tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    Tanzania ilipo panda kwenye viwango vya kiuchumi, watu wote tulifurahi sana, tulitunga nyimbo na mashairi shatashata. Tangu mama ameingia amekuwa akiupiga mwingi sana, pia kwa kuongeza Kodi kwenye mafuta na tozo kwenye miamala ya simu nadhani atakuwa ameboresha sana mfuko wetu wa hazina. Pia...
  2. JamiiForums Tanzania PSSSF Kuna nini? Hebu semeni tu kwa sasa Tanzania hakuna mafao ya wastaafu

    Naomba serikali kuu itupie jicho psssf Kuna shida kubwaaaaaa sasa sijui tunwalaumu bure Labda maelekezo toka ngazi za juu aya wanayofanya mtu mafao unafatilia miaka mara sijui linapotea sijui nini Daaah inatia hasira sana
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Yaibuka Kinara wa Uwekezaji EAC Yote. Yasweka Kibindoni Dola Bilioni 1

    Tanzania kinara uwekezaji EAC kwa dola bil. 1 TANZANIA imezipiku nchi zote za Afrika Mashariki kwa kupata uwekezaji mkubwa wa Dola bilioni 1.0, kwa mujibu wa taarifa ya uwekezaji ya kidunia iliyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuendeleza Biashara Sawia Kimataifa (UNCTAD). Kwa mujibu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nahitaji stock broker aliye Tanzania anayehusika na stocks za nje

    Habari Wakuu. Nataka kununua shares za kampuni za nje kwa mtindo wa fractional shares (sliced shares). Naomba kama kuna broker aliye Tanzania anayeuza share za kampuni za nje ( primarily USA) tuwasiliane ili niweze kufungua akaunti kwenye brokerage yake. Cha msingi minimum deposit iwe chini na...
  5. JamiiForums Tanzania Mnaojiita Vyama Pinzani Tanzania msipokubali kuacha ubinafsi na kuwatumikia Wananchi kwa Elimu ya Siasa Ikulu mtapasikiga tuu

    CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani wakati umefika sasa mkae chini na kujitafakari! Tena mjitafakari na kuwa wakweli nafsini mwenu kwamba siasa mnazofanya ni kwa maslahi ya familia zenu huku vyama vyenu vikiwa havina hata misingi imara kwa jamii Hakuna mtanzania anayekataa au asiyejua...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Oscar Kambona in the video says Tanzania Government can not handle constructive criticism.

  7. B

    JamiiForums Tanzania President Samia: Some don't believe that women can lead

    10 August 2021 Tanzania's President Samia Suluhu Hassan says there were people who doubted she was qualified to lead when she first became head of state because she was a woman. In an exclusive interview with BBC Africa's Salim Kikeke, President Suluhu also spoke about her Covid-19...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yauza bidhaa nyingi Kenya kuliko ilizonunua kwa mara ya Kwanza

    Kwa mara ya kwanza Tanzania yauza bidhaa nyingi Kenya na kuimports kidogo # source the citizen and Central bank of kenya ===== Tanzania’s exports to Kenya have exceeded its imports to the East African Community (EAC) partner state for the first time in decades, signalling improved trade flows...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania waomba msaada dhidi ya waume zao wanaonyonya matiti na kumaliza maziwa ya watoto

    Watanzania hamuishi vituko ===== Breastfeeding women in Handeni district in Tanga region have asked the district commissioner, Siriel Mchembe to help them raise their voices against husbands who suck their breasts as they cause shortage of milk for their children. The request was made during...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi kuwapiga raia huu ujeuri wanautoa wapi? Naomba mwenye ushahidi wowote wa raia wa Tanzania kupambana na Polisi auweke hapa

    Tabia ya polisi wa Tanzania kuwatisha, kuwapiga na kuwaumiza wananchi wanaotumia haki yao ya kuhoji utendaji wa serikali inazidi kuota mizizi na kuibua maswali kuhusu wajibu wa polisi kwa raia wanaotuhumiwa kuvunja sheria. Kwa hali isiyoeleweka Polisi wa Tanzania wameamua kutoheshimu uhuru wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ikiwa kama Wananchi wa Tanzania hawataki Katiba mpya, Maoni yaliyokusanywa na Tume ya Warioba yalitoka wapi?

    Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa ccm wananchi wa Tanzania si wanaotaka Katiba mpya , bali Katiba mpya inatakiwa na wanasiasa ili watimize malengo yao, hii ndio kauli yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo. Swali langu ni hili, yale maoni ya Tume ya Warioba yaliyopelekwa kwenye Bunge la Katiba...
  12. JamiiForums Tanzania Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania

    Warioba asisitiza katiba mpya Tanzania WARIOBA ASISITIZA KATIBA MPYA TANZANIA | 13.07.2021 Vuguvugu la kutaka mabadiliko ya katiba mpya Tanzania bado liko juu na safari hii, waziri mkuu mstaafu na aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya katiba, Jaji Joseph Warioba ametoa himizo hilo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  14. JamiiForums Tanzania Tour Guide kuomba Watalii pesa ni moja ya sababu watalii hawataki kurudi Tanzania?

    Ukijaribu kuangalia triend ya Utalii hata Africa utagundua tunazidiwa hata na Botswana, achilia nchi kama South Africa au Moroco inayo Ongoza. Kuna Mama mmoja wa Kizungu anaishi Arusha na kaolewa na Mbongo mmoja hivi, sasa kuna kazi alinipa nyumbani kwake, na wakati nafanya nikaona Gari za...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi ambazo zimeshindikana ama ulishindwa kuzifanya

    Habari ya mchana, Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya Mobile Application Desktop Application Website Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako...
  16. JamiiForums Tanzania Rwanda katuzidi wapi kwenye kutangaza utalii?

    Huyu ni Lionel Messi wakati akiwa anawasili kwenye viunga vya Paris Saint Germain (PSG). Hii video imepostiwa kwenye official page ya PSG yenye mamillion ya followers, video hii hii imetazamwa na wapenzi wa kandanda wengi sana duniani na media kubwa duniani za football kama skysport,bt...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania kupeleka vikosi vyake vya kijeshi Msumbiji

    Tanzania ni sehemu ya kikosi kilichotumwa chini ya mwamvuli wa SADC kupambana na ugaidi katika mkoa wa kaskazini mwa Msumbiji wa Cabo Delgado. Awali serikali kupitia waziri wa mambo ya nje Liberata Mulamula alisema kwamba Tanzania haitatuma wanajeshi Msumbiji na badala yake inasisitiza juu ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupiga MCSE na ITIL hapa Tanzania

    Wasalaam Wakuu nataka kufanya certification ya hizi program NCSE na ITIL Kwa tanzania wapi naweza kupata team ya kufanya discussion+test before zijapiga paper
  19. JamiiForums Tanzania Hali tete thamani ya Shilingi ya Tanzania ukilinganisha na Dola ya Marekani kwa kipindi linganifu cha mwaka mmoja uliopita (2020)

    Wanajamvi, salaam Naenda moja kwa moja kwenye point Hali halisi ya thamani ya pesa yetu inazidi kushuka kwa kasi sanaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliopita, ukichukua takwimu za Benki kuu (BOT) kwa haraka tu utaona na kudhibitisha hayo, ukiangalia kwa mwezi July mpaka August 2020 utagundua...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana kwani Urais wako ni mtihani si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi kuhusu wanawake kupewa nafasi ya Urais huko mbeleni

    Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa. Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…