuwa kwenye kikao chao cha idara yao huko, kuna mtu amenizungumzia kuwa nawabana sana na...
  8. Kangosha

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Nepal, je kutokea na Tanzania?

    Kwa wale tunaofuatilia habari za kimataifa tumeona jinsi raia wa Nepal hasa vijana walivyoiangusha Serikali Yao kutokana na ugumu wa maisha. Hali kama hio naiona ikija kutokea Tanzania. Nasemea hivi kwa sababu zifuatazo:- 1. Vijana wengi wanamaliza vyuo,shule za secondary na hata msingi ila...
  9. Isaka James

    JamiiForums Tanzania Jinsi Social Media Inavyochangia Tech Culture Tanzania

    Yo, wadau wa tech! Social media imekuwa kama nguvu kubwa kwa ukuaji wa tech ecosystem hapa Tanzania, na leo tunaangalia jinsi platforms kama JamiiForums, X, Instagram, LinkedIn, WhatsApp, YouTube, na TikTok zinavyobring tech enthusiasts pamoja, kushare knowledge, na kushare events za tech. From...
  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole aliwahi kusema CCM itatawala miaka 70 sioni hili likitokea hata miaka 5 ijayo

    Uchaguzi wa 2020 ulikuwa uchafuzi na mpaka Leo uchaguzi ule ni maarufu Kwa jina la uchafuzi. Uchaguzi huu wa 2025 mpinzani mkuu na chama chake mmewafanyia hila na kuwaweka ndani ili mgombee peke yenu matokeo yake uchaguzi umedharauliwa. Hizi ni hatua za mwisho za kuitamatisha CCM kwani...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 A Cordial Letter to Cardinal Protase Rugambwa enroute to President Samia of Tanzania: An Argument for Reconciliations before 2025 General Elections

    1. INTRODUCTION DEAR CARDINAL RUGAMBWA, twice, in the social media, first on 27 August 2025, and then on 12 September 2025, you appeared in several common photographs, with President Samia Suluhu Hassan, who is also, the Presidential candidate for CCM in the ongoing 2025 general elections in...
  12. Think2

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio nchi masikini

    Tanzania tumebarikiwa Mungu ametupa ila kitu isipokuwa akili tu ya kutumia vitu hivyo vizuri tuna madini ya kila aina dhahabu, almasi, makaa ya mawe ,graphite, ruby ,tanzanite n.k Mbuga za wanyama nzuri yenye kuvutia milima mizuri kma kilimanjaro maziwa na bahari nzuri lkn hivo vitu vyote bado...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vipato vyetu na matumizi ni maji na mafuta kiukweli kwa maisha haya Tanzania

    Maisha ya tanzania watu wanapitia maisha magumu sana na sote pia tuliopo hapa jamiiforum. Kwa maisha ya tanzania kutimiza ndoto kama Dream country ilivyo nchi kubwa ni ngumu. Mfano na rafiki yangu baada ya kuona bongo ishakuwa malawi alichokifanya kutimkia kwa trump. Kazi anazofanya kama...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa Usawa katika Mikopo ya Kibiashara

    Ni jambo la kushangaza na lenye kuibua maswali makubwa kuhusu usawa katika mazingira ya biashara kati ya Tanzania na China. Mfanyabiashara wa China anapokopa katika benki za kibiashara nchini kwao hulipa riba ya takribani asilimia 3 pekee. Lakini mfanyabiashara wa kitanzania anapokopa katika...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Milioni 1.7 imetolewa kwenye account yangu ya CRDB, nawasiliana nao hawanipi majibu

    Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala. Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu. Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
  16. Msanii

    JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali ya Tanzania inavyokiuka mkataba wa Geneva

    Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu. Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
  17. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda haki siyo rafiki wa maovu

    Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo. Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo rafiki wa maovu. Vinginevyo kwa haya tunayoendelea kusoma anayomwaga huko mahakamani eeh bana NO...
  18. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Nitasambaza umeme Tanzania yote

    Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au? My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanaongoza kwa kujiua kila mwaka Tanzania

    Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana. Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tundu Lissu anaandika historia mpya ya Tanzania hasusani Tanganyika

    Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa. Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
Back
Top Bottom