Tafakuri kwa wapinzani Tanzania

mandokwa

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
620
865
Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii.

Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na kupigwa picha kisha hupelekwa polisi. KWANINI?

Binafsi nadhani kuna haja ya kulitazama kwa mapana hilo ili tutumie mbinu bora kudeal na Raisi Samia Hassan. Jamii yetu inaheshima na stara sana kwa wanawake hasa wakiwa na haiba nzuri. Wanawake hufanana na mama zetu na hivyo tuna sympathize nao mara nyingi sana. Pia dunia ya mabeberu huwa wanachunga sana kauli zao juu ya wanawake. Ukiwa mataifa yao hata kupandisha sauti mbele ya mwanamke ni offence....

Namalizia kwamba upinzani tumieni mbinu za kutongoza na kupenyeza hoja kama unavyopeleka kwa mama yako kuweza kushinda hoja kwa Mama yetu. matamshi kama ya mdudu na mengineyo sidhani kama yatazaa matunda sana. Ukimtunishia kifua lazima dunia itasimama na mama. Ukiforce jambo ambalo wakati kidume kilichotangulia (JPM) uliufyata litatafsirika kama unamkomalia kwakua ni mwanamke. Natambua mtasema Raisi ni taasisi lakini mwisho wa siku bado mwenye maamuzi ya mwisho ni binaadamu na kwasasa ni Mama yetu Samia Suluhu Hassan.

Nangu.... M
 
Umeandika upuuzi kudai haki za watu hazijalishi ni Raisi ni jinsia gani
 
Huy

Huyu mama asiminye demokrasia yetu kama anataka kuheshimika.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
UPUUZI MTUPU!!! Mbinu za kutongoza kwenye kudai Uhuru na haki!? 😳
Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii.

Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na kupigwa picha kisha hupelekwa polisi. KWANINI?

Binafsi nadhani kuna haja ya kulitazama kwa mapana hilo ili tutumie mbinu bora kudeal na Raisi Samia Hassan. Jamii yetu inaheshima na stara sana kwa wanawake hasa wakiwa na haiba nzuri. Wanawake hufanana na mama zetu na hivyo tuna sympathize nao mara nyingi sana. Pia dunia ya mabeberu huwa wanachunga sana kauli zao juu ya wanawake. Ukiwa mataifa yao hata kupandisha sauti mbele ya mwanamke ni offence....

Namalizia kwamba upinzani tumieni mbinu za kutongoza na kupenyeza hoja kama unavyopeleka kwa mama yako kuweza kushinda hoja kwa Mama yetu. matamshi kama ya mdudu na mengineyo sidhani kama yatazaa matunda sana. Ukimtunishia kifua lazima dunia itasimama na mama. Ukiforce jambo ambalo wakati kidume kilichotangulia (JPM) uliufyata litatafsirika kama unamkomalia kwakua ni mwanamke. Natambua mtasema Raisi ni taasisi lakini mwisho wa siku bado mwenye maamuzi ya mwisho ni binaadamu na kwasasa ni Mama yetu Samia Suluhu Hassan.

Nangu.... M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom