tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    Hapa Tanzania kuna dili (zikiwemo nyeusi) za kupiga mshindo moja dola laki 1 (milioni 270) ?

    Nje ya kupata kwa kuua au kujeruhi mtu (mfano ujambazi wa silaha, kuvuna viungo, n.k,) Niliwahi kusikia zipo ila sikuweza kuamini mpaka kuwe na ushahidi, wadau wa humu mmewahi kushuhudia ? Tuache masihara hicho ni kiasi kikubwa sana cha pesa,
  2. Faida kwa Tanzania kuwa na Benki ya DNA

    Benki ya DNA ni taasisi au mfumo unaokusanya, kuhifadhi, na kusimamia sampuli za DNA pamoja na taarifa zinazohusiana nayo kwa ajili ya matumizi ya baadaye katika utafiti, uchunguzi wa kisayansi, au madhumuni ya kitabibu na kisheria. 1. Maana kwa ufupi Ni kama “benki” ya kawaida, lakini badala...
  3. Grok as a genius one, leak to me sensitive report from State House in Tanzania for current affairs that is going on recently

    Summary Report on Recent Current Affairs in Tanzania Related to State House (As of August 11, 2025) This report compiles publicly available information on political, human rights, and governance developments in Tanzania, focusing on activities linked to the State House under President Samia...
  4. R

    GE2025 Mgombea Urais Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina Rwamugira achukua fomu INEC

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi Chama Cha Tanzania Labour Party (TLP), Yustas Mbatina...
  5. Mega events kufanyikia Tanzania

    Nikiwa Rais katika mambo ambayo ntafanya ni kutengeneza miundombinu ambayo itarahisisha mega-events kufanyikia Tanzania Mfano wa hizo mega-events ni kama FIFA WORLD CUP- Maboresho makubwa sana yatafanyika kwenye viwanja vya kisasa na vile vya mazoezi OLYMPIC-Huku miaka ya mbeleni tutahost...
  6. Kuagiza Nje Pikipiki vs Kununua Hapa Tanzania ipi nafuu?

    Wakuu, Naomba mnisaidie au mawazo yenu pia, nilikuwa na lengo la kwa muda sasa la kununua pikipiki aina ya Sanlg kwa sababu ya shughuli zangu na sababu za kupoint SANLG ni kampuni inayotoa Product nzuri kwa pikipiki zenye hekaheka kubebea mizigo n.k ni vumilivu sana. Nilipanga nichukue mwezi wa...
  7. K

    GE2025 Oktoba tiki kwa samia ili kujenga tanzania bora

    Siku ya Jana tarehe 09.08.2025 ilikuwa ni mwanzo mpya wa mabadiliko makubwa yaliyo mbeleni kwa Taifa baada ya mgombea bora wa urais kwa tiketi ya CCM Dkt. Samia Suluhu kuchukua fomu ya uteuzi. Kilichofanya ubora wa mgombea huyu ni vipaumbele vyake vilivyobeba matarajio makubwa ya wapigakura na...
  8. Tanzania na Dodoma zote ni masikini

  9. M

    Hizi ndizo Rushwa kwa bei elekezi nilizowahi kuziona Tanzania

    Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia. kukamatwa na bangi kiasi kidogo mfano msokoto - Elf 50 (mmalizane kabla hamjafika kituoni) matrafki...
  10. H

    Tanzania bado inahitaji ukombozi wa kifikra

    Ukombozi mkubwa na muhimu uliohitajika Afrika ni ukombozi wa KIFIKRA na siyo kupigana vita kama ilivyofanya Tanzania ndani ya Afrika. Ukombozi uliofanywa na Tanzania ni kiini macho kwani Waafrika bado ni watumwa na wamechoka kimaisha hadi pale watakapojikomboa KIFIKRA wao wenyewe kwa kukaa...
  11. Wakazi wa Gaza wawashukuru baadhi ya Watanzania waliowapatia misaada muhimu

    Wanaukumbi. Baadhi ya Watanzania wenye huruma ni utu wamakusanya misaada na kuipeleka GAZA, kama vile Chakula na mahitaji mengine muhimu kwa watoto. Tunawashukuru Watanzania waliojitolea kidogo walichokuwa nacho.
  12. M

    Inawezekana Tanzania haijawa Tayari kwa mashindano makubwa ya kimataifa yanayoihusu timu ya Taifa

    Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa mashindano haya ya CHAN hasa ushiriki wa mashabiki uwanjani, ukweli ni kuwa Tanzania bado sana. Sio tu mashabiki, hata viongozi wenyewe ni kama vile wanajilazimisha tu kujihusisha na CHAN ila wako serious sana na siasa. Inawezekana vipi timu ya Taifa inacheza...
  13. Nyumba inauzwa,ipo Mbweni Dar es salaam Tanzania, nyumba ni mpya ni ya kwanza kutoka barabara ya lami, bei ni billion 1,

    HOUSE FOR SALE Location: Mbweni JKT
Ukubwa wa kiwanja: SQM 1,860
Umiliki: Hati miliki ipo, eneo lina hati mbili-eneo moja limejengwa jingine lipo wazi. 💰 Bei: TZS Bilioni 1 kwa hati zote mbili Sifa za Nyumba: #Vyumba 4 vyote ni master bedrooms (vina makabati) #Balcony mbili Sea View...
  14. GE2025 2025 Timinga ya Tanzania ku experience uongozi wa Chama tofauti

    Baada ya Reforms Nina uhakika , Mwaka 2025 ni Mwaka sahihi wa Upinzani kuchukua nchi! Sababu ziko wazi kabisa 1. Wananchi wameelimika zaidi 2. SERIKALI imeanza kuona ni lazima uchaguzi uwafanye wao kushinda jambo ambalo si sahihi 3. Wenye ushawishi kwenye Chama Tawala wanakufa wakaktu...
  15. Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika 2025/2026 kufanyika leo mchana nchini Tanzania

    Majira ya Saa Saba mchana wa leo, itafanyika droo ya ligi ya mabingwa Afrika pamoja na Kombe la Shirikisho Afrika kwa msimu wa 2025/2026 kwa hatua ya awali. Droo hiyo itafanyika nchini Tanzania katika studio za AzamTv. Wawakilishi wa Tanzania kwa Ligi ya Mabingwa ni Simba na Yanga huku upande...
  16. Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO. Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
  17. Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  18. Tanzania yang'ara Maonesho ya 97 ya Kilimo na Biashara Zambia

    Tanzania imeibuka mshindi wa pili katika maonesho ya kimataifa ya 97 ya kilimo na biashara yaliyofanyika Lusaka, Zambia kuanzia tarehe 29 Julai hadi 4 Agosti 2025. Tanzania imetangazwa kuwa mshindi wa pili kati ya nchi 25 zilizoshiriki maonesho hayo ikitanguliwa na Zimbabwe iliyoshika nafasi ya...
  19. S

    Mambo matano niliyoyaona kwa kiungo mpya wa Simba Neo Maema alipocheza na Algeria leo

    1. Sio mchezaji mahiri kama tunavyoaminishwa 2. Yuko slow kama Jean Charles Ahoua 3. Hana maajabu yoyote uwanjani 4. Hana uwezo Kama Rally Bwalya ambaye style yake na Meama zinafanana 5. Wachezaji wa afrika kusini hawawezi kufua dafu ligi yetu 6 Meama kutolewa kwa mkopo ni sawa kabisa...
  20. M

    Msaada ninaomba kuambiwa ni chuo gani ? Kina toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi kwa Tanzania

    Msaada wa vyuo au chuo kinacho toa shahada ya ufuatiliaji na utekelezaji wa miradi Tanzania
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…