tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania artists only second to Nigeria in the number of streams online.

    Classification of sub-Saharan African countries taking into account the number of YOUTUBE channels of the 3 most popular YOUTUBE Channels.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Gavana Mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu

  3. JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Masheikh kurundikwa Magereza bila kufunguliwa kesi Mahakamani nchini Tanzania, nini hatma yake?

    Sio tu masheikh wa uamsho ambao walikamatwa na SMZ na kuletwa Tanganyika kuendelea na mashitaka yao ya ugaidi lakini Serikali ya awamu ya tano ilivyoingia madarakani kesi zote zikasimamishwa na hakuna tena kupelekwa mahakamani isipokua ni mateso ya hali ya juu ambayo huwezi kuamini ukiambiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Oman yapiga Marufuku abiria yeyote kutoka Tanzania asikanyage kwao

    Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo. Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan Zanzibar ambao wameoleana sana. Hili litatuathiri sana. Hii ni kwa sababu tunaonekana hatuko serious...
  7. JamiiForums Tanzania ICAP Tanzania Careers, February 2021- (Various Posts)

    JOB OPPORTUNITIES Bonyeza kila moja hapo chini kusoma zaidi na kuapply: 1. Program Drivers -(2 Posts) 2. Regional Project Coordinator- (1 Post) 3. Technical Officer- Supply Chain- (1 Post) 4. Linkage And Retention Officer- (1 Post) 5. Technical Advisor- (1 Post) Application close: Mar 15...
  8. JamiiForums Tanzania Vibaraka wa mabeberu tambueni kuwa Tanzania ni dola huru, ina mamlaka kuamua iwalinde namna gani raia wake

    Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (JMT) imetamka wazi kuwa Tanzania ni dola huru yenye mamlaka yake ya kujitawala. Kwa mantiki hii rais wa JMT ana mamlaka ya kuwalinda raia na taifa zima la Tanzania bila kuingiliwa na ushawishi toka mahala popote. Tambueni kuwa Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Somo la historia ya Tanzania kuanza kufundishwa Machi 2021

    Somo la historia ya Tanzania litaanza kufundishwa katika shule za msingi kuanzia Machi, 2021 baada ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kukamilisha uandishi wa rasimu na mihtasari. Hatua hiyo ni utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli alilolitoa wakati akiwaapisha mawaziri Desemba 9, 2020...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wafanyabiashara na matajiri Tanzania walifeli Darasa la Saba

    Daa aise, Kumbe asilimia 90 ya wafanyabiashara wa Tanzania walifeli Darasa la saba. Kumbe haya mavazi mazuri ni wao ndio wanaotuuzia alafu sisi tunapendeza. Kumbe wao ndio wanaofuata mizigo China. Kumbe ndio wanaolipa kodi nyingi serikalini. Yaani kumbe yale majengo mazuri mazuri ya maduka...
  11. JamiiForums Tanzania Chuo cha Sokoine (SUA) chashika namba moja Tanzania (Citations)

    Moja kati ya kazi kuu za chuo chochote duniani ni TAFITI. Chuo chochote hapa duniani kitaonekana bora kama kina wana sayansi (academicians) bora walio tuliza akili na kuandaa tafiti na ku publish tafiti zao kwenye juornal za kitaifa na kimataifa! Kwa kuongoza kwenye citation ni ishara wazi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Malighafi zinazotumika Tanzania kutengeneza barakoa zinatoka nje au zinazalishwa na rasilimali zetu?

    Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au tunaagiza? Kama zinazalishwa ndani wamiliki wa kiwanda ni wazalendo wenzetu au ni ndugu zetu wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu Car Insurer anayelipa kwa haraka hapa Tanzania

    Wakuu naomba kutoa malalamiko yangu kwa insurer X ambae amehold kutoa approval ya matengenezo ya gari yangu wakati kila kitu kipo mezani kwake wiki ya 3 hiii. Gari yangu ilikuwa na comprehensive insurance na ilipata ajali ya kawaida na imediately nilikamilisha taarifa za polisi ikiwa ni pamoja...
  14. JamiiForums Tanzania Utendaji mzuri wa Serkali ya awamu ya tano umebadili siasa za Tanzania

    Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na kurejesha nidhamu kwa watumishi wa umma. Najua kila mtu anajua kuwa watu waligeuka michwa ya kutafuna...
  15. JamiiForums Tanzania AFCON U-20: Je, Tanzania itafuzu hatua ya robo fainali?

    Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia. Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele katika hatua ya robo fainali. Ikiwa Tanzania itashinda mchezo dhidi ya Morocco na Gambia kuishinda...
  16. JamiiForums Tanzania Ligi kuu Tanzania bara: Azam kumenyana na Tanzania Prisons

    Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa Septemba 26, 2020, katika mchezo ambao Azam ilikuwa ugenini na kufanikiwa kujiwekea kibindoni alama 3...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu watoa huduma kupandisha bei ya huduma?

    Habarini Wana Jamvi, Binafsi ninasikitishwa sana na watoa huduma mbalimbali pamoja na wauzaji wa bidhaa mbalimbali kuhusu upandishaji wa Bei za huduma na vitu kiholela na bila taarifa, unajikuta leo ulipata huduma kwa Bei hii, kesho ukifika umejipanga kwa Bei uliyouziwa Jana lakini cha ajabu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Mzee wa 'Mama Tanzania' yupo kimya sana tangu uishe uchaguzi!

    Yu wapi huyu mwamba au amestaafu? Siwezi kusahau miaka flani ya 2011 au 2012 alivyochambua vizuri mapungufu ya vitabu flani vilivyoingizwa mashuleni. Ilikuwa njema sana. Kwa sasa nilitegemea nisikie kitu kutoka kwake.
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  20. JamiiForums Tanzania Hapa sasa Wazungu ni wazi Wameishiwa Mbinu. Tanzania tumewaweza Afrika itakombolewa na Sisi

    Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…