tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hawa Wakenya, Wana nini na Tanzania?! Wanatutukania Rais Wetu kuwa She Was Nobody na Kumuita Dikiteta Iddi Amini Mama!, Tusikubali na Tusiwanyamazie!

    Wanabodi Hebu msikilizeni huyu jamaa, Mkenya anaitwa Rodgers Kakasungura https://youtu.be/FFVNsTEI690?si=g-1g15frbAOn6yYz Anatema uongo kumhusu Rais Samia, anamtukana na kumuita Dikteta Iddi Amini Mama, pia amemtukana rais wake Ruto kuwa ni Dikiteta Iddi Amini Baba, na kusema Uganda kulikuwa na...
  2. U

    JamiiForums Tanzania INEC - Tanzania: Nani kampigia kura Samia Suluhu? Nani kapiga kura? Acheni ujinga huo mara moja wa kutangaza hayo mnayoita "matokeo ya uchaguzi"

    Wenye nchi (wananchi) hawakwenda wala kujitokeza kupiga kura kwa sababu tulisema toka mwanzo NO REFORMS NO ELECTION na mlitubeza na kudharau... Sasa hayo mnayoyaita "matokeo ya kura za udiwani, ubunge na Rais mmeyatoa wapi...? Bado mnaamini kuwa mtaendelea kututawala kwa uongo na udanganyifu...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisiwa cha amani iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025

    Inasikitisha sana ila ndo tukubali ukweli kuwa ile Tanzania ya watu wapole, wapenda amani wasiotaka fujo iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025. Hakutakuwa tena na kubembelezana kwenye mambo ya haki. Kila kitu kimeanza upya kuanzia jana. Raia wamevumilia toka awamu ya kwanza hadi leo awamu ya 6...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbe Jeshi la Polisi Tanzania ni wepesi kiasi hiki!🤣🤣

    Sikutegemea kwamba chini ya Uongozi wa Afande Mliro, kuna kamanda atakosa msaada wa wenzake na kuamua kutelekeza kituo, Silaha, nna kuvua sale ya dola kuanzia buti Suruali na Mkanda n kutokkomea kusipo julikana. Nilitegemea Polisi akizidiwa ataita wenzie waje na yale magari mapya waliyopewa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania UE Statement: Elections in Tanzania were neither free nor fair

    Elections in Tanzania were neither free nor fair October 30, 2025 In a joint statement on general elections held on 29 October in Tanzania, leading MEPs urge all democratic partners to stand firm in defence of democracy and human rights. “As Tanzanians went to the polls today, the...
  7. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa imani yake aiombee Tanzania 🇹🇿

    UMEVUKA SALAMA? Kama umevuka kipindi hiki kigumu, tafadhali tujulishe kwamba uko salama na tuendelee kuwaombea wenzetu. Watu wengi wameumia na kupoteza wapendwa wao, Kwa imani yako na bila kujali itikadi za kiasiasa, tuiombee Tanzania 🇹🇿 yetu! Tuwaombee wenye madaraka wapewe busara na...
  8. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania mmenifurahisha, Samia aondoke la sivyo akikamatwa atatafunwa kama karanga. Tumechoka na hawa CCM

    Tumechoka na huyu Samia na wapumbavu wenzake, Huyo hana hata ile elimu ndogo ya form IV, amefeli kama walivyofeli police wake wauaji, wafiraji na wabakaji. Leo mmetutambua kuwa enough is enough, ameshaharibu na hatutaishia hapo, serikali ya CCM imetunyanyasa sana.....tumechoka. Niwatahadharisha...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Message sent: Ipo siku nguvu ya umma italeta mabadiliko Tanzania

    Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli. Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha. Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
  11. Mr Devil

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  12. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia vs Suluhu: Gazeti la The Standard Kenya laonyesha jinsi uchaguzi wa 2025 Samia anavyoshindana mwenyenye bila mpinzani wa maana

    SAMIA vs SULUHU: The Standard’s front page reports how opposition parties have been effectively sidelined in Tanzania’s 2025 general elections, leaving President Samia Suluhu Hassan and the ruling CCM party with a largely uncontested path to victory. With leading opposition parties such as...
  13. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Idadi ya polisi Tanzania.

    Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi...
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mashirika ya haki za binadamu yatilia shaka uchaguzi mkuu Tanzania

    Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
  16. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Tanzania Silences Social Media Ahead of October 29 Elections to Curb Youth Protests

    The Tanzanian government has imposed sweeping internet restrictions on major social media platforms, effectively blocking access to TikTok, Instagram Live, X (formerly Twitter), and local forums in a calculated move to disrupt online youth mobilization on the eve of tomorrow’s general elections...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Twiga Stars yafanikiwa kupata ushiriki wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026

    28 October 2025 Addis Ababa Ethiopia 0 - 1 Tanzania Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia katika hatua ya michezo ya fainali kwa bara la Afrika baada kuwatoa Ethiopia (2-0) katika mkondo wa...
  18. 6By6 Miguno

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya yanayoendelea nchini Tanzania kwa sasa

    Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu. Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
  19. Mbondijr

    JamiiForums Tanzania Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  20. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
Back
Top Bottom