tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. R

    JamiiForums Tanzania As long as hakuna Independence of thé Judiciary, then hakuna Majaji Tanzania au in a broad sense Tanzania hakuna Mahakama

    Sifa kubwa ya uwepo wa Mahakama, NAMBA moja with exclusivity of any other factors, ni INDEPENDENCE OF THE JUDICIARY Hiyo sifa hapa TZ hatuna. Hivyo hakuna mahakama. Kuna kusanyiko la wahuni wanatoa kinachokuja kichwani mwao kama so called Hukumu!
  2. The introvert

    JamiiForums Tanzania PayPal Tanzania

    Wakuu habari za muda huu. Ni mwaka 2025, dunia inakimbia kwa kasi kwenye suala la teknolojia, lakini sisi bado tumekwama kwenye jambo dogo la huduma ya kifedha ya mtandaoni kama PayPal. Watanzania — hasa vijana wa kidigitali, wabunifu, wasanii, freelancers, na wafanyabiashara mtandaoni —...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force has Deployed Over 4,000 Police Officers to Educate Public on Responsible Social Media Use

    The Tanzania Police Force, through its spokesperson, the Deputy Commissioner of Police (DCP) David Misime, has revealed the deployment of more than 3,900 officers across Mainland Tanzania and 388 in Zanzibar to conduct public education on the responsible use of social media Speaking to the...
  4. Kiranga

    JamiiForums Tanzania Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions

    Remembering Nyerere: Road to hell is paved with good intentions By Charles Makalala Thursday, October 09, 2025 - 5 min read It’s that time of year again. The day we mark the passing of Tanzania’s founding father, Julius Kambarage Nyerere. Twenty-six years now. I remember the day he died...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania ikizuia mobilization ya maandamano kupitia mitandao, Watanzania watutumiana SMS

    Serikali zimekuwa ikifuta post zinazohamasisha na kufundisha watu kujilinda wakati wa Maandamano, Basi watanzania tutatumia njia mpya kuwasiliana na kufanya mobilization. Natoa wito kwa watu humu ndani kuunda mifumo maalum isiyokuwa censored kufundishana na kukusanya watu. Na kutoa taarifa za...
  6. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Harakati za Tanzania ni ngumu, mimi mwaka 2017 nilikamatwa

    Mwaka 2017 nilikamatwa kwa kumkosoa Magufuli. Kipindi kile nilikuwa na miaka 21 Ila sikutetewa na mtu yoyote Ila kwakuwa Mimi nilikuwa naishi karibu na police kota , na ni Kijana humble . basi kesi ilichezeshwa na wakaizuia isipate Ku-trend . Basi Mwanasheria wa Serikali aliifuta Kesi yangu...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania JWTZ Hawaruhusiwi Kutumia yale Mafunzo ya Kuokoa Mateka Kuokoa Wanaotekwa Tanzania?

    Kwenye maadhimisho ya 9 December huwa naona makamanda wetu wanavyo tuonesha umahiri wao katika kuokoa mateka. Kwakua wao ni walinzi wa wananchi na katiba yetu, je hawawezi kutumia mbinu zile zile kuokoa mateka wa Mafwele na kuwakabidhi kwa jeshi la polisi ili wawapeleke makwao au kuwafikisha...
  8. L

    JamiiForums Tanzania China na Tanzania zaendelea kujiimarisha kwenye masuala ya uvumbuzi wa kilimo

    Tanzania na China ni nchi ambazo zimekuwa zikiimarisha uhusiano wao ulioanza tangu enzi na dahari. Uhusiano huu umejengwa katika misingi imara na isiyotikisika, ambapo mbali tu na kujikita kwenye mambo ya diplomasia, pia umeingia hadi katika miradi mbalimbali ya kilimo ambayo inawanufaisha zaidi...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kimila na asili kusanyikeni kwa maombi kukemea utekaji na mambo mengine yasiyokubalika ndani ya Tanzania!

    Najua kwa asilimia kubwa viongozi wa asili na mila wa sasa ni wanafiki na waongo na ndiyo maana ni "double agents" wa serikali kwa maana kwamba anaendesha shughuli za asili na mila na wakati huohuo ni muumini wa ukristo na uislam,huu ni ukichaa!! Niwaombe kama kweli mnauwezo na kuamini ktk...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Nawasihi wazalendo wote Tanzania jizuieni kwa sasa kujipost kwakua dhamiri zetu ni kiukomboa Tanzania tarehe 29/10/2025 imefika

    Mbinu wanayoitumia hawa Watekaji ni Kumuwahi Kila Mmoja anayeonekana ana Uthubutu wa jambo letu !!. Sasa katika hali ya Mmoja Mmoja ni rahisi wao kutumaliza na kuchomekea Woga. Sasa basi kwakua Dhamira zetu ni DHAHIRI na kwa namna tulipofikia 29/10 ni tukio la Ukombozi wa Nchi. Tuendelee na...
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo, Tanzania itakuwa nchi ya hatari zaidi Afrika kuliko hata South Africa

    Kwa yanayoendelea nchini, bila shaka Tanzania inaongoza kuwa ni nchi hatari zaidi kwa upande wa Africa mashariki maana kila kukicha matukio ya utekaji yanaongezeka, hofu zinazidi kutanda na watawala hawaoneshi nia yoyote kukabiliana na hali iliyopo au kutoa tamko lolote kwa yanayoendelea hapa...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mzee Warioba amesema taarifa za uwepo wa Polepole Tanzania zinaukakasi, puuzeni

  13. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  14. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  15. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea sasa nchini, tumaini pekee la wananchi ni Jeshi

    Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha. Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi. Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania hatarini! Kila uchwao ni kutekwa!

    Ni muda wa kujitetea umewadia sasa
  17. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Tanzania tupunguze kudhulumiana na tuwe waaminifu

    Wakuu naandika kwa masikitiko makubwa sana kwa kinachoendelea kwenye biashara nchini Tanzania. Huu uzi ni maalum wa kujisema na kujitaka kujisahihisha. Wengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa kati na wakubwa wana uhaba mkubwa wa uaminifu na kuishia kuwa watu wa dhuluma. Hii ni tabia ya hovyo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania huru inakuja

    Siku nzuri imekaribia Tanzania ya watanzania iko karibu, Hakutakuwa na dhuruma na uchawa Tena wala ufisadi wa kutisha, Tanzania ya haki na ya wazalendo wa kweli iko njiani, Ole wake wachafu au walioshiriki katika dhuruma wakati sio wao sasa,heri sasa waponye nafsi zao kwa kukimbia nchi...
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Save Tanzania, Save Humanity

    I cannot prove it today, but I feel it deep within that 2025 will mark a turning point; one of Tanzania’s greatest years since colonial rule was broken.
Back
Top Bottom