Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!!
IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
Dah!
This guy Palamagamba Kabudi takes shilling to a whole ‘nother level!
It’s hard listening to him spew his nonsense propaganda.
Anywho, ni kipindi cha leo Al Jazeera.
https://youtu.be/5y4rd7_adv4?si=Wwj0jD1booFZtkJp
Vipi sherehe za uhuru wa tanganyika zimefanyika ipasavyo na watu kweli wamekumbuka mashujaa waliopigania hili Taifa hadi kuwa huru?
Na kama hazijafanyika, vipi mmepewa maelekezo ya kutosha bajeti iliyotengwa kwa ajili ya hii sherehe ilikuwa kiasi gani na imeenda kufanyia nini na huku...
Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala katika Kila Kona ya mji huo ikiwa imeondokewa na baraka ya uhai. Hapa wananchi wakaanza kuiona adha ya...
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama
hiyo.
Hiyo ni kwa mujibu wa...
Wandugu
Nimewaza na kuona kuwa mfumo wa vyama vingi afrika hasa Tanzania ni mfumo unaotumika kuwaibia wazungu pesa. Janja ya kupata pesa za bure za misaada nk.
Kwa nini nasema hivi nchi nyingi mfano Tanzania ki uwazi hakuna Uchaguzi huru. Watu wanafanya kiiini macho kuwaaminisha wazungu kuna...
Niliwaambia kuwa namna ya uendeshaji wa shuguli za ulinzi na usalama hapa Tanzania ni wa kipekee.
Hakuna mtu ataipeleka pua yake barabarani leo au siku yoyote. Na atakayejitoa akili kufanya hivyo mama yake na dada zake watalia sana.
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.
Sasa nikiwaza kwa Mkapa na ile capacity ya 60,000 waliokaa bado waliosimama kwenye Derby si inamaana inaingia...
An assessment of the major pressures and opportunities currently facing the Executive Office.
1. Executive Summary
The President is navigating a highly complex and contradictory period. On one hand, there is a strong drive to pursue bold, expansionist policies and secure visible victories. On...
Magufuli alitawala miaka HAIJAWAI tokea Tanzania
Mama Samia Suluhu hassani anaenda Mwaka WA 5 Sasa je
Shekhe Yahaya alimtambilia nani kuwa raisi wa Muda mfupi?
Je akilazimisha amzidi Magufuli Nini kitajili?
Mbinguni kunani?
Sina hofu na vijana Gen z
Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia
Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂,
Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
Haya yanayoendelea Tanzania kwasasa kuna muda natamani yasiishe. Vyombo vya ulinzi vinapiga kazi mpaka unasema yees walikuwa wapi muda wote?
Yaani unamkuta mwanajeshi kasimama barabarani siku nzima kudadeki na mtutu🤣🤣 kuna namna naiona kodi yangu ikiliwa kihalali. Unajua mwanzo hawa maaskari...
Kwa miongo kadhaa, Tanzania imejengwa na kutambulika kama moja ya shule bora za diplomasia barani Afrika. Kuanzia harakati za ukombozi wa nchi za Kusini mwa Afrika, ushiriki thabiti katika Umoja wa Mataifa, hadi kusimama kama taifa lisilofungamana na upande, Tanzania iliweka alama yake...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu kuendeleza maeneo muhimu ya ushirikiano wa pande mbili na kuthibitisha dhamira ya pamoja ya ushirikiano wa...
Mambo ni mengi muda hautoshi. Twende kwenye orodha moja kwa moja bila kupoteza muda.
1. FILBERT BAYI
Mzee wetu kaongelewa kwenye makala mengi mno duniani kiasi kwamba shirikisho la ridha duniani limehifadhi kumbukumbu zake kwenye makumbusho ya shirikisho huko Ufaransa. Mzee Filbert Bayi...
Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana
Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
Umemsikia Mwigulu?
kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?
Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’ ila wao hawatumii title ya siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani ila wanatumia Mapinduzi ya Zanzibar?
Wanaukumbi.
Wanaharakati na mamluki wa mabeberu wanashabikia watu watoke majumbani kwao wakaandamane kwa kuwa kukaa ndani watauwawa!
Wanakwenda mbali zaidi na kusema waliouwawa kwenye vurugu za 29 Oktoba 2025 walikuwa majumbani!
Hawa watu ni wagonjwa wa akili na washenzi sana! Vile vituo vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.