Kenya has 4 times more dollar millionaires than Tanzania

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionaires

Screenshot_20210801-064733.jpg
 
Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionairesView attachment 1875912
Kama list hii inauhalisia basi Kenya kuna shida..(economic gap) ni kubwa sana kati ya "the have" na "the have not".

Yaani Nigeria yenye watu zaidi ya Mil 120.. wawe na 9,100 na Kenya yenye watu zaidi ya mil.50 iwe nao 8k!

Si jambo la kujivunia.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Yaani Nigeria yenye watu zaidi ya Mil 120.. wawe na 9,100 na Kenya yenye watu zaidi ya mil.50 iwe nao 8k!..
Si jambo la kujivunia..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Nigeria ndio ina shida au Kenya. wacha kujikoroga?
 
Kenya also leads East and Central Africa in the number of dollar millionairesView attachment 1875912
Mimi sio mchumi, na kwa maana hiyo wangekuwa wanaonyesha jinsi wanavyopata hizi data.

Lakini unapoweka utajiri kwa thamani ya dollar, hakika TZ itakuwa nyuma kwa sababu matajiri wengi for the last 5 years waliacha kuweka deposits ya dollar kwenye mabenki kwa sababu ya siasa na hivyo basi kubaki nazo nyumbani. Kwa màana hiyo hutawaona kwenye data zao.
 
Kama list hii inauhalisia basi Kenya kuna shida..(economic gap) ni kubwa sana kati ya "the have" na "the have not".

Yaani Nigeria yenye watu zaidi ya Mil 120.. wawe na 9,100 na Kenya yenye watu zaidi ya mil.50 iwe nao 8k!

Si jambo la kujivunia.

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Tanzania 60million 2,000 dollar millionaires
 
Wah! Tanzania wametupwa mbali, poleni sana sijui kwanini huwa mpo wazembe kiasi hiki licha ya madini yote hayo.
 
8,300 Kenyan Millionaires = 1 Mo Dewji

Yule mhindi, vipi na nyie Watanganyika weusi mbona hakuna hata mmoja anatajika baada ya Mengi kuondoka, Waarabu na Wahindi wamejichukulia vyote kwa mlivyo wazembe.
 
Hayati mzee mengi.
 
Back
Top Bottom