tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo katika nchi kumi bora zenye usalama kutembelewa barani afrika hasa katika utalii

    Africa's Safest Countries To Visit for 2019 1.🇷🇼 Rwanda 2.🇧🇼 Botswana 3.🇲🇺 Mauritius 4.🇳🇦 Namibia 5.🇸🇨 Seychelles 6.🇲🇦 Morocco 7.🇪🇹 Ethiopia 8.🇱🇸 Lesotho 9.🇿🇲 Zambia 10.🇰🇪 Kenya Source: Safari Bookings and SlateAfrica.
  2. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya 4 duniani kwa Ugonjwa wa Sickle Cell. Nini kifanyike kukabiliana na ongezeko la ugonjwa huu?

    "Tanzania imetajwa kuwa ya 4 kwa ugonjwa wa Seli Mundu (Sickle Cell) duniani, hali inayosababisha asilimia 7 ya vifo kila mwaka. Watoto elfu 11 huzaliwa Tanzania na ugonjwa wa Seli Mundu kila mwaka."- Waziri Ummy Mwalimu. ===== WAZIRI UMMY AZINDUA MWONGOZO WA MATIBABU YA SIKOSELI...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wintech Elevators Tanzania Ltd

    Wintech Elevators Tanzania Ltd ACCOUNTANT PERSON -( 1 Position ) QUALIFICATIONS: Holder of Form IV certificate, Diploma in Accounts, Diploma in Marketing reference to position. At least 2 years job experience in related course Able to drive motorcycle is an added advantage for account and...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa wazi kwa wanademokrasia Tanzania: Uchaguzi uwe huru na wa haki au la, washindi watapewa ushindi wao. Hakuna haja ya kuwa wanyonge!

    Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe: 1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mahala popote hapa Tanzania panapolimwa Sugar Beets?

    Kama inavyojieleza hapo juu ningependa kufahamu kama Sugar Beets ambayo ni mbadala wa Sugar Cane (MIWA) kwenye kutengeneza sukari ya majumbani inalimwa wapi hapa Tanzania.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Bara haitakaa iongozwe na anayetoka familia ya Rais. Huku tunaangalia utendaji sio huruma kulinda familia

    Wana Jf, Nimesoma thread mbalimbali zikimwonyesha mtoto wa Rais mstaafu kuwa anaandaliwa kuja kuwa Rais wa JMT baada ya kustaafu Magufuri 2025, Rais Magufuri Urais ameupigania kuanzia pale alipochukua form kugimbea ubunge, kwani ndiko alijiandaa mwenyewe kupitia kazi zake alizokuwa anatumwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Shule zikifunguliwa, Watoto wa kike wapimwe ujauzito

    Close to 4,000 school girls impregnated in Kenya during COVID-19 lockdown Karibia Wanafunzi wa Kike 4,000 wamepewa Ujauzito nchini Kenya baada ya Kujamiiana sana wakati wa Zuio la Kutokutoka la CORONA. Chanzo: Daily News Tanzania
  9. JamiiForums Tanzania Tuifanye Tanzania Taifa la Wajasiriamali-Risk Takers

    Najua kuna watakao elewa hili ni kuna ambao hawataelewa hili; Kama taifa inabidi wakati tuamue kama taifa tunataka kuwa taifa la namna gani,Je tunataka kuwa taifa la walalamishi,walaumuji,wajutaji na watu tusio na mbele wala nyuma au tunataka kuwa taifa la watu jasiri waleta mabadiliko waota...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook

    Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook Credit: Reuters - Tanzania criticises Moody's for negative rating outlook DAR ES SALAAM, March 5 (Reuters) - Tanzania criticised Moody’s decision to impose a negative outlook on the country’s first international credit rating, saying the...
  11. JamiiForums Tanzania Kaimu Balozi wa Marekani, Dkt. Inmi Patterson kuondoka Tanzania

  12. JamiiForums Tanzania RC Shigela: Marufuku Mtanzania kupimwa Corona nchini Kenya kama ukishapimwa Tanzania. Itawaletea matatizo ya ubongo

    Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martin Shigela amekutana na kufanya mazungumzo na madereva wa Tanzania katika mpaka wa Tanzania na Kenya Horohoro kwa lengo la kupata suluhisho la mgogoro kwa madereva hao kuzuiliwa kuingia Nchini humo. Amepiga marufuku madereva wa Tanzania kupimwa virusi vya corona...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani Tanzania wafananishwa na George Floyd!

    Kibano ambacho vyama vya Upinzani Tanzania vinapitia tangu Rais Magufuli aingie Madarakani 2015 ni sawa na kibano cha Polisi wa Marekani kwa George Floyd (RIP). Tunaingia Uchaguzi Mkuu wa 2020 bado Wapinzani hawana RUKSA ya kufanya mikutano iwe ni ya ndani au ya nje. Hakuna kuandamana wala...
  14. JamiiForums Tanzania Michezo: Serikali imezuia Mashabiki wa JKT Tanzania fc kuingia uwanjani kwa mechi zote zilizosalia kweye uwanja wa Jamhuri

  15. J

    JamiiForums Tanzania COVID19: Ushauri kwa Watalii au Wasafiri wanaotoka Tanzania kwenda maeneo mbalimbali nje ya nchi

    Anga la Tanzania likiwa limefunguliwa na kuruhusu wasafiri kutoka pande mbalimbali za dunia, inategemewa kuwa hivi karibuni nchi mbalimbali zitafungua mipaka na shughuli za utalii zitaanza kuimarika upya. Ingawa si jambo linaloshauriwa lakini hakuna namna ya kulizuia kwani Maisha lazima...
  16. JamiiForums Tanzania 2-Acacia Mining employees pay Tanzania $650,000 in tax evasion case

    UPDATE 1-Acacia Mining employees released from Tanzania jail Credit: UPDATE 2-Acacia Mining employees pay Tanzania $650,000 in tax evasion case By: Nuzulack Dausen and Helen Reid * Acacia Mining employees plead guilty to tax evasion * Courrt orders payment of $650,000 in compensation *...
  17. JamiiForums Tanzania Yanayowapata wapinzani nchini Tanzania mikononi mwa Polisi hayana tofauti na yanayowapata weusi nchini Marekani isipokuwa hili moja!

    Huyu ni Professor Steve Loche, mhadhiri wa chuo kimoja katika jimbo la Massachusetts na ufuatao ni mkasa uliowahi kumkuta kwa sababu tu mi mtu mweusi...anaeleza: “This is what I wore to work today. On my way to get a burrito before work, I was detained by the police. I noticed the police car...
  18. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nafasi ya kipekee kwa vijana na wazalendo wa Tanzania

    Ndugu zangu wa Tanzania, kama kuna muda ambao nafasi za siasa zimekuwa za haki na available kwa kila raia wa Tanzania ni sasa. Nawaombeni sana sana kama wewe ni mzalendo, unania njema na nchi hii, una uwezo wa kuinua taifa letu katika kuongeza social welfare, unauchukia fisadi kwa moyo wa dhati...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA: Wanachama 11 wachukua fomu za kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania

    Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema . Mungu ibariki Chadema ======= ----UPDATE---- Ndugu wanahabari Chama cha Demokrasia...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lisa Jensen, aliyekuwa Miss Tanzania namba mbili 2006?

    Huyu mwanadada yuko wapi? Binafsi nampenda sana huyu mrembo... Kipindi anashiriki hili taji na kushinda nafasi ya pili, bado nilikuwa shule DIT nilimtamani sana sema tu sikuwa na mavumba kipindi kile. Mwaka 2012, Nilibahatika kukutana nae kwenye party ya usiku Melia Hotel, Kiwengwa -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…