Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki.
Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs.
Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
The Tanzanian government has imposed sweeping internet restrictions on major social media platforms, effectively blocking access to TikTok, Instagram Live, X (formerly Twitter), and local forums in a calculated move to disrupt online youth mobilization on the eve of tomorrow’s general elections...
28 October 2025
Addis Ababa
Ethiopia 0 - 1 Tanzania
Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia katika hatua ya michezo ya fainali kwa bara la Afrika baada kuwatoa Ethiopia (2-0) katika mkondo wa...
Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu.
Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha.
1...
Mambo ya aibu we are being portrayed.
Uchaguzi wote uko kwetu.
Just tune in!
https://m.youtube.com/watch?
v=NSG0IRfLsHk
https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo.
Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa...
Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu.
Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu?
Hongera TFF kwa ubora wa Mpira wa Tanzania. Hongera Azam na Ving'amzi vyennu. Azam uwekezaji wao kwenye mpira wa Tanzania...
Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa ata surrender...
Damu ya Mafwele mniachie mie niinywe live
Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿
Na
👇🏿
ujasiri,
uthabiti,
Uamuzi,
kujitolea,
kuzingatia,
Itikadi,
Ustahimilivu,
Mwendelezo,
Chanya,
Umoja,
Umoja,
Mtazamo wa kawaida
Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!”
Tanzania iko katika kipindi hicho sasa:
Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29...
Kwa yanayoendelea Mkuu wa hii Taasisi kuhusishwa na tuhuma nzito za rushwa na ufisadi, pamoja na wafanyakazi wengine kadhaa.
Kwa yanayoendelea hadi siri za nchi zinafika kwa majirani zetu kuhusu maofisa wa hii Taasisi wanavyotumiwa na Wanasiasa kufanya mambo ya hovyo ikiwemo kununua programs...
Haijatokea Tanzania kuwa na uchaguzi wa aina hii , naomba wauliza wazee wetu
1. Mzee Kikwete
2. Mzee Warioba
3. Mzee Butiku
4. Mzee wasira
5. Malichela na wengine, hivi katika taifa hili kuwewahi kuwa na uchaguzi wa namna hii , kwanini sasa leo hii na mpo hamjafa ?
Hapana wazee wangu, hapana...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo.
Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi.
https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
The clan representatives revealed during an interview that more than 6000 tribemen are ready to vote during the super wednesday in Tanzania 2025 election.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.