tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Njia madhubuti ya kupunguza tatizo la ajira Tanzania ni kwa kuweka nguvu zaidi kwenye sekta binafsi

    Uimarishaji wa Sekta Binafsi: Sekta binafsi ndio chanzo kikuu cha ajira katika nchi nyingi duniani. Mfano, nchini Kenya, serikali imewekeza katika kuimarisha mazingira ya biashara kwa sekta binafsi kupitia mpango wa Big Four Agenda, ambapo viwanda vya ndani vimepewa kipaumbele. Tanzania pia...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni jambo jema uislamu wa Tanzania kuweka uzito zaidi katika amani tofauti na uislamu wa sehemu nyingine za dunia.

    Ukiangalia sehemu nyingi za dunia ambapo Waislamu hasa wa msimamo mkali wamewahi kujikita kudai haki katika nchi zao wakisukumwa au wakiunganishwa na dini ya Uislamu hakika kumekuwa na maafa makubwa sana yaliyosababisha kila aina ya mateso kwa raia hata kwa wasio husika kabisa kupitia vita...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania ya Nyerere baada ya Vyama vyingi ilikuwa ndiyo hii au yalifanyika mabadiliko baada ya kifo chake?

    Hii kitu mimi najiulizaga sana kama yeye ni baba wa Taifa ndiyo alituachia inchi ikiwa chini ya Vyama vingi na katiba mbovu hivi? Basi Huko aliko afutiwe sifa zake zote tulizodanganywa kumuhusu yeye
  4. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania seeks US lobbyist to quell criticism over post-election violence

    Dec 15, 2025 The Tanzanian government is on the hunt for a Washington lobbyist to help “shape its narrative” on Capitol Hill and beyond as the East African nation reels from post-election violence that has spawned its biggest political crisis in decades, according to two people familiar with...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Mahmood Thabit Kombo -Great Tanzania Diplomat of our times

    When I do my fair analysis to the steps taken by Mahmood Thabit Kombo who is the incumbent Tanzania Foreign Minister,I come up with an honest conclusion ...that this man is just but an African "Sergei Lavrov". He is very humble,knows how,when and what to express as a Diplomat. I sotherefore...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna kibaraka, haramia au gaidi ataruhusiwa kuandamana popote pale Tanzania

    Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF, Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni shartiyafanyike kulingana na sheria za nchi, lakini pia yawe yenye kibali kutoka kwenye vyombo vya ulinzi na...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

    Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi. Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana. Najua sana sana mwisho wa mwezi dec...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Napata hasira mno kila nikifuatilia siasa za Tanzania

    Najuta mno kufatilia hizi siasa za Tanzania, Bora hata kipindi kile nikiwa nafatilia Yanga na Simba, Ndo hivo tena Sasa siwezi kuacha kufatilia siasa Yaani nakosa Raha mno na roho inauma mno Tuachane na hizo Habari za kuhizunisha za kuuwa Watanganyika zaidi ya 10,000 ndani ya ardhi Yao na...
  10. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ipi nafasi ya Tanzania katika mgogoro wa Mashariki mwa Congo (DRC)?

    Kinachoendelea Mashariki mwa Congo DRC si mgogoro wa mbali kama wengi tunavyodhani. Huu ni mgogoro ambao hakuna nchi ya Afrika Mashariki itakayobaki salama. Kuna chaguo mbili tu: ama uwe sehemu ya mchezo na uchague upande, au ubaki mpweke kisha upokonywe hata kile kidogo ulichonacho. Tukirudi...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kupiga picha na Guterres haitoshi kuthibitisha kuwa UN imepongeza Tanzania

    Anaandika Godlisten Malisa Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii. Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania KERO Teknolojia mpya ya LUKU (ya TANESCO) inakula sana umeme kuliko kawaida

    Kwa wale ambao mmefungiwa hizi mita mpya za digital ambazo wanazibadilisha kipindi mtakua mnajua kuhusu suala la UNIT kwenda speed kuliko zile mita za awali. Mfano mimi natumia umeme wa 50,000/ mwezi mzima na unit zinabaki kidogo. Lakini kwa sasa kwenye hizi mita mpya umeme huo wa 50,000...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu wanaoishi kwa kodi zetu kwa sasa wanatunyanyasa

    Clemence Mwandambo: Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana, watu waoishi kwa kodi zetu kwa ndio wamekuwa wanatunyanyasa, wewe fikiria afisa mtendaji tu anajisikia boss lakini anaishi kwa kodi zetu, walimu nao Polisi kuanzia Uniform zao, bunduki hadi mshaara ni kwa sababu ya kodi ya wananchi Lakini...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuseme Kenya imewafanyia watanzania kama Boniface Mwangi na Agatha Atuhaire, Mamlaka za Tanzania zingemtoa yeyote kwa Kenya?

    Tunaposema Mwanasheria Mkuu wa Serikali anapaswa kuwa mtu mwenye weredi ya hali ya juu katika masuala ya kisheria ziwe za madai au jinai au za kitaifa au kimataifa hatutanii, tuna maanisha kweli. Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni cheo nyeti sana katika nchi yoyote ile duniani. Ni kielelezo kikuu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo

    Wakala wa Vipimo Tanzania na Zambia kushirikiana kusimamia matumizi sahihi ya vipimo Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) na Zambia (ZMA) zimesaini mkataba wa miaka mitatu (3) wa kushirikiana katika usimamizi wa matumizi sahihi ya vipimo ambapo utekelezaji wake umeanza mara tu baada ya kusainiwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati kuweni makini sana na Tanzania leaks wa mtandao wa X kwani taarifa zake nyingi ni uzushi na anawapotezea credibility

    Kwa mtumiaji yoyote wa mtandao wa X na ambae anafuatilia taarifa za mtu anaeonekana kuwa ni mwanaharakati katika mtandao wa X anaetumia jina la "Tanzania leaks"atakubaliana namu kuwa huyu mtu taarifa zake nyingi huwa ni za uzushi. Ni bahati mbaya sana wanaharakati na wanasiasa makini, hu-...
  17. canular

    JamiiForums Tanzania Tanzania yetu

    Tanzania, nchi yenye mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni mbalimbali, inajivunia historia ya maelfu ya miaka. Tangu enzi za wawindaji wa mapema hadi utawala wa kikoloni na kupigania uhuru, safari yake ina alama ya ujasiri na umoja. Leo, Tanzania inasimama kama taifa la kujivunia, linaloundwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA yataka Tanzania iongozwe na UN au SADC

    Kwa hisani ya JUNA: "Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani Tanzania Leo iwe Koloni? “CHADEMA inataka kuanzishwa kwa Serikali ya Mpito ambayo haitoongozwa na...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

    Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili. Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani kwa ujinga huu hamtaiongoza nchi hii mpaka Yesu arudi. Abadani

    Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani watapita na trend ya mgao wa maji. Serikali ikifix wanakaa kimya na kutafuta jambo jingine. Sasa mjinga...
Back
Top Bottom