Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Mama Gift, mkazi wa Kitongoji cha Mbugani, Kijiji cha Magugu wilayani Babati, amenusurika kushambuliwa baada ya kudaiwa kukutwa usiku akifukia dawa zinazohusishwa na imani za kishirikina katika nyumba ya jirani.
Mwanamke huyo mara baada ya kugundulika na...
Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
Michezo ya 23 ya Federation of East African Secondary Schools Sports Association (FEASSA) iliaanza Jumatano, Agosti 12, 2026, mjini Morogoro, Tanzania, huku Cardinal Otunga Mosocho High School ikiwania kuiwakilisha Kenya katika Rugby 7s.
Mashindano hayo yanaendelea hadi Agosti 23, 2026...
Ni dertimined political leader of modern times politics. Hayumbi, hayumbishwi wala hayumbishiki.
Uzalendo, ushawishi na dhamira yake kwa Taifa havina chembe ya shaka miongoni mwa waTanzania.
Nidhamu, utii, hekima, busara, na mienendo yake kisiasa, vina mpa uhakika wa hatua za kuyafikia malengo...
Zipo Nchi nyingi Duniani zilizowahi kufanya maridhiano ya pamoja kwa njia zinazotofautiana zikitumia mbinu na mikakati tofauti ili kufanikisha amani na utulivu. Nchi hizo ni pamoja na:
Rwanda– Baada ya mauaji makubwa ya kimbari mwaka 1994, Rwanda ilifanya juhudi za maridhiano ya kitaifa...
Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu wa kale zaidi yanathibitisha ukweli kuwa ukongwe wa Jamii ya binadamu una asili katika eneo hili...
12 August 2026
Tanzania Yafungua Soko la Dhamana za Serikali kwa Wawekezaji wa Kimataifa
Tanzania relaxes forex rules to draw foreigners to bonds. 'The reform aims to broaden access to the government-securities market
Benefits of Investing in Government Securities
Treasury bills and Treasury...
Mkwanja Unazidi Kupanda 🔥
Kwa mara ya kwanza, klabu za Tanzania zinaenda kumheshimisha mchezaji wa ndani kwa kumuokotesha mapene ya dola milioni za Kimarekani, hela ambazo kwa mazingira ya soka letu kwa wachezaji wetu wazawa wa ndani ni kama radi inayopiga kwenye jua kali.
Hakuna mchezaji wa...
Hili ni swali la kutafakari very objectively.
1. Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja gani hasa?
Umoja wa Ulaya, Marekani, Umoja wa Afrika, SADC, Jumuiya ya Madola na taasisi nyingine za kimataifa zimekuwa na misimamo au hoja mbalimbali kuhusu uchaguzi na matukio ya kisiasa nchini...
Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti
Amekuwa akiungwa...
Habari wana jf, Huu ndio ushauri wangu kwa Rais Samia , CCM ,Vyama vya Upinzani na watanzania kwa ujumla hususani katika maridhiano na kuliponya taifa kunakozungumzwa .
Kwa katiba tuliyonayo tunategemea sana maamuzi ya Rais aliyepo madarakani na CCM , hata mataifa ya nje hayawezi kutusaidia...
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
Habari wana jf ,
Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira .
Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira?
Kwa mfano...
Na Mwandishi Wetu.
JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu.
Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...