Magenge ya utapeli Tanzania: Tupe stori kama umekumbana na kadhia zao

King Easy

Member
Aug 11, 2013
44
125
Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa.

Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa kada tofauti ikiwemo watu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama

Share story yako hapa.
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,691
2,000
Sana sana n ule utapeli wa kudanganya watu watawafanyia mpango wa ajira Kuna dogo aliahidiwa atafanyiwa mpango aingie jwtz na mtu anae mfaham kabsa ni muajiriwa wa jeshi hilo akapigwa 200k na elf hamsin hamsin za kutosha na mwsho wa siku bad hajauona hata uelekeo wa kwenda jkt nilimtahadharisha mapema lakin dogo na mamake hawakuniamin wakafikir namuonea wivu mtt wao
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
18,533

Sasa huyo anamfahamu,alimchukulia hatua gani??au ndio anaogopa jwtz..?
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,211

Huna haja ya kuwaonea huruma watu wajinga wajinga,wacha waliwe pesa zao.
 
MastaKiraka

JF-Expert Member
Jan 10, 2015
1,767
2,000
Ndama mutoto ya Ng'ombe, huyu jamaa alishawahi hadi kutengeneza wizara feki ya ardhi pale masaki ili kumuingiza kingi 'Ngo'mbe' kutoka uarabuni na akafanikiwa kumuuzia kiwanja hewa pale magomeni kotaz. Ana mizizi mirefu serikalini, Serikali ya Chuma ilitaka kumpoteza kabisa ila kaingia mama naona kaishamuachia huru.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,620
2,000
Sana sana n ule utapeli wa kudanganya watu watawafanyia mpango wa ajira Kuna dogo aliahidiwa atafanyiwa mpango aingie jwtz na mtu anae mfaham kabsa ni muajiriwa wa jeshi hilo akapigwa 200k na elf hamsin hamsin za kutosha na mwsho wa siku bad hajauona hata uelekeo wa kwenda jkt nilimtahadharisha mapema lakin dogo na mamake hawakuniamin wakafikir namuonea wivu mtt wao
Imenikumbusha maumivu mwaka 2002,baada ya chuo,katika kutafuta ajira niliunganishwa na mjeda mmoja kitaa,anisaidie kuingia jeshini, nikaishia kutapeliwa laki mbili,
Ila Kuna jamaa yangu alisaidiwa akaingia JKT,baadae akapata kazi Takukuru,
Nilichojifunza kama huyo mjeda sio ndugu yako,Tena ana cheo Cha chini,Sio nyota,achana nae utaumia tu
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,691
2,000
Sasa huyo anamfahamu,alimchukulia hatua gani??au ndio anaogopa jwtz..?
Hajamchulia hatua yoyote wanadai wanaundugu nae mimi inanishangaza sana mtu haoni hata aibu kuwatapeli watu wa karibu hata kama ni familia rafiki na siyo undugu wa damu lakin yule jamaa ni mtu bure kabisa nilianza kumshtukia baada ya kula 200k ya dogo alaf akaanza kuomba na hela zingine zingine mara kwa Mara alimfanya dogo kama mradi wake
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,691
2,000
Imenikumbusha maumivu mwaka 2002,baada ya chuo,katika kutafuta ajira niliunganishwa na mjeda mmoja kitaa,anisaidie kuingia jeshini, nikaishia kutapeliwa laki mbili,
Ila Kuna jamaa yangu alisaidiwa akaingia JKT,baadae akapata kazi Takukuru,
Nilichojifunza kama huyo mjeda sio ndugu yako,Tena ana cheo Cha chini,Sio nyota,achana nae utaumia tu
Yani mtu anamtapeli mtu anaefahamiana nae hata aibu haoni mwsho wa siku anazid kumpotezea muda na kumuondoa kabsa kwenye raman kwa matarajio ya kupata kaz kumbe kuongezeana umaskin aise ingekua mm ningempa hela ya Moto
 
PHILATHROPIST

Member
Jul 31, 2015
17
75
Duh asee nimetoka kulizwa na jamaa kwenye mitandao ya simu...hapa sijui naanzia wapi maan kwa niliyoyasikia mpk sasa kwa wadau,,hakuna aliyefanikiw na kuwezesha kupat haki yake...ili hali naona kuna mamlaka inayoshughulika na suala hili na sijawahi kusikia chochote kimefanyika juu ya hawa matapeli.dah maisha ni magum na bado upate ugum wa kupamban na matapeli.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
170,801
2,000
Kwa muda mrefu kumekuwa na Magenge mbalimbali ya Utapeli kupitia Mitandao, Waganga na hata Wafanyabiashara. Hadithi n nyingi kuhusu magenge ya watu hawa. Yawezekana una ndugu, rafiki au hata jamaa aliyekumbwa na kadhia ya hii ya kutapeliwa.

Zipo taarifa kuwa ndani ya Magenge haya kuna watu wa kada tofauti ikiwemo watu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama

Share story yako hapa.
Haya magenge huwa kati ya watu wawili mpaka watano
Viongozi wao huwa ni watu wenye elimu kubwa lakini hawana ajira na watumishi wa uma waliofutwa kazi kwa sababu mbalimbali
Wamo
Wanajeshi
Polisi
Wafamasia
Madaktari
Wanasheria
Walimu
Makarani nknk

Hawa wana makundi yao kulingana na fani zao lakini pia wamo mult purpose wanaocheza kote kote na nyanja zao ni
Ishu za madini
Ishu za ajira
Ishu za kupata nyaraka na vibali mbalimbali
Ishu za tenda na mikataba
Ishu za mashamba, viwanja na nyumba
Ishu za uwekezaji
Ishu za biashara mbalimbali
Masomo , ajira na biashara nje ya nchi

Ndani yao wana wataalam wa
Madini
Nyaraka
Lugha
Madawa
Fedha
Na kwenye idara zote za serikali wana watu wao kabisa ambao wako kwenye payroll yao
 
Nyanidume

JF-Expert Member
Oct 24, 2012
2,357
2,000
Matapeli bana, eti anajifanya yeye ni kamishna wa polisi na ana siku chache sana kabla hajastaafu Ila serikali imempa mchongo mwingine wa yeye kuwa mkuu wa usalama katika mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta huko Tanga. So amepewa nafasi mbili za kutafuta madereva! Ili kuipata hiyo nafas akataka laki tatu na nusu Ila kwanza apewe laki, halafu nyingine itafuata. Basi bana tulikuwa Mimi na mwenzangu, jamaa yangu akanishawishi nikaingia king. Tukatoa laki laki! Baada ya hapo lile tapeli likawa linafos limaliziwe kiasi kilichobaki. Mmh nikaanza kupata wasiwasi, nilarudi nyuma! Mwenzangu akamalizia 250k iliyobaki. Mpaka Leo jamaa kapotea!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom