tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda hizi ndizo baadhi ya sababu zilizowafanya gen z wa Tanzania kuyagomea na kuyapuuza maandamano ya haramu ya Dec.09

    Mnamo dec.9 wanasiasa na wanaharakati wasiojulikana na wanaojulikana lakini wakiwa mafichoni kusikojulikana, walituma mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana kufanya maandamo haramu yasioyo na kibali wala malengo mahususi ambayo kwa kiasi kikubwa yalipuuzwa na waTanzania wote hususani vijana, na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BASATA yatangaza kuahirisha utoaji wa tuzo za muziki (TMA), zilizokuwa zitolewe leo tarehe 13.12.2025

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi kuahirishwa kwa hafla ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2025, ambayo mwanzo ilikuwa imepangwa kufanyika tarehe 13 Desemba 2025. Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya BASATA, imeelezwa kuwa uamuzi wa kuahirisha...
  3. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Gaza yanauhusiano ya Mauaji ya Gen Z Tanzania?

    GTs, 1️⃣ Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba maswali na kauli zilizoacha maswali mazito kwa mustakabali wa taifa. 2️⃣ Kauli yake ya “Mbona wao...
  4. JamiiForums

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu JamiiForums kuendelea kuzuiliwa kupatikana nchini Tanzania

    TAARIFA KWA UMMA Mnamo Septemba 6, 2025, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilisitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums na kuzuia upatikanaji wa jukwaa kwa siku 90, kwa madai ya ukiukwaji wa Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta. Pamoja na kutambua athari kwa haki ya...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania GDP ya China mwaka 1970 ndio GDP ya tanzania 2025

    Rasilimali zijawahi kusaidia watu nchi hii na kumbuka china mwaka 1960 ilikuwa GDP ambayo tanzania imefikia kipindi cha 2020. ======================== Hapa ni kulinganisha Pato la Taifa (GDP) la Tanzania na China kwa kipindi cha miaka mingi. Pato la Taifa la China (1960-2025): 1. 1960: $59.72...
  6. 888I

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Namba hazidanganyi, lakini Tanzania zinadanganya

    Wadau, Tuna msemo maarufu: "Namba Hazidanganyi." Kwenye nchi yoyote, takwimu (data) ndiyo msingi wa uhalali (legitimacy). Lakini ukiangalia Takwimu za Uchaguzi wa Oktoba 2025 na Takwimu za Watu (Sensa 2022) na Hali ya Mtaani (MO29, D9), nabaki na swali: Je, Tanzania tumeamua kukanusha Sayansi...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama M23 wamefika Uvira, kumbuka Burundi ni kama Tanzania iliyojifia basi Kigoma kuwa mbioni

    Tuanze kwanza M23 ni wa kina nani?. Kuna historia kubwa zimeongelewa hapa JF kuhusu Congo, Rwanda na mambo yanayoendelea. Nasema haya sababu hata Mwigulu alishatuambia tukimbilie Burundi na idara ya uhamiaji kama Mtanzania uwezi kupewa kesi uraia zaidi ya Burundi. Kwa Burundi ndio nchi ambayo...
  8. KENZY

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Sasa: Jamii, siasa na wanasiasa

    Sote twafahamu msingi wa taifa hili toka hapo awali nisingependa sana kugusia mambo ya kale japo vya kale ni dhahabu lakini kwa muktadha wa mada hii nitaangazia mambo ya sasa.. Si jambo geni ama la ajabu kuona migomo na maandamano katika taifa lolote lile lakini sikuzote jamii ndio hushawishi...
  9. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yatangaza kutoitambua Serikali ya Tanzania

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki, sheria na misingi ya demokrasia. Katika taarifa yao kwa umma iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya lituletee azimio la kulaani vifo wakati wa ukoloni Tanzania

    Tanzania inahitaji fidia kutoka kwa mabeberu yaliyochota mali na kuchukua watu utumwani. Hii ni sambamba na kutoa idadi kamili ya maafa yaani waliouawa kwa mijeledi na kunyongwa nyakati za ukoloni
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tanzania iwekewe vikwazo vya kuuziwa silaha kwani zinatumika kuwaua wananchi wanaodai utawala wa misingi ya haki na kupinga utekaji

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo na vyombo vya habari Desemba 11, 2025 amesema chama hicho kinaomba Jumuiya za kimataifa kuiweea Tanzania vikwazo vya kuuziwa silaha kwa sababu silaha hizo zinatumika kuuwa wananchi wasio na silaha...
  12. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano Kitanzani: Kodi ya Ushuru wa Bidhaa ya Tanzania na Nafasi ya Mahakama ya EACJ

    Na Dkt. Kirimi Wanjagi Mivutano ya hivi karibuni mpakani mwa Kenya na Tanzania, ambapo malori yalilazimika kusimama kwa saa nyingi kufuatia vurugu za Oktoba 29 nchini Tanzania zimefufua tena wasiwasi wa muda mrefu katika jumuiya ya wafanyabiashara eneo Afrika Mashariki kuwa hali mbaya kuliko...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

    Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣ ⁣ Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣ ⁣ • Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Tanzania wafanikisha kuzalisha mbu wanaozuia maambukizi ya malaria

    Mbu aina ya Anopheles Bagamoyo. Katika utafiti wa kihistoria uliyochapishwa katika jarida la Nature, wanasayansi wa Taasisi ya Afya Ifakara (IHI) na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa (NIMR) kwa ushirikiano na Imperial College London kupitia mpango wa Transmission Zero, wamefanikiwa...
  15. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila mara

    Wapinzani na Gen Z wa Tanzania wanataka wasiadhibiwe wanapodhalilisha Chama Cha Mapinduzi CCM, jambo ambalo CCM wamelikataa na kupelekea Wapinzani kulalamika kila wanapoadhibiwa Nimefuatilia historia ya CCM ya zaidi ya miaka thelathini iliyopita Niligundua jambo moja kubwa sana Tangu mfumo wa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Siri ya mafanikio ya Singapore ambayo Tanzania ilitakiwa kuzingatia sasa na siku zijazo

    Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
  17. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kinachoenda kutokea Tanzania

    11/12/2025 when i was sleeping during midnight I saw ♦️ red crystal from the sky was falling toward the road. One servant of God said “She is in the process to have death“ Pray for Tanzania 🇹🇿 Proverbs 14:34 "Righteousness exalts a nation, but sin is a reproach to any people."
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Kwa kitendo hiki cha kigaidi kilichofanywa na Polisi, Tanzania lmekuwa zaidi ya Somalia

    Tanzania lmekuwa zaidi ya somalia na al shabab hebu fikiria watu wanateka hadi maiti hospital sijawai kuona ugaidi kama huu hapo kwanza. Mimi sijawai kuona kikundi cha kigaidi kikiteka maiti hospital, kwa taarifa za kuaminika police walipeka maiti hospital October 29 kisha wakaziteka na...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

    Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe jijini Dodoma Desemba 10, 2025. Mhe. Lančarič...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!

    Wanaotaka Tanzania ya kabla ya Oct 29, 2025 poleni hairudi!. Sio baada ya watu kutekwa hivi, kufungwa bila sababu, vijana kusimama kwa haki na mauaji makubwa kiasi hiki. Sio wa ufisadi wa waajiriwa wa serikali na upendeleo wa wazi na ufamilia ndani na nje ya vyama. Sio baada ya unyanyasaji...
Back
Top Bottom