Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
afrika
afrika mashariki
amri
huduma
huduma za intaneti
intaneti
kurejesha
kutotoka nje
mashariki
mtandao
nje
serikali
serikali ya tanzaniatanzania
uchaguzi
waangalizi
PRELIMINARY STATEMENT ON THE 29 OCTOBER 2025 GENERAL ELECTIONS IN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Today, 31st October 2025 – In line with its mission to promote credible, peaceful, free, and fair elections through impartial regional observation and analysis across the East and Horn of Africa...
Kwa mara ya pili, Taasisi ya Uchunguzi wa Uhalifu ya Marekani, FBI, imemuarifu Mange Kimambi kwamba amepangwa kuuawa, kwa mujibu wa taarifa za kiinteligensia ilizozipata FBI.
Yamesemwa leo na Mange mwenyewe.
Mara ya kwanza alitahadharishwa hayo wiki mbili zilizopita wakati akipanda ndege...
Nov 02, 2025
Tanzania’s President-Elect, Samia Suluhu Hassan, is expected to be officially sworn in on Monday, November 3, in Dodoma City.
According to a government statement announced via the national broadcaster, TBC, the swearing-in ceremony will take place at a military venue where...
Nov 02, 2025
The European Union (EU) takes note of the proclamation by the Independent National Electoral Commission of Tanzania and the Zanzibar Electoral Commission of the results of the presidential elections held on 29 October 2025.
The EU is very concerned with the events that occurred...
Kwenye Ibada ya leo. Baba Mtakatifu Papa Leo ameziombea Tanzania na Sudan na kueleza mamia ya watu wameuwawa nchini Tanzania kutokana na vurugu za Uchaguzi
Samia elewa tu we jiapishe ila inyeshe mvua liwake jua sio tu sisi Watanganyika bali dunia nzima haitakuacha salama kwa kutuua Watanganyika...
Translation:
The Tanzania Police Force has received information about individuals who are not Tanzanian citizens having entered the country through unofficial channels with the malicious intent of committing crimes, including causing violence/disorder.
These individuals are pretending to be...
Habari wakuu,
Aisee kila ninaempigia smu Tanzania simu hazipatikani , na si kwa whatsap call hapana ni kwa normal international minutes
Hivi ndo shida ni mtandao kuzimwa au ndo hakuna umeme simu zao wote hazina. Charge??
Makundi ya mamluki yenye silaha za moto Dar es salaam, Arusha, Tunduma n.k (mfano Janjawed, waganda n.k) yanaendeleza mauaji mitaani na barabarani mitaa ya sinza, ilala n.k. Ni wazi Samia ameamua kuongoza kwa kumwaga Damu za watanganyika.
Angalizo: Akiachwa aendelee hii miaka mitano, anaenda...
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.
Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.
Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza...
01 November 2025
Matokeo ya Uchaguzi Tanzania 2025: maRais watuma salaam za pongezi kwa Samia Suluhu Hassan
Orodha ya marais wanaotuma pongezi kwa Samia Hassan :
"Kwa niaba ya Watu, Serikali ya yangu na Mimi mwenyewe nampongeza ndugu yangu, Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ushindi mnono wa...
Kuna taarifa kuwa Star Link wametoa free internet kwa Tanzania ili kuwezesha mawasiliano na uhuru wa maoni.
Naomba Maxence Melo confirm hili na tuwataarifu Watanzania wote muda huu
On his official X page ,UN secretary General ( António Guterres ) wrote "Deeply concerned by the situation in Tanzania, including reports of deaths & injuries during demonstrations.
I call on all to exercise restraint, reject violence & engage in inclusive & constructive dialogue to prevent...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Inaelezwa kuamkia jana Samia alikimbilia Uganda na kuhifadhiwa kwa Museveni.
Chanzo kutoka UN kimedai amehifadhiwa mpakani mwa Uganda na Tanzania.
Wazalendo wetu mliotukuka JWTZ tunaomba kikamateni hicho kikaragosi na mkikabidhi kwa Wahaya wakishughulikie kwa damu alizomwaga za kina Mdude...
Kwa maoni yangu, wafuatao ndio wasaliti wakuu waliolitumbukiza taifa letu kwenye machafuko lililomo hivi sasa. Wapo wengi, lakini mchango wa hawa ndio mkubwa zaidi.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Samia Suluhu Hassan
3. Hamza Johari (Attorney General)
4. Francis Mutungi (Msajili, Vyama Vya Siasa)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.