tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Masalu Jacob

    National Database Center iundwe Tanzania

    Habari Tanzania ! Mnataka mawazo ya vijana, ishi nayo hii wewe mwenye nguvu na mamlaka Tanzania. Naomba kupendekeza kuwa; Watanzania wote wasajiriwe nchi nzima. Tuwe na data za taarifa zao kuanzia Watu waliopo, wanaozaliwa, kufa, umri, Jinsia, Elimu, Kazi, nk ili tunapoweka mipango ya...
  2. JOHNGERVAS

    Vyombo vya habari Vya Tanzania vina hali mbaya, Vinasikitisha waandishi wamegeuka wapambe

    Katika siku za karibuni, kumeibuka hali ya kusikitisha sana katika tasnia ya habari nchini Tanzania. Vyombo vingi vya habari ambavyo viliheshimika kwa kuandika kwa ujasiri na ukweli, sasa vinaonekana kama vimelegeza msimamo. Habari muhimu zinazogusa maslahi ya wananchi, hasa zile zinazokinzana...
  3. M

    GE2025 Mkutano wa Polepole na waandishi wa habari wasababisha Mitandao yote ya kijamii kuzimwa na mamlaka nchini Tanzania

    Hivi Polepole ana taarifa au siri gani za maovu ya watawala zinazowatetemesha kufikia hatua ya kuzima mawasiliana nchi nzima
  4. M

    Ufafanuzi Kuhusu Awamu za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Kuna jambo ambalo watu wengi hawaelewi vizuri — kwamba dhana ya Awamu katika tafsiri ya kisiasa inahusiana moja kwa moja na mtu binafsi, yaani Rais aliyepo madarakani katika kipindi husika. Kwa bahati nzuri, wakati Mheshimiwa Rais alipokuwa akizindua DIRA 2050, alieleza kwa ufasaha mchango wa...
  5. Zombi Mweusi

    Tanzania yangu chini ya mkoloni CCM

    Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia, kwani viongozi wa sasa wameugeuza kuwa fursa ya kujinufaisha wao na familia zao, huku mwananchi wa...
  6. OMOYOGWANE

    Kwanini Mwl Nyerere alipiga marufuku waTanzania kuangalia Tv?

    Hili ni swali mtu yeyote mwenye Majibu achangie Imagination zangu Baada ya uhuru wa Tanzania watu wengi hawakuwa na elimu wala shughuli yeyote ya kiuchumi, ujinga na umasikini ulikuwa kwa asilimia 99% Nyerere akaona kuwaruhusu watu hawa kuangalia Tv ni kulizika Taifa mchana kweupe Akaamua...
  7. R

    Polepole: Mimi nipo Tanzania

    Namba hii uliyotoa iko tanzania? Kweli uko Tanzania? +13057764396 Hii ni namba ya wapi?
  8. Bushmamy

    Mtandao wa YouTube Tanzania Tangu saa Tano haifanyi kazi

    Wengi wanahisi kwa sababu ya press ya pole pole ndo maana wameufuutilia mbali
  9. Wizara ya Ardhi

    Pinda aiwakilisha Tanzania mkutano wa 44 shelter Afrique Algeria

    Algiers, Algeria – Julai 17, 2025 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Geophrey Mizengo Pinda (Mb), ameiwakilisha Tanzania katika Mkutano Mkuu wa 44 wa mwaka wa Taasisi ya Shelter Afrique, uliofanyika jijini Algiers, Algeria kuanzia Julai 15 hadi 17, 2025. Mkutano huo wa...
  10. Ashampoo burning

    Je, Tanzania Kuna Atheist Society? Kama Hakuna, Kwanini?"

    "Samahani kwa kuuliza, lakini naomba kujua kama Tanzania kuna Atheist Society au jamii yoyote rasmi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu? Kama hakuna, kwanini jamii kama hii haipo hadi sasa wakati nchi nyingine zina uhuru wa imani mbalimbali? Je, ni kwa sababu ya mazingira ya kijamii, sheria, au...
  11. P

    Safari ya Tanzania kuelekea kujitegemea

    Mapema baada ya uhuru mwaka 1961, Tanzania imekuwa ikiimba wimbo wa kujitegemea kiuchumi na kudumisha ujamaa. Falsa na sera ya kujitegemea ilipamba moto zaidi baada ya kutangazwa kwa Azimio La Arusha mwaka 1967 ambalo lilizingatia mambo kadhaa ambayo waliamini yangetuwezesha kufikia malengo ya...
  12. D

    Kumbe upinzani hapa Tanzania maana yake ni uadui na serikali! Duh hii kali

    Kitendo cha Mbowe kwenda kwenye uzinduzi wa dira ya maendeleo imekuwa nongwa. Watanzania tuwe makini na upinzani. Kumbe ndo mana wapinzani wa hizi nchi zinazoendelea maama hawana maana kabisa
  13. K

    Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani

    Ubinafsi na Uchama wa Kikwete umechangia Tanzania kufika hapa majangani. Anachojali ni familia yake, marafiki zake na wapambe. Bila huyu mddudu tungekuwa na katiba mpya, mifumo imara ya mahakama na bunge la wananchi. Sasa tumejaza wala rushwa, mahakama ya kisiasa na bunge butu!!!!
  14. Zanzibar-ASP

    Pendekezo: Kitengo cha mipango miji na taaluma ya mipango miji vifutwe haraka sanahapa Tanzania

    Miongoni mwa vitu vya ovyo kabisa hapa Tanzania ni uwepo wa mipango miji na wataalamu wa mipango miji. Hivi vitu havina faida yoyote hapa Tanzania na hapa napendekeza vifutwe haraka sana. Sihitaji hata kusema sababu gani imepelekea nipendekezo hilo lakini hata wewe msomaji tayari umeshajua...
  15. Dennis Robert Shughuru

    Miji ya Tanzania haina open space, public garden, sport centre inasikitisha sana

    Miaka ya 90 kurudi nyuma open space zilikuwepo ila ghafla miaka ya 2000 kuelekea 2010's zikaanza kuota mbawa sasa hivi kwenye miji yetu hakuna public garden, open space na sport centre to be honest hali ni mbaya Sehemu kama dsm hali ni mbaya zaidi sababu unaweza tembea km 10 hakuna open space...
  16. Mindyou

    DOKEZO Responded Ayra Starr amesainiwa Roc Nation. Tanzania tunafeli wapi wasanii wetu kusainiwa na lebo za kimataifa?

    Wakuu, Huko Nigeria sasa hivi ni shangwe na vigelegele tu maana kuna msanii wao wa kuitwa Ayra Starr amemwaga wino kwenye kampuni iliyoanzishwa na JAY Z ya kuitwa Roc Nation. Nilichopenda ni kuwa pamoja na kusainiwa Roc Nation, lakini Ayra ataendelea kuwa chini ya Mavin. Yaani Roc Nation ni...
  17. M

    Tanzania spareparts service

    Katika mazingira ya sasa ya kiuchumi, kumiliki gari kunahitaji uamuzi wa busara unaozingatia zaidi ya bei ya ununuzi. Gharama za matengenezo na upatikanaji wa vipuri (spare parts) ni mambo muhimu yanayopaswa kuzingatiwa kabla ya kufanya maamuzi. Ni aina gani ya magari ambayo kwa uzoefu wenu...
  18. GENTAMYCINE

    Kuna Mtu Mnafiki kaandaliwa Dongo hilo na atajuta Kumchokoza mwenye Kisu chake Kikali na Kisiwa chake cha Kihistoria Tanzania

    Ajiandae Kisaikolojia kwani huyo Mtu kwa Madongo na Maneno ya Kuudhi kama siyo ya Kukera ya Kipwani Pwani hata Hawara yake Mkuu wa Bagamoyo anasubiri.
  19. GENTAMYCINE

    Naomba kujua Mafanikio yaliyopatikana kwa Tanzania kutoka nchini Cuba tangia Polepole awe Balozi au lolote la maana alilolifanya huko

    Nasubiria kuyasoma hapa hayo Mafanikio. Asanteni.
  20. Ojuolegbha

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia

    Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, Kombo, ametuma ujumbe mzito kwa aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, kufuatia kujiuzulu kwake hivi karibuni. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari leo Julai 16, 2025 , Kombo alieleza kushangazwa na kauli za Polepole...
Back
Top Bottom