tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Busu la Kenge

    JamiiForums Tanzania Wanaume Tanzania tuna aibishwa na tumebaki kunyamaza tu

  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaunga mkono uhuru wa chakula katika mkutano wa unfss+4 jijini Addis Ababa

    TANZANIA YAUNGA MKONO UHURU WA CHAKULA KATIKA MKUTANO WA UNFSS+4 JIJINI ADDIS ABABA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa ngazi ya Mawaziri uliofanyika tarehe 29 Julai 2025, jijini Addis...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 State Capture: Kuna tofauti ndogo sana kati ya hawa wawili. Imeichukua Nigeria miongo karibu 2 kupona, sijui Tanzania itakuwaje?

    HAKUNA JIPYA CHINI YA JUA Wote ni Wanajeshi waliokulia Jeshini na kuingia kwenye uongozi wa kisiasa. Wote walitengeneza mitandao ya Kimafia iliyoamua nani awe nani kwenye Mataifa yao kwa miaka mingi. Wote wana sifa moja. Ongea ya bashasha, kucheka na wewe usoni ukiwa hujui wanakuwazia nini...
  4. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ntaifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashirika ya kimataifa

    Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi ya wazalendo wachache

    Kwenye Siasa na muundo wa serikali Tanzania hatuna cha kujivunia zaidi wa wazalendo wachache. Kwenye ukanda wetu Tanzania ndiyo nchi ambayo siasa zake hazileti maendeleo yeyote ya maana. Mpangilio wa serikali yenyewe ni wa kibaguzi na unapendelea Wanzanzibari wachache. Mahakama ni za kisiasa...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais wa Tanzania ntaifanya miji yetu kuwa mizuri na inayopendeza macho

    Kama umetembelea nchi za Western kwa mara ya kwanza umeshuka uwanja wa ndege kuna beauty flani amazing ambayo ndo mara ya kwanza unaiona na hata kupitia tu picha utaona kabisa wao wana-beauty flani nzuri tu Hata moja ya sababu inayovutia watu wengi kukimbilia nchi za Western ziko nyingi...
  7. Tanzanians

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaweza ku-emulate ile beauty ambayo ipo nchi zilizoendelea

    Xxx
  8. E

    JamiiForums Tanzania UN kuhamishia makao makuu ya UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi, Tanzania tuko wapi?

    Umoja wa Mataifa unatarajia kuhamishia ofisi zake za kimataifa za UNICEF, UNFPA na UN Women jijini Nairobi kufikia mwaka 2026, hatua itakayoiweka mji mkuu wa Kenya katika hadhi sawa na New York, Geneva, na Vienna kama miongoni mwa miji minne pekee duniani inayohifadhi makao makuu ya mashirika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia anaifanya Tanzania kuwa Venezuela

    Viongozi wanatakiwa kutokana na wananchi sio yaliyopo Tanzania . Uongozi wa kupandikizwa
  10. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Nimemisi kuona Mh Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kusafiri kwenda ulayaa

    Ndugu wa Jukwa mko poa. Binafsi nimemisi kuona Raisi Wa JMT akisafiri kwenda mamtoni. Sijui kwanini ameacha kusafiri Lucas MWANSHAMBWA SIUKO IKULU kuna shida gani kwani mbona anakaimisha tuu siku izii
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina uhitaji wa zaidi ya nyumba milioni 26 ifikapo 2050

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi mahitaji wa watu milioni 118.1. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua semina...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ngumu ukiwa Mzalendo. Mbatia, Lissu na wengine Mungu atamuongoza kwa uzalendo

    Mbatia ni mfano wa uzalendo. Ukikaa kuhogwa watachukuwa kila kitu ulichonacho!!!. Tanzania ni pagumu kwa watu wazalendo kama Mbatia na Lissu. Lakini machawa kwa upande mwingine na wala rushwa au kwa wale waliokuwali kuhogwa kama Chaumma ndiyo wanapewa pesa. Tushukuru tuna wazalendo wachache...
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Babu Marcio Maximo arejea tena Tanzania

    Wataishia kumfukuza babu wa watu,mpira wa kisasa atauwezea wapi?
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Grok: Ndege aina ya Thrush Rockwell toleo la 2025 hadi kutua Tanzania ni Tsh 4.Bilion

    Ndege ya Thrush Rockwell S2R (sasa Thrush S2R) inatengenezwa na Thrush Aircraft huko Albany, Georgia, USA. Bei ya kiwandani kwa modeli mpya kama Thrush 510P2+ (2025) inahitaji kuwasiliana na kampuni, lakini makadirio ni $800,000-$1,200,000 USD kutegemea vipengele. Modeli za zamani zinauzwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubalozi wa Marekani nchini urekebishe utaratibu wa kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri hasa katika upande wa mahojiano

    Nimeona ni vema kulizungumza hili kukiwa na historia inayomtaja Marekani kuwa ni Nchi kinara wa uhuru wa kujieleza na kulinda utu wa watu, lakini hali ipo tofauti katika Ubalozi wao hapa Dar es Salaam katika kitengo cha kushughulikia maombi ya vibali vya kusafiri (visa). Utaratibu uliopo...
  16. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Tanzania wamesoma sana lakini wana low IQ

    Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno. Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU. Hili kundi siku...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Vilabu vingi vya Tanzania vinapenda sana Kuchukua Makocha wa kujirudia rudia hasa walipoita Yanga na Simba?

    Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
  18. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya ajira kati ya China na Tanzania yawawezesha vijana na kuimarisha uhusiano

    Jumamosi asubuhi iliyokuwa na jua kali ilileta wimbi la matumaini kwa mamia ya wahitimu wa vyuo vikuu wa Tanzania, wanafunzi wa ufundi, na wataalamu vijana waliokusanyika katika maktaba iliyojengwa na China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kutafuta fursa za ajira kwenye makampuni ya pamoja ya...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Uzi wa ushauri, mapendekezo, maoni, ujumbe, changamoto, masuali, na duku duku kuhusu siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi mkuu.

    Kila mwenye maoni ushauri changamoto mapendekezo duku duku suali kuhusu kinachoendelea katika siasa za Tanzania na kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu aje hapa
  20. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Kiuchumi: Je, Tanzania Inaweza Kupenya Minyororo ya Madeni na Kusimama Kwenye Miguu Yake?

    Katika historia ya maendeleo ya kiuchumi duniani, hakuna taifa lililopaa kufikia economic sovereignty bila kukabiliana na changamoto za madeni, sera dhaifu, na utegemezi wa rasilimali za nje. Tanzania, kama developing economy yenye rasilimali lukuki lakini bado ikihesabu kwenye low-middle income...
Back
Top Bottom