tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana kuwa spika Ndugai akawa ni Mtumishi Umma anayelipwa zaidi Tanzania?

    Katiba yetu inasema Spika sio lazima awe Mbunge hivyo basi kuna mshahara wa cheo cha Spika ambao kwa kawaida ni mkubwa kuliko mshahara wa ubunge. Kwa mahesabu haya: 1.Ubunge 11 millions 2. Spika 11 + X millions Jumla inaweza kucheza kwenye 28-30 millions. Ukizingatia kwa sasa CEO wengi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Swali kwa Tundu Lissu: Kama Corona ipo Tanzania, kwanini toka alipoingia Tanzania na kipindi chote cha kampeni miezi mitatu hakuvaa Barakoa?

    Tundu Lissu amekuwa akidai kuwa Corona Tanzania ipo akiwa Ubelgiji ukimbizini. Akiwa Tanzania hakusema toka siku ya kwanza alipotua tu uwanja wa ndege alivua barakoa na hakuivaa tena kipindi chote cha miezi mitatu aliyokaa Tanzania akifanya kampeni akizungukwa na umati wa watu wasiovaa barakoa...
  3. JamiiForums Tanzania Rwanda, Kenya, Uganda, DR Congo na jirani wengine waanza kupokea chanjo ya COVID 19. Burundi na Tanzania - NO DATA YET

    Katika nchi za Afrika Mashariki, inaonesha kuwa ni Burundi na Tanzania pekee ndiyo hazina virusi vya korona na kwa hiyo hawahitaji chanjo ya COVID 19. HOFU na WOGA ni roho za kuzimu na infact ndiyo lango kuu la nguvu za uharibifu na kifo.... IMANI kwa Mungu Baba Muumba wa vyote ndiyo UHAI na...
  4. JamiiForums Tanzania Hii hapa hukumu ya Kiswahili iliyotolewa na aliyekuwa Jaji wa Mahakama kuu ya Tanzania Mh. Galeba

    Nimeisoma hukumu hii na kwa maoni yangu JPM ametenda haki kumpandisha cheo. Aidha nitoe rai kwa vyuo vyetu vikuu vione namna ya kutambua mchango wa Jaji Galeba wafikirie kumpa Udaktari wa heshima.
  5. B

    JamiiForums Tanzania UNCHR : Wakimbizi 110,000 warejea Burundi toka Tanzania

    Rais Evariste Ndayishimiye apokea ujumbe wa UNHCR uliofika kumuona Mwakilishi wa UNHCR Abdul Karim Ghoul ktk mazungumzo yake na Mh Rais Evariste Ndayishimiye amebainisha kuwa kutokana na utulivu Burundi shirika la Umoja wa Mataifa la Wakimbizi UNHCR wamefanikisha wakimbizi 110,000 kurejea...
  6. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyechanjwa Corona Israel arejeshwe nyumbani mara moja

    Amekiuka msimamo wa nchi anaweza kutuletea corona ya ajabu-ajabu. Kazi ipo mwaka huu.
  7. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ingefikia huku kama Guinea ya Ikweta? Familia na madaraka

    Teodoro Nguema Obiang Mangue ni makamu wa pili wa rais wa Guinea ya Ikweta - na wakati huo huo ni mtoto wa rais. Baba yake, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo, ametawala nchi hiyo tangu mwaka 1979. Wakati huo huo mtoto wake wa kufikia, Gabriel Mbega Obiang, ni Waziri wa mafuta. Kampuni ya mafuta ya...
  8. JamiiForums Tanzania 2 New Vacancies At JHPIEGO Tanzania, February 2021

    JOB VACANCIES Click on each job to read full details and apply/BONYEZA kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Project Director- (1 Post) 2. Business Analyst- (1 Post) Jhpiego offers competitive salaries and a comprehensive employee benefits package including: medical and dental...
  9. JamiiForums Tanzania Tiba asili isigeuzwe biashara ya Wahindi au hisani ya Wamarekani

    Niwapongeze wizara ya afya na Ustawi wa jamii kwa kutambua mchango wa TIBA ASILI (SIO MBADALA) kama sehemu ya mfumo wa afya Tanzania na nia yao ya kuonesha kuwa tiba zetu za asili ambazo zimekuwepo miaka mingi zinaweza kuwa sehemu ya ubunifu na msaada mkubwa nyakati za milipuko na nyakati za...
  10. JamiiForums Tanzania 4 New Vacancies At USAID Tanzania, February 2021

    JOB VACANCIES Click on each below to read full details and apply/ BONYEZA kila moja hapo chini kusoma maelezo kamili na kuapply: 1. Administrative Assistant- (1 Post) 2. Accounting Technician - (1 Post) 3. Project Accountant- (1 Post) 4. Supervisory Voucher Examiner- (1 Post) CLOSING DATE...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Corona: Ujumbe wa Masoud Kipanya

  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB kununua mabenki zaidi Tanzania na Rwanda, wamewasilisha wanasubiri kuruhusiwa

    Ndio mwendo huo huo. KCB Group has made a formal application to the regional competition watchdog to be cleared for the Sh4.4 billion ($40 million) deal in which it is seeking to acquire two banks in Tanzania and Rwanda. Comesa Competition Commission said in a notice dated last week Monday...
  13. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wa humu jamiiforums. Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi? 31 AUGUST 2020: Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania SACP David Misime, aliwahi kusema kuwa...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Electricity penetration in Africa: Kenya at 84.5%, Tanzania at 39.5% - what is not happening Tanzania?

  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia Jinsi hapa Afrika Mashariki Tanzania ndio imebarikiwa kupata mvua nyingi kushinda Kenya, Uganda

    Yaani wamebarikiwa sana na mwenyezi Mungu. Ukiangalia predicted rainfall patterns ya East Africa utagundua kwamba Tanzania ndio nchi pekee inayopokea mvua katika kila corner ya Tanzania. Nchi zingine hazipokei mvua katika kila kona. Lakini 100% ya Tanzania inapokea mvua. Sasa ni kwa nini...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika. Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo. Ukaguzi huo umefanyika mjini...
  17. JamiiForums Tanzania Silas Lucas Isangi ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT)

    Silas Lucas Isangi , ndiye Rais Mpya wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Makamu wake ni John Bayo. Huku Wajumbe wa Kanda wakichukua... 1. Kaskazini : Alfredo Shahanga 2. Pwani : Robert Kalyahe 3. Magharibi : Amon David Mkoga 4. Nyanda za Juu : Lwiza John 5. Kanda ya Ziwa : Donald Ramadhani...
  18. JamiiForums Tanzania Kabla ya kuitwa Tanganyika, Tanzania iliitwaje?

    Habari wana historia wa JF na wadau mbalimbali, Binafsi nimekua nikiwaza sana ni kwanini walichagua jina la Tanganyika wakati kulikua na ziwa Victoria ambalo ni kubwa kuliko ziwa Tanganyika lakini pia kulikua na mlima Kilimanjaro ulio mrefu zaidi barani Afrika. Licha ya hivo kulikua na mbuga za...
  19. JamiiForums Tanzania Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa

    Corona Tanzania ni vita kati ya Mungu na wasiomwamini kuwa aweza shinda Corona Mungu atashinda hajawahi shindwa Wasiomwamini wanachekelea wakisikia tetesi kuwa kuna Corona wanahoji Mungu kuwa nyie mliojitia kuomba kiko wapi ? Shetani mleta Corona kamshinda Mungu huyo Mungu wenu bure kabisa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kudai katiba mpya Tanzania (UKUKAMTA)

    Umoja huu umeanziwa na watanzania walioweka itikadi za vyama pembeni na kuweka Taifa mbele #ukukamta2021
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…