tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu unayeota kuwa Rais wa Tanzania yetu hii, umeusikia na kuuelewa huu ujumbe?

    Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU) Mhe Mtamwega Mgaiwa amewataka wagombea wenzake wa kiti cha Urais kutokuwa na asilimia mia ya kushinda kwani wananchi ndio wenye uamuzi wa mwisho siku ya kupiga kura hivyo kila mmoja akubali matokeo atakayoyapata kuepusha ghasia baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom

    Civil society to Tanzania: Go easy on curbs on freedom Police monitor people celebrating an opposition candidate’s election win in Dar es Salaam. PHOTO | NMG Summary In a letter to President John Magufuli, the activists expressed concern about the decline of fundamental rights in the country...
  3. JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  4. JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi Tanzania msitake Kutusababishia 'Kilazima' kurudia tabia zetu za Kuwapiga 'Waaumuzi' Mpirani kwani inakeraEndel

    Endeleeni tu 'Kuwanyamazia' hawa 'Waamuzi' wenu na 'Maupuuzi' yao Uwanjani kama huyu wa Leo kati ya Yanga SC na KMC ili Siku akina GENTAMYCINE wenye 'Historia' za 'Kuwakung'uta' hawa 'Waamuzi' Mipirani turejee hizi 'tabia' labda mtalizingatia. Sina tatizo na Yanga SC 'Kushinda' leo ila 'Hasira'...
  5. JamiiForums Tanzania Ni uhuru upi wa kujieleza wanaoutaka CHADEMA?

    Kuna dhana potofu ambayo Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekuwa wakiwaaminisha Watanzania eti hakuna uhuru wa habari na vyombo vya habari vimeminywa. Dhana hiyo imekuwa ikiwashangaza hata waandishi wa habari wenyewe kwani hawajaona kuminywa huko kwani wamekuwa wakifanya kazi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Chagua Dkt. Magufuli kazi ziendelee

    MAMBO YA JPM .... CHAGUA MAENDELEO, KAZI IENDELEE Na Emmanuel J. Shilatu Ni miaka 5 sasa tangu Dk. John Pombe Joseph Magufuli ale kiapo mnamo Novemba 5, 2015 cha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeyaona haya yakitokea na kufanyika;- 1. Mapambano ya wazi wazi ya Serikali ya Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Sekta ya mawasiliano ya simu ilivyo nguzo muhimu kuleta mabadiliko ya kiuchumi Tanzania

    Dunia inaendelea kushuhudia maabadiliko makubwa ya kiteknolojia sehemu mbali mbali kwa kasi ya ajabu. Sehemu kubwa ya matunda ya teknolojia mfano matumizi ya simu mkononi ambayo yapo sasa, yasingeweza hata kufikirika mwanzoni mwa karne ya 21. Ukweli usiopingika ni kwamba, kadiri maendeleo ya...
  8. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Ikicheza Simba/Yanga na Polisi Tanzania, shabikia Polisi Tanzania

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amesema, amejisikia vibaya Yanga Sc walivyoifunga timu ya Usalama kwenye mchezo wa hivi karibuni Amesema Jeshi la Polisi ndio wanaolinda usalama wa nchi sio Yanga Sc, hivyo ikitokea Usalama wamecheza na timu yoyote raia inapaswa washabikie Polisi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Mungu amemteua Rais Magufuli kuwa kiongozi wa Tanzania, uchaguzi ni utaratibu wa kikatiba tu!

    Askofu Gamanywa amesema kuna watu wanamzushia kuwa yeye ni usalama wa taifa ila kiukweli yeye ni " usalama wa mbinguni" Anasema yeye huwa habwabwaji kwa sababu yuko well informed na ndio sababu anawataka wampigie kura Rais Magufuli kwa sababu ni mtu mwenye hofu ya Mungu. Askofu Gamanywa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 As October 28, 2020 approaches let us not forget, Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your

    Fellow countrymen when you see wrong or inequality or injustice, speak out, because Tanzania is your country. This is your democracy and so make it, protect it and pass it on. Democracy is not a spectator sport, it's a participatory event. If we don't participate in it, it ceases to be a...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati ya amani yaazimia kuwe na siku tatu za kufunga ili kuombea uchaguzi upite kwa amani

    Kamati ya amani na dini mbalimbali Mkoa wa Singida inayojumuisha viongozi wa madhehebu na dini zote imetoa tamko lenye maazimio saba kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu huku ikiwaomba waumini wao kumtanguliza Mungu na Serikali kusimamia amani na utulivu ili...
  12. JamiiForums Tanzania Imperialism And Patriotism: Their Relevance In The Current Tanzania’s General Elections

    The incumbent President of the United Republic of Tanzania, H. E. Dr. John Joseph Pombe Magufuli, has on a number of occasions expressed his scepticism on imperialism and concern over it’s camouflaged multifaceted manifestations in the country. For many people ‘imperialism’ (in Swahili...
  13. JamiiForums Tanzania JPM the towering pillar of African renaissance

    On 28th, October 2020, Tanzanians will be deciding the destiny of their nation through ballot box, in the sixth general elections since the East African nation opted multiparty democracy in the early 1990s. However, this elections is not the same as the other last five elections since 1995...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania Demoted back to LDC Status

    Tanzania has been demoted back to an LDC country according to the Regional Economic Outlook Report published by IMF in October 2020. The membership of countries reflects the most recent data on per capita gross national income (averaged over three years) and the World Bank, Country Policy and...
  15. JamiiForums Tanzania IGP Simon Sirro: Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya mkoani Mtwara

    INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amesema, magaidi zaidi ya 300 kutoka Msumbiji walivamia Kijiji cha Kitaya Mkoa wa Mtwara na kufanya uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji. “Magaidi wapatao 300 kutoka Msumbiji, walivamia Kijiji chetu cha Kitaya na kufanya uhalifu...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Maoni ya Balozi Wright kuhusu Uchaguzi wa Tanzania

    Nilifika nchini Tanzania kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 30 iliyopita kufanya kazi ya kujitolea kama daktari na uzoefu huo ulinifanya nijenge heshima na mapenzi ya kina na ya kudumu kwa Tanzania na Watanzania. Ilikuwa ni heshima kubwa sana katika maisha yangu, baada ya miaka mingi, kupewa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP): Yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania (DPP) Biswalo Mganga amesema yeyote mwenye lengo la kuvuruga amani ya nchi atashughulika bila kujali dini, jinsia wala cheo chake. Biswalo ameeleza hayo leo Ijumaa Oktoba 23, 2020 wakati akizindua ofisi ya Taifa ya mashtaka wilaya ya Mufindi iliyopo mjini...
  18. JamiiForums Tanzania Fundi umeme anaitajika Moshi - Tanzania

    Cube Operator (Electrical) Job Description : Reports To: Production Manager Serengeti Breweries Limited (SBL) is a fully integrated beverage business in Diageo Africa (supply and demand for beer and spirits). It is a subsidiary of East Africa Breweries Limited (EABL), the largest business unit...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 EU declaration on the upcoming elections in Tanzania

    The citizens of the United Republic of Tanzania will elect on 28 October their President, Members of the parliaments of the Union and Zanzibar, as well as local councillors. The European Union would like to reiterate its support to the development and prosperity of the people of Tanzania and, in...
  20. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…