#COVID19 Kwa Tanzania Kundi la chini ya 50 hawachanji?

Kiume3000

Senior Member
May 17, 2021
180
218
Screenshot_20210804-123257.png
nisaidieni wkt naweka order nakutana na hii fomu
 
Usiwe na hofu, zipo nyingine mil. 11 zinakuja.......ni wewe na mabega yako tu, na nyingine utapewa unywe kabisa.
 
Kwani mpendwa upo timu ipi 😀😀😀waoga wa sindano utawajua tu
hapa ndo shida kuu iliko, mimi na sindano ni paka na panya hatupikiki chungu kimoja. Ili ni chanje lazima niende na familia nzima pamoja na mjumbe wa nyumba 10 wakanishikilie vinginevyo sichanji abadani!!!🤔🤔🤔
 
Umenikumbusha enzi hizo nilikuwa nikiumwa nikiandikwa sindano napelekwa na Baba,Mama na kaka yangu na wasiponishika vizuri napindua meza kwa mateke.
 
Back
Top Bottom