tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    Kuna shida somewhere: Uganda, Tanzania na Zanzibar zasaini MoU

    Hata kama watu hawanaga akili, siyo kwa level hii ya Tanzania na Zanzibar kuonekana ni nchi mbili tofauti wakati tunajua ni nchi moja.
  2. Madhara ya nchi za Ulaya na Marekani, Kutotambua Uchaguzi wa 2025 wa Tanzania na Athari Zake kwa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania unakaribia, na tayari kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutotambuliwa kwake na nchi za Ulaya na Marekani. Madhara ya hali hii yanaweza kuwa makubwa, sio tu kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) bali pia kwa wananchi wa kawaida. Katika makala hii, tutaangazia...
  3. Sifa za Ubunge East Africa, Tanzania ni shimoni Bado

    🇹🇿 Tanzania Kulingana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977: Sifa za kuwa Mbunge ni: 1. Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa au kwa uraia wa kawaida aliyeishi muda mrefu nchini. 2. Awe na umri usiopungua miaka 21. 3. Awe anayejua kusoma na kuandika Kiswahili au Kiingereza. 4...
  4. Mwaka 2015, ni Mwaka ambao utakumbukwa sana kwenye Siasa za Tanzania.

    Kuanzia 2015 kuja hadi sasa, ni tofauti sana na hapo kabla. Ni kama vile wakubwa waliona wakicheka na nyani watavuna mabua, Kilichofuata ni vibano kila sehemu. Media, free speech, n.k Ila kama ilivyo 1995, 2015, 2025 nayo wenda ikakumbukwa sana kwenye historia ya Siasa za Tanzania.
  5. K

    Hivi kweli CCM kupitia Tanzania mnaenda kukubali mama awe Rais tena miaka mitano mingine?

    Niseme watu wenye uchungu na hii inchi wamekwisha labda kabaki mzee Warioba na Butiku, Hamuwezi wanaume wote Tanzania nzima kumpendekeza Rais Samia kuwa mgombea wa CCM ukitegemea hata Urais aliupata sababu ya kifo cha mtangulizi wake magufuri, Inamaana wanaume wote huko serikalini mmegeuka...
  6. PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  7. K

    Moshi pasafi, pako organized ni wazi sehemu ya Tanzania kibahati mbaya

    Ni mda sana sijaja Moshi kwa sahivi niko Moshi zifuatazo ni sifa ambazo nilikuwa nazimiss Pasafi-moshi paradise sana aisee sio sawa na miji mingi hapa Tanzania Hakuna makelele ni ngumu kusikia watu wanaropoka kama dsm Watu ni wastaarabu sana Napata usingizi mzuri sana hali ya hewa nzuri sana...
  8. PreGE2025 Waziri Ulega: Miaka michache ijayo Tanzania itajitegemea kikamilifu utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema kuwa mafanikio makubwa yaliyopatikana katika sekta ya ujenzi nchini ni matokeo ya maono, juhudi, ubunifu na rasilimali za Watanzania wenyewe. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza katika hafla ya Jukwaa la Fikra iliyofanyika tarehe 22 Juni 2025 katika...
  9. GE2025 Money VS Power: Siri ya Matajiri na Watu maarufu kuutaka Ubunge Tanzania

    HELLO JF Wiki hii kumekuwa na wimbi kubwa la watu maarufu na matajiri kukimbilia kuchukua fomu za kugombea ubunge, jambo lililoibua mijadala mitandaoni huku wengi wakiuliza: "Kuna siri gani kwenye Ubunge?" Inawezekana sababu mojawapo ni uchu wa kuwatumikia wananchi, lakini ukweli ni kwamba...
  10. Tanzania yashinda tuzo ya " Word Best Tourism Destination Award"

    SERENGETI, ZANZIBAR, KILIMANJARO MIONGONI MWA WASHINDI WAKUU WA TANZANIA KATIKA TUZO ZA SAFARI ZA DUNIA ZA MWAKA 2025 DAR ES SALAAM, Juni 29 (Xinhua) – Tanzania imeibuka kuwa lulu ya utalii barani Afrika katika Tuzo za Dunia za Safari za Mwaka 2025, zilizofanyika Jumamosi usiku katika jiji la...
  11. Tetesi: Asante Rais Trump mapendekezo yaliyotolewa na Marekani Kwa Tanzania ni Kilio na kusaga meno kwa CCM

    Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana . Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa. Maazimio yalikuwa. -Vyama...
  12. Siasa za Tanzania zinafikirisha

    Nawasalimu wanabodi. Watanzania tunacho cha kujifunza kuelekea uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka kutokana na aina ya watia nia ambao mpaka sasa wamejitokeza. Bunge lililoisha muda wake naona wana mchango katika hili maana kimsingi ni bunge la ajabu na ovyo kupita mabunge yote niloyafahamu...
  13. Wanasiasa wanaongea tu na kujiongelesha ila miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko hapa Tanzania.!

    Huwa nikiwasikiliza wanasiasa wa Tanzania na ahadi zao najua kabisa hawa wanababaisha tu. Miaka kumi haitoshi kuleta mabadiliko kwa wananchi . Labda kama mnazungumzia kujenga barabara, matundu ya chooo vyumba Vya madarasa na zahanati. Ila mabadiliko yenyewe ambayo yanaweza kuitoa nchi kwenye...
  14. PreGE2025 Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha achukua fomu kuwania ubunge Kinondoni

    Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
  15. Ntafanya elimu ya Tanzania iheshimiwe dunia nzima, yaani mtu akiwa na cheti kutoka Tanzania ataheshimiwa

    Mtoto anayemaliza elimu ya shule ya msingi atakua na uwezo ufuatao;- Uwezo wa kujieleza kwa kujiamini kwa kutumia kingereza na kiswahili Atakuwa na msingi imara wa kuongea kingereza, Kutumia computer na kufungua vitu vidogo vidogo kama email, (Tanzania kuna group kubwa la watu hawajui hata...
  16. R

    Usimamizi wa 'Mikopo ya Dharura kupitia simu' nchini Tanzania

    Utangulizi Kuwa kwa kasi kwa huduma za kifedha za kidijitali nchini Tanzania kumeleta mapinduzi makubwa katika upatikanaji wa mikopo na huduma za malipo kwa mamilioni ya wananchi. Miongoni mwa ubunifu huu ni kuibuka kwa huduma za mkopo wa dharura kupitia simu za mkononi, zinazojulikana kwa...
  17. M

    Wito kwa Dini na Madhehebu yote Tanzania.

    Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu. Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
  18. Tanzania na Alma wasaini mkataba wa uenyeji

    TANZANIA NA ALMA WASAINI MKATABA WA UENYEJI Serikali ya Tanzania na Umoja wa Viongozi wa Afrika wa Kupambana na Ugonjwa wa Malaria (African Leaders Malaria Alliance-ALMA) wamesaini Mkataba wa Uenyeji (Host Agreement) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Juni 28, 2025. Uwekaji saini huo...
  19. W

    Tiktok umekuwa mtandao wa majivuno ya kikabila kwa kizazi cha watoto wa 2000, Tukipuuza tunaandaa taifa litaloshamiri ukabila

    Katika mitandao mingine, ukabila hujitokeza mara chache, ni mambo ya mpito, lakini Tiktok imegeuka jukwaa kuu la majivuno na mashindano ya makabila, Tiktok imekuwa kama kiwanda cha kuchochea ukabila wa kisasa kwa kivuli cha burudani, Tiktok inachochea sana vijana kuona thamani katika makabila...
  20. Ukitaka Kuishi Tanzania kwa Aman Fanya yafuatayo

    1;Husiende kumdai mtu /kikundi Cha watu waliopokonya kilicho chako waache wakitumie siku wakikichoka watakurudishia wenyewe 2;Ungana na watesi wako ata kama moyo wako unavuja Damu 3; hakikisha unakuwa mjinga ata kama una kiwango Cha juu Cha uelewa 4; mwisho , subiri miujiza ya wagalatia siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…