tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania bila Samia ingekuwaje?

    Najaribu kuwaza hali ambavyo ingekuwa kama tungekuwa na rais mwingine na siyo huyu rahis wa sasa.
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rwanda na Uganda zaongoza EAC kasi ya Ukuaji Uchumi, Kenya Nchi Pekee Uchumi wa Kati, EAC, Tanzania yarejeshwa Kundi la Nchi Masikini!. WHY?!

    Wanabodi Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Aibu! Hivi ndivyo Tanzania inavyoonekana mbele ya jumuia ya kimataifa

    Chawa drama 🤣. Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali. Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu. Ila siwalaumu sana CCM. Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’. CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves...
  5. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 DOKEZO Responded Uchaguzi Mkuu wa 2025 na uadilifu wa Vyombo vya Habari Tanzania

    Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
  6. Keynez

    JamiiForums Tanzania Je, Novena ya Mtakatifu Nyerere kuliombea taifa la Tanzania inaweza kuzaa matunda?

    Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo. Wengi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Tanzania ni kinara kwenye uchumi Afrika, nawashangaa wanaosema tumefilisika

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji...
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni gereza

    Watanzania Tunaishi ndani ya gereza kubwa lisilokuwa na kuta. Hakuna mtanzania aliye huru, sisi wote ni wafungwa wa kisiasa
  11. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Vichekesho vinavyotokea Tanzania huko kuzimu bwana shetani anaangua kicheko kweli na watu wake

    Embu ona kichekesho kama hiki Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni... Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
  12. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mimi nataka mabadiliko Tanzania ila siungi mkono maandamano au mapinduzi ya kijeshi

    Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram Wako watakaopiga kura Wako wanaosupport maandamano Wako wanaopinga Wako ambao hawajajua wako upande upi...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch. Morwabe kutoka Kenya atoa onyo kwa Rais Tanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu

    https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c Anasema: 1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi.. 2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuzifunga kambi za wakimbiz Burundi

    Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo Juni, 2026 baada ya mahojiano yaliyofanyika kuhusu sababu za wakimbizi hao kukimbia nchi yao kuonesha...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania nani akifa atapata heshima ya upendo kama ninayoiona kwa Raila Odinga

    Naangalia kinachoendelea kwenye maombolezo ya Raila. Yananijia maswali madogo ..je hapa Tanganyika/Tanzania, nani aliye madarakani/ serikalini akifa ataliliwa na watanzania? Simuoni!
  16. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Tanzania Launches Pandemic Fund Project to Strengthen Health Emergency Preparedness and Response

    Mwanza, Tanzania – The President’s Office – Regional Administration and Local Government, the Prime Minister’s Office and the Ministry of Health of the United Republic of Tanzania in collaboration with the World Health Organization (WHO), the United Nations Children’s Fund (UNICEF), and the...
  17. darautobroker

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Very rare Miss Tanzania isiyokuwa na tairi nyuma iko sokoni

    Bei/Price TSH 37M Call +255 747 999 927 TOYOTA RAV4 Year: 2008 Engine: 2,360Cc Mileage: 43,000+ Transmission: AUTO Fog Lights Sport Rims Fender Mirror 100% Duty Paid Free Registration
  18. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lengo la maandamano liwe kuikomboa Tanzania kutoka mikononi mwa viongozi wabovu na mafisadi siyo kubadili wanasiasa

    Watanzania huu siyo wakati wa kufanya maandamano ili kuuuweka upinzani madarakani ila ni kuondoa uongozi mbovu na wa kifisadi unaosababaisha maisha magumu kwa wananchi huku hao wachache wakifaidi keki ya nchi hii. Katiba na mengineyo itakuja baada ya nchi hii kuwa ktk mikono salama sivyo hata...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Balozi za Ujerumani na Marekani zinao wajibu wa kufafanua juu ya wawili waliofutiwa visa na Tanzania

    Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS. kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
  20. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania itapitia kipindi kigumu ambacho haijawahi kupitia tokea iumbwe

    Niwape pongezi ndugu zangu watanzania, kwa uvumilivu, busara na hekima nyingi tulizo barikiwa, hivi karibuni nililala nikaota...! Nimeota kuwa dunia ipo kwenye kipindi cha mabadiliko hii ni kweli kabisa ni kama vile msimu wa kiangazi, masika nk. Hivi ndivyo ilivyo kwa msimu tuliopo...
Back
Top Bottom