CWT waunga mkono uanzishwaji wa bodi ya kitaalam ya walimu Tanzania

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,797
21,392
Nimefurahishwa CWT kukubalika Kwa zaidi ya wilaya 110 nchi kukubali wazo la uanzishwaji wa bodi ya kitaalamu ya walimu. Walimu wengi ambao ni wanachama wa CWT wametoa maoni yao kuwa asilimia 2 wanachama wanayokwatwa kwenye mishahara yao Kila mwezi ni kubwa kulinganisha na kiwango watakacholipia mara moja kwa mwaka.

Pili CWT sio chombo chenye uwezo wa kuwakagua kiutendaji na iwapo walimu wanaohitaji kuja kufanya kazi ya ualimu Tanzania kutokea nchi zingine hakuna chombo Cha kuwasajili ili weze kujulikana uwezo wao kiutendaji.

Tatu walimu wengi wangeweza kuchangia Kwa kuseme kuwa, CWT imekuwa kama chombo Cha kisiasa zaidi na sio chombo Cha utendaji.
Nne, CWT imekuwa ikiongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo kitaaluma hivyo kufanya chombo hicho kuwa hafifu.

Na mwisho CWT wameshauri kiwe chama Cha hiari mwalimu kujiunga au kutokujiunga na wamekwenda mbali kunishauri TSC ivunjwe ili bodi iweze kuwa chombo imara.
 
CWT ivunjwe Kwanza. Na tugawane mbao !!
 
Huu Uzi hautotembea kwa sababu walimu hawaitaki iyo bodi
 
C

CWT ni chama cha wafanyakazi kwa mujibu wa I.L.O haina uhusiano na hiyo bodi.
Mfano TUGHE na cha wafamasia au madaktari
 
Kabisaaaa
Tutakuwa na walimu ambao ni graduate akimaliza chuo kikuu anajaza fomu za kuomba kuwa "Graduate Teacher" ataendelea kuchapa kazi au kujiendeleza na kuwa ' Professional Teacher" ambapo akiendelea kujisomea masters atabakua kuwa professional teacher.
 
Walimu wa grade A na diploma watakuwa level ya pre graduate teacher
 
Mpuuzi kweli wewe! Yaani unaunyea mkono unaokulisha? Hadi kufika ngazi ya elimu uliyonayo hukufundishwa na hao grade A unaowananga hapa? Washukuru Kwa kukutoa tongotongo na makamasi yaliyowashinda wazazi wako vinginevyo ungekuwa muokota chupa tu!
Digital from analog
 
Hili jambo nimelipigia chapuo humu, nafurahi sana kuwa linaenda kutokea/kutimia.

Tuendelee kumuomba Mungu aepushe wenye nia za kukwamisha hili jambo.

Mainjinia, Wahasibu, Wanasheria, Madaktari, Wauguzi/Wakunga, Wafamasia, Wanasayansi wa Maabara, Wanasayansi wa Afya ya Mazingira wote hawa wana bodi za kitaaluma, iweje Walimu hawakuwa na Bodi ambapo Walimu ndio msingi/chanzo cha taaluma zingine zote.

Bodi ya kitaaluma ya Ualimu ni Muhimu sana!
 
Bodi ni pini ya kuwazuia watu kufanya kazi kama vile Fatma Karume alivyozuiwa kufanya uwakili ilhali ana digrii ya sheria na vigezo vingine. Hiyo bodi ya walimu itakuwepo kuingiza mapato tu serikalini (maana serikali ndio inaitaka sana hiyo bodi) na itatumika kuwanyamazisha mdomo walimu ukidai chochote bodi inakuvua uanachama na hufundishi popote wakati elimu unayo. Walimu wameikataa hiyo bodi.
 
Suala la Fatma ni la kisiasa.

Hilo hatuwezi kulilinganisha na Walimu ambao hatuwaoni kwenye uharakati.

Lengo la Bodi ya Ualimu(kama zilivyo bodi zingine za kitaaluma) ni kulinda miiko, maadili ya utendaji kazi kupitia usajili na leseni zao za kazi.

Kuna mambo mengi yanayofanywa na Walimu ambayo ni kinyume na maadili ya kazi zao na wameshindwa kuwajibishwa kisa hamna chombo kinachosimamia taaluma yao.

Mwalimu akihofia kupoteza ugali kwa kwenda kinyume na maadili hatathubutu kufanya kosa.

Haya ndio mambo ambayo Bodi itatakiwa kujihusisha nayo.

Sambamba na hilo, Bodi itaweza kuwapika Walimu kupitia mchakato wa mafunzo kwa vitendo pamoja na mitihani ya usajili. Walimu akifuzu hizo hatua atakuwa kaiva kwa kiasi fulani ukilinganisha na ambaye hajapita hizo hatua, na hatimaye atasajiliwa na kupewa leseni ya kazi.
 
Yap, mtu anaweza kuwa mwalimu wa somo fulani kwa sababu ya cheti, kumbe ni mweupe kabisa. Bodi itaondoa hilo.
 
Back
Top Bottom