tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mwanazuoni wa historia Tanzania apongeza mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka 5 wa China

    Hivi karibuni mkutano wa 4 wa wajumbe wote wa kamati kuu ya 20 ya chama cha kikomunisti cha China ulifanyika mjini Beijing, na kupitisha mpango wa 15 wa maendeleo ya miaka mitano (2026-2030). Pamoja na mambo mengine mpango huo una malengo manne makubwa, ambayo ni kuhimiza ongezeko la uchumi na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mpaka leo hatutumii body bags kuhifadhia maiti Tanzania!

    Iwe kwa ajali au sababu nyengine yoyote, miili ya wapendwa wetu inakua inaachwa wazi kabisa, unaweza kukuta maiti yupi na boxer tu au yupo uchi, huu sio utu, Wizara ya Afya na Wizara ya mambo Ndani hivi mnashindwaje kuagiza body bag ambayo bei yake ni chini ya dola moja kule China
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuikomboa Tanzania inahitaji msaada wa nchi nyingine kiuvamizi kama Uganda, la sivyo tutaishi maisha ya kumwaga damu

    Kipindi walichopitia Uganda utawala Idd amin ilikuwa ni ngumu kumtoa mtu ambaye mwenye matendo kama utawala wa ccm ambao ukiendelea tokea kila awamu za wanaoshika madaraka. Kama watawala wanabebwa na vyombo vya ulinzi wabaki madarakani na kumshikilia kwa vyeo vyao ni ngumu kutumia maneno...
  4. JF Summary

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Police arrest a US Army Soldier allegedly found with hand grenades

    Tarime, Mara - November 17, 2025 The Police Force in the Tarime–Rorya region has said it has arrested Charles Onkuri Ongeta (30), a dual US and Kenyan citizen and a soldier in the US Army with the rank of Sergeant, in possession of four hand grenades (CS M68 type). According to the Police...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Arusha imegeuka Goma ya Tanzania.

    Wanajeshi wanafanya doria kila mahala Meserani kuna beria wananchi wanakaguliwa vitambulisho na wanajeshi waliobeba Ak 47 Wanajeshi ndio wanaongoza magari kama askari wa barabarani wapo likizo. Goma au Kisangani na Bukavu
  6. B

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba AONYA MAPINDUZI Tanzania

    15 November 2025 https://m.youtube.com/watch?v=taaPPz2Df0Y Prof. PLO Lumumba achambua kuhusu washauri wahuni, machawa wanaosema Mama usisikilize kelele za vijana GenZ, vijana hao GenZ ni genge lisilojielewa, wababaishaji, hawajui wanadai nini, watapoa tu, 912 hawatatokea katika maandamano...
  7. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Asilimia 56.7 ya wabunge wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania ni wapya

    "Takwimu, zinaonesha kuwa wabunge 223 kati ya wabunge 393 sawa na asilimia 56.7 ni wabunge wapya kabisa. Aidha, asilimia 45 ya wabunge wote ni wanawake." - Rais Samia Suluhu akihutubia na kufungua Bungea la 13
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

    TAFAKURI YA TAFAKARI YA BARAZA LA MAASKOFU TANZANIA (TEC) ILILOTOLEWA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 15 TAREHE 2025 Mwandishi, H.M Mponda (Msema Kweli) MA, Digital International Relations & Diplomacy Mtanzania Mzalendo. Utangulizi. Ndugu Watanzania wenzangu, panapotokea jambo zito katika taifa ni...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 KKKT: Tumehuzunishwa na kusikitishwa na matukio yalitokea Oktoba 29 yaliyokosa UTU, HESHIMA na TAMANI ya binadamu

    Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake. Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Taifa la Tanzania linahitaji "inner engineers" wakati huu kuliko wakati wowote ule: Tumevuta nguvu hasi " negative energy" kwa kiwango kikubwa sana

    Wapo wapi "Mystic figures" wa Kitanzania wakati huu?. Yapo wapi mafundisho na mafunzo ya kujitambua badala ya kutambulishwa? Wapo wapi watu watakaosaidia wasijua kusudi la uwepo wao kulijua kusudi hilo kama anavyofanya Sdhguru India?. Je tuna tayari wa kuwasikiliza? Wapo wapi watu watakaofunua...
  12. political monger senior

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

    Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii.. Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote.. Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
  13. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Unafikiri hili litawezekana kwa siasa zetu za Tanzania?

    Nimewaza: Vipi kama Samia akishauriwa kufanya kama Raisi Mwinyi kule Zanzibar na kuvipa vyama vya upinzani nafasi za uwaziri? Hili likafuatiwa na Mh. Tundu Lissu kuachiliwa, kisha kuteuliwa kuwa mbunge na waziri na kisha kukabidhiwa wizara ya katiba na sheria. Vipi kama Mh. Lissu ataliongoza...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) Acheni Tofauti Zenu (CCT, TEC, BAKWATA) Kaeni pamoja

    Utangulizi The Interfaith Standing Committee on Economic Justice and Integrity of Creation (ISCEJIC) ni mpango wa ushirikiano ulioundwa na mashirika makuu ya kidini nchini Tanzania: Baraza la Kikristo Tanzania (CCT) Mkutano wa Maaskofu Tanzania (TEC) Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA)...
  15. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania DW: Tanzania yakosolewa kwa msako dhidi ya wanaoonyesha upinzani

  16. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuliwasaidia Waganda kumuangasha Dikteta Idd Amini. Je ni zamu ya Wakenya kuwakomboa kutoka kwa Museveni?

    Historia Huwa inajirudia Baada ya Dikteta Museven na mwanae kuishiwa hoja za kisiasa anataka atengeneze tatizo la nje Ili wanachi waondoe focus kwenye changamoto za utawala wake wa ovyo. LEngo ni kutaka kuwaonyesha wananchi wake kwamba yeye ndo mzalendo Kwa kudai madai ya mfalme ujuha au...
  17. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania's Blueprint: 11 Ports and the Grand Rail Network Reshape East African Trade - Tanzania vs Kenya Trade Battle

    Tanzania is advancing its ambitious vision to become East and Central Africa’s premier logistics and trade hub. At the heart of this strategy is the massive integration of 11 key ports—on the Indian Ocean, Lake Victoria, Lake Tanganyika, and Lake Nyasa—with a modern, unified railway system...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Hatutaki maridhiano yoyote na huu utawala batili tarehe 09 tunatoka

    Baada ya kutoa amri ya kuuwa Watanganyika zaidi ya elfu 10+ huku watu zaidi ya 23000 wakiwa hawajulikani walipo leo anataka maridhiano! Maridhiano ya wauawaji?? Big No!! Eti kaua yeye halafu anataka kufanya uchunguzi yaani ajichunguze yeye!! 1. Amekwepa kuomba radhi kwa ukatili uliofanywa na...
  20. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ushauri: EAC ipitiwe upya - Kenya aondolewe uwanachama kwa vurugu au Tanzania ibaki na SADC tu iachane na EAC

    Mwaka 1977 jumuia ya Africa mashariki ilikufa lakini msababishi alikuwa ni huyuhyu anayeleta vurugu Leo, Sioni haya ya kuwa na regional integration ambayo Haina Tija ambayo inaendesha harakati za vurugu ndani ya jumuia. Ni vema juumu Kama Taifa tuangalie hili swala huku tukikumbukua kuwa...
Back
Top Bottom