tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  2. JamiiForums Tanzania Lupita Nyong'o awajibu wakenya wanaomponda kwa kuipenda Tanzania zaidi ya Kenya

    Muigizaji wa filamu ya ’12 years a Slave’ na mshindi wa tuzo za Oscar Lupita Nyong’o, ameonekana kuwajibu waliomponda kwenye mitandao ya kijamii nchini Kenya kwa kuposti picha akiwa katika hifadhi ya taifa ya Serengeti Tanzania. Wengi walionekana kumkosoa kwa kulitangaza na kulisifia taifa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania Mama yangu

    Kuna watu kwa akili zao timamu wanafikili wanalidai sana taifa lao "Tanzania" kuliko jinsi taifa linavyowadai wao. Tanzania tangu enzi za ukoloni mpaka inajipatia uhuru wake kuna watu wamejitoa kwa jasho na damu mpaka kutufikisha hapa tulipo. Rejea harakati za kudai uhuru, azimio la Arusha, vita...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. ------- AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania sasa tumepata Sultana ,aloo ile michezo ya kiturkish ilikuwa na maono

    Sasa ndio kazi mijibaba mikubwa mikubwa naiona ikinyenyekea kwa Sultana Samia,yaani Tanzania ni pekee duniani stresi ni tatizo linaloondoka bila ya kutumia makemikali. karibu tutaona zile shangwe za mikutano zikianza na mihemko yake,karibu tutaona rasimu ya katiba ya Warioba ikipitishwa karibu...
  6. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dkt. Hassan Abassi afukuzwe kazi kwa kiburi cha kukataa amri halali ya Rais wa Nchi

    Hakuna ambaye hajamsikia Rais Samia Suluhu leo alipoagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki vifunguliwe , huyu Hassan Abbass ni nani katika nchi hii hadi amlishe maneno Mh Rais kwamba Kilichoagizwa kufunguliwa ni Televisheni za mitandaoni , liko wapi andiko alilopewa na Mh Rais kuhusu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan awaapisha Viongozi mbalimbali walioteuliwa hivi karibuni

    UAPISHO: Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo amewaapisha Viongozi walioteuliwa Aprili 04, 2021. Hafla ya uteuzi imefanyika Ikulu Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Viongozi wengine wa Kitaifa akiwemo Waziri Mkuu Walioapishwa ni Makatibu Wakuu na Naibu Wakatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Nyuma ya Mtaala wa Elimu Tanzania

    NYUMA YA MTAALA WA ELIMU WA TANZANIA Naomba nianze na ile salamu yetu ya " Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kazi iendelee". Leo tarehe 6/4/2021 nimefarijika sana baada ya kusikia kauli muhimu " tendo uneni" kutoka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Samia Suluhu Hassan...
  9. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mama Samia Inatoa Mwelekeo wa Tanzania Mpya

    Hotuba ya mama inatoa uelekeo wa Tanzania mpya. Ameongea mambo mengi lakini nitatoa maoni kwenye manne; 1. KODI Mama hataki matumizi ya nguvu kwenye kodi. Anajua wafanyabiashara wanatishwa kupewa kesi za uhujumu uchumi ili kulipa kodi. Huu ndio ulikua mchezo wa TRA kwenye utawala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

    Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu. Rais Samia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaoishi mpakani, mafuta ya kula yamepanda kama yalivyopanda Tanzania? mbona hakuna malalamiko kama sukari inavyopanda?

    Aisee mafuta ya kula yanapanda kila siku, sababu iliyotolewa na Serikali ni kuwa Corona ndio imesababisha watu wa huko tunakoagiza haya mafuta kutofanya uzalishaji na kupelekea mafuta kutokuwa ya kutosha na hivyo kupanda. Yaani dumu lalita 3 ya mafuta ambalo nilikuwa nanunua 13,000 sasa hivi...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania imegeuka kuwa Taifa linaloshauriwa na watumiaji wa Mitandao?

    Ni kweli tupo kwenye ulimwengu wa kidigital, hivyo huwezi kuwakwepa watumiaji wa mitandao. Maana mitandao kama JF huku watu wanatiririka ukweli tofauti na kwenye magazeti. Lakini hii sio sababu ya kusema kuwa serikali iwe na watumishi amabo inawalipa mishahara alafu hawajui masuala ya...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kitu pekee nilichojifunza leo katika Siasa za Tanzania ni kwamba...

    Unaweza kudhani uliyenae (tena Msaidizi wako) anakuunga mkono katika Maamuzi yako ya Kipuuzi kumbe Yeye Moyoni mwake si anakusanifu bali pia anakuona bonge la Juha. Pia nimegundua ya kwamba Watu wa karibu (Wasaidizi) wa Siasa za Tanzania wakawa na Mawazo mazuri ya Kujenga na Kuisaidia Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Kwa Tanzania Bora Naomba zingatia haya!

    Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee! Amani iwe nawe Mama! Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka. Haya nimeyaona kwenye teuzi zako mbalimbali kuanzia Bandari, Katibu Mkuu Kiongozi na sasa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile ubunifu wa maendeleo Tanzania unavyokwamishwa na Polisi na TRA kwa kuendekeza Ukoloni

    Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity) Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu! Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu! Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho! Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
  17. JamiiForums Tanzania JUMIA TANZANIA tafadhari rudisheni huduma zenu tanzania mliondoka mkiwa bado mnahitajika sana

    hii ni moja ya kampini iliyo funga biashara zake tanzania mapema kabisa baada ya beana yule kushika madaraka tafadhari kama mawakala mpo huku tunaomba shaurianeni mturejeshee huduma zenu kwa sababu kuna baadhi ya bidhaa tulizipata kwenu wakati sehemu zingine hazipo
  18. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

    Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania huwezi kuwa Rais wa Tanzania au Makamu kama siyo Mkatoliki. Ukilibishia hili unataka tu Ligi isiyokuwa na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania, Mozambique ink broadband deal

    Tanzania, Mozambique ink broadband deal SUNDAY APRIL 04 2021 ICT minister Faustine Ndugulile speaks to the media. PHOTO|FILE Summary The project includes the construction of the fibre optic layout, power and transmission equipment, the mechanical building, the guard booth and the fireplace...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Clouds Media muombeni msamaha Rais Samia, mmemkosea sana

    Yaani mmemkosea mheshimiwa, mmemsingizia kwa ku-edit picha za 2018. Kwanini hamkuchukua picha za tukio la leo? Hii picha waliyoitumia CloudsMedia, ni picha ya 2018 na tukio lilikuwa tofauti na la leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…