Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Waangalizi wa uchaguzi wa Umoja wa Afrika wamesema kwamba uadilifu wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29 uliathiriwa, wakitaja matukio ya kujazwa kwa kura katika vituo kadhaa vya kupigia kura.
Ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi wa umoja huo ulisema hapo jana waangalizi wake walishuhudia...
Hii itawafanya viongozi na mafisadi kuwa na hofu ya uonevu wao na pia raia wataweza kujilinda na kujitetea kwa silaha za moto .
Huu utaratibu wa serikali tu i.e: majeshi tu kumiliki silaha kuna sababisha uonevu kwa raia kwa askari kuzitumia wanavyotaka pasipo nidhamu ikitokea askari wametumia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
"Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote"
Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
Hello peeps,
Never written in English on this forum. I'm Tanzanian, and I watched stuff happen during the elections. With respect to the internet, here's is a simple timeline:
October 29, 2025 (Election Day): A major internet blackout started.
Groups that measure the internet (like NetBlocks)...
Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa.
Ujasiri, huruma na weledi wenu ni wa kipekee, mnafanya zaidi ya kile kinachotarajiwa, mkitupa wote...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔
MAY THEY REST WELL!
Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔
Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
I saw this earl story from outside the country media reports about our issues.
Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...
Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Rais Samia Suluhu...
Nchi yetu imefika hapa kwa sababu ya uongozi mbovu,ufisadi,rushwa,utekaji,uchaguzi wa kishetani,maisha mabovu. watu wanachuki na serikali na CCM. CCM sio chama tena cha mkulima na mfanyakazi...
Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta
Kwa hali hii...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa siku tano mfulilizo watanzania wakiuwawa kwa kupigwa risasi na Abdul na mama yake Samia lakin hakuna hata radio station moja iliyosema wala kutangaza
Nchi ilikuwa gizani zaid ya Burundi
Mtangazaji mwenzao kafariki kwa kupigwa risasi...
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
Kwa Image tuliyokuwa nayo tuliaminishwa Tanzania ni nchi ya Democrasia nchi ya vyama vingi uhuru wa kuchagua viongozi tunaowataka. Lakini kwa Uchaguzi wa Oktoba 29.
Tanzania haina toafuti na Burundi, Rwanda, Uganda, kuingia madarakani lazima utokee Msituni sio kwenye box la kura ni Uongo
Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.