tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Samaki aina ya ‘Asian Carp’ waliopandikizwa mito ya Tanzania wataondoa upungufu wa Protini na njaa?

    Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania? Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
  2. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania Kundi la chini ya 50 hawachanji?

    nisaidieni wkt naweka order nakutana na hii fomu
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Masuala ya Siasa Wa Marekani, Victoria Nuland aja Tanzania, kukutana na Rais Samia

    Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana na Mama Samia Suluhu na pia kufanya maongezi na Wapinzani.
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Mustakabali wa Elimu ya Tanzania na uhusiano wake kwenye masomo ya Ujasiriamali

    MUSTAKABALI WA ELIMU YA TANZANIA NA UHUSIANO WAKE KWENYE MASOMO YA UJASIRIAMALI. ELIMU YA MSINGI Tunapozungumzia Elimu ya msingi kwenye nchi kama Tanzania ni vizuri kujua umuhimu wa Kuhusisha Elimu hii na Elimu ya ujasiriamali. Hususa ni Taasisi husika kukubali kuipokea Elimu hii ya...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Utumishi wa Umma ni Useless tu kwa siasa za Tanzania

    Mtu hajawahi kuwa hata Mkuu wa Kitengo au Principal Officer au hata tu Senior officer kwenye Utendaji wa Serikali eti leo anateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji na anaenda kuwaongoza watu ambao wameshakuwepo kwenye nafasi za Ukuu wa Vitengo kwa miaka na miaka. Huyu mtu pengine hakuwahi hata kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kupitia Transnet Cyber Attack, iliyotokea South Africa

    Marine Cyber Attack ni uvamizi wa mifumo ya uendeshaji wa shughuli za Meli na Bandari. Ambayo inahusisha Bandari, mawakala wa Meli na forodha, idara za Kodi na wenye mizigo. Shirika la kimataifa linalosimamia Mambo ya Bahari, International Maritime Organization (IMO) baada ya mashambulio na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya mazungumzo na Rais Paul Kagame, wakubaliana kukuza uhusiano

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mazungumzo kati yake na Rais Paul Kagame yamejikita zaidi katika kuimarisha na kukuza uhusiano wa kiuchumi. Amesema, "Kubwa tulilokubaliana ni kukuza ushirikiano zaidi. Tanzania na Rwanda tuko kwenye Biashara na Uwekezaji, bado tuna fursa nyingi...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Mwalimu Nyerere aliyetupatia Uhuru, na ukiacha Benjamin Mkapa kwa kiasi, Tanzania inaongozwa na Viongozi wenye uwezo wastani sana

    Kama mada kwenye kichwa ilivyo, ukimuondoa MZEE NYERERE aliyetupatia uhuru na kisha baadaye kuwa na Mzee Mkapa katika awamu ya tatu, niseme wazi Tanzania imekuwa ikongozwa na viongozi wenye uwezo mdogo na wastani sana. Katika Uongozi, Mzee Mkapa ndiye angalau aliimarisha mifumo ya Serikali na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Mfumo Dola wa CCM, Tanzania inapotea njia

    CCM ilishachokwa kitambo, Mfumo wa chama kimoja uliathiri vipawa na mawazo mbadala, Mwalimu na wenzake waliunga mkono vyama vingi miaka ya 1992 ili kuruhusu mbadala na kuifungua Tanzania. Miaka 29 baadae tunarudi tena nyuma. Haya ndio madhara ya kukosa mwelekeo. Kutoka vyama vingi vya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    PICHA YA SIKU: Hili ni Daraja jipya katika Mto Mngeta uliopo katika mji wa Mlimba wilayani Kilombero. Daraja hili limejengwa kwa miezi 7 kwa thamani ya shilingi milioni 31, na limejengwa kwa miti. Pichani ni mbunge wa jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi, akikakagua mradi.
  13. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri, Manispaa, Miji na Wilaya 184

    Rais Samia amefanya uteuzi wa wakurugenzi 184.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Taja Mambo Mazuri na Mabaya ambayo Tanzania inaongoza

    Tanzania kama nchi inayo mambo mengi inaongoza. Yapo mazuri na mabaya. Taja mambo ambayo unaona ama unajua kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki, Afrika na duniani kwa ujumla. Kwa kuanza.. 1. Tanzania ndiyo nchi yenye wazungumzaji wengi wa lugha ya Kiswahili duniani. Ikifuatiwa na Kenya..
  15. JamiiForums Tanzania Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

    Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo. Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
  17. JamiiForums Tanzania Watalii kutoka Israel kutua nchini Agosti 2, 2021

    Na Joseph ngilisho Arusha, Watalii zaidi ya 150 kutoka nchini Israel wanatarajia kutua nchini Tanzania kesho jumatatu kwa ajili ya shughuli za Utalii ili kujionea vivutio mbalimbali vilivyopo hapa nchini. Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo ,Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufanya vizuri kwenye Para-olympics Tokyo

    Ninaamini nchi yetu itafanya vizuri sana kwenye paraolympics. Tuna wabunge, wanasiasa wakiongozwa na honorable Ndungai, Polepole, Gwajima, Tarimba, Mwigulu, Zungu etc hakuna hata haja ya kuwapima maana wana akili ya kuku wote hao. Mheshimiwa Tarmba atasindikizwa na na vigogo wa Yanga, huyu jamaa...
  19. JamiiForums Tanzania Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

    Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa. Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa...
  20. JamiiForums Tanzania Picha ya siku: Mbowe kama gaidi

    Hawa maigaidi wengine wameishia kumshangaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…