tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Leo Tanzania uchi uko uchi, Sijui Serikali watajibu nini mbele ya ripoti ya CNN

    Mzee wa ufafanuzi leo hapakaliki huko ndani, em tusubiri ufafanuzi wake atafafanua nini
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hawa wabunge wa Marekani ingekuwa Tanzania kingetokea nini?

    Rais Donald Trump kasema wabunge Hawa waliotoa maoni haya wanastahili kunyongwa. Jee ingekuwa Tanzania ingekuwaje?
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝘂𝘄𝗲𝘇𝗼 𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗻𝗮 𝗠𝗲𝘀𝗲𝗷𝗶 𝗣𝗿𝗶𝘃𝗮𝘁𝗲

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma

    Tanzania ilijaribu kuizuia habari hii isifike kwa umma. Lakini sisi tunaieleza dunia kupitia televisheni na mtandaoni.
  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchunguzi wa CNN wasema huenda kaburi la halaiki lipo katika Makaburi ya Kondo, Dar es Salaam

    Wakuu, Uchunguzi wa CCN umesema huenda makaburi ya halaiki yapo katika eneo la Kondo, Dar es Salaam. Japokuwa walishindwa kuthibitisha moja kwa moja kuwa walizikwa hapo, kupitia picha za satelait, za kabla na baada ya uchaguzi inaonyesha eneo hilo lilichimbwa na vijana wanasema walipewa kazi...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Vita ya Android na iPhone imefikia tamati sasa

    Hatimaye ile vita ya utata iliyopo kati ya Android na iphone imefikia tamati baada ya Google kutambulisha mfumo rahisi wa kuweza kurushiana vitu Toka Kwenye android kwenda kwenye iphone. Kupitia blogu ya Google, Android waliweza kutambulisha njia mpya Rahisi ya kuweza kutumia QuickShare Kwa...
  7. FK21

    JamiiForums Tanzania Christmas Mubarak to all Tanzania

    Shalom shalom Salam alaikum Tusikubali udini ukatutafuna. Padri akibaka tusiseme ukirsto haufai Sheik akila akiua tusiseme uislam tuukatae Dini zote ni za Mungu wanaoziharibu ni binadam
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania - Abubakar Zuber bin Ally aagiza Dua ya Qunuti kusomwa baada ya kila Sala

    AGIZO LA SHEIKH MKUU NA MUFTI WA TANZANIA "Assalaam alaikum. Nimewaagiza Mashekhe wote Nchini kuanzia Mikoa, Kata na Wilaya pamoja na Maimamu wa Misikiti yote Nchini Kuleta Dua ya Qunuti baada ya kila Sala. Dua hii Maalum kwa ajili ya kuendelea kumlilia na kumuomba M/Mungu Mtukufu aendelee...
  9. gijos

    JamiiForums Tanzania Tanzania: waislamu tukemee upuuzi wa kuitumia dini kuwashambulia viongozi wa kanisa katoliki TEC

    Kumetokea wimbi hatari la vikundi vya watu wachache wanaojiita waislamu au viongozi wa waislamu, lakini wanachofanya hakina uhusiano wowote na Uislamu. Vikundi hivi vinatumiwa na watawala na mitandao ya kisiasa kueneza chuki, kutukana na kushambulia Maaskofu wa Kanisa Katoliki (TEC) kwa sababu...
  10. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Je, Dkt. Lazarus Chakwera ni Mjumbe Sahihi kuongoza maridhiano Tanzania baada ya Uchaguzi?

    Hivi kiongozi aliyeshindwa kusimamia mageuzi na uwajibikaji nchini kwake anaweza kweli kuongoza upatanishi nchini Tanzania? Jumuiya ya Madola (Commonwealth) imemteua aliyekuwa Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza jitihada za maridhiano nchini Tanzania. Hata hivyo, rekodi yake ya uongozi...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wafadhili waanza kung'ata: EU wapiga kura na kuzuia Euro Milioni 156 kwa Tanzania

    Kamati ya Bunge ya mambo ya Nje ya Bunge la Ulaya imepiga kura ambapo kura 53 zimeunga mkono pendekezo la kusitisha Euro Milioni 156 kwenye mpango kazi wa Tanzania kwa mwaka 2026 huku kura mbili pekee zikiamua kwenda tofauti. Mwenyekiti wa kamati hiyo, David McAllister amesema Tanzania imeamua...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Unakotupeleka Utalaaniwa na Vizazi Vyote Vya Tanzania Na Dunia. Nchi Hii Haijawahi Kuwa na Ugomvi wa Kidini, Wewe Unauanzisha kwa Nguvu

    Nchi hii, pamoja na mapungufu mengi, hatujawahi kuwa na ugomvi au uhasama wa kidini. Ndiyo maana kuna watu utasikia anaitwa Abel Abdalah, wengine utamsikia akiitwa Petro mume wake Khadija, au Abdallah mumewe Rozaria. Nilipoenda kumtembelea rafiki yangu bruda Peramiho, nilishuhudia shekhe...
  13. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakaa iwe na UDINI wala UKABILA. Katika hili, Mwl. Nyerere apewe maua yake.

    Baba wa taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere aliwahi kusema "Wapo viongozi wakishindwa kukubalika kwa sera basi wanaamua njia mbalimbali ikiwemo Ukabila na Udini. Ukitumia Dini au Ukabila kukubalika unagawa watu, kazi ya uongozi ni kujenga watu wawe kitu kimoja". Kwanza dini zote zinamuabudu...
  14. lizy22

    JamiiForums Tanzania Natafuta tiba za kuasili Tanzania, nimepatwa na makubwa huku

    Natafuta tiba za mganga wa kiasili Tanzania. Sina nguvu tena mwilini, ya kuenda chooni haja kubwa na ndogo. Nguvu za hedhi pia zimetolewa mwilini. Akili nasumbuka sana. Usiku hua nalala na nyoka. Jirani wangu anahusika pakubwa sana. Hata nguvu ya roho walitoa kabisa, hua inavutwa na kitovu...
  15. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tanzania imegeuka Giningi ya Bi Kilembwe

    Wataalamu wa fasihi najua sitakua mgeni kwenu mimi bawabu wa pili niliekuwa nasimama geti la ua wa ndani wa Bi kilembwe. Sasa hivi Tanzania kiongozi huruhusiwi kuziona changamoto za wananchi kama Bi. Kilembwe hajaziona, wananchi wanaweza wakawa wanakufa mbele yako lakini kama Bi. Kilembwe...
  16. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Polisi Mara mnampeleka lini Mahakamani Mwanajeshi raia wa Marekani aliyekamatwa na mabomu?

    Kama mlivyosema mmekamata raia wa USA mwanajeshi level ya Sajenti mnampeleka lini mahakamani maana ushahidi alikuwa nao, au bado mnaendelea na uchunguzi pamoja na kukutwa na ushahidi kama mlivyosema Lakini bado hajapandishwa mahakamani.
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Marekani hufanana na wa Tanzania

    Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika. Chunguza utanielewa!!
  18. vnn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Hivi nchi ya Tanzania haina uongozi?

    Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi? kila mtu ni kambale anafanya anachotaka! nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia, Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  20. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche : Serikali ya Rais Samia ndiyo muasisi wa Mauaji, utekaji na ubakaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 ameituhumu Serikali iliyopo madarakani ya Rais Samia kuwa ndio iliyo ratibu na kuasisi Mauaji, utekaji na ubakaji kwa matukio yaliyotokea na yanayotokea nchini
Back
Top Bottom