Kazi ambazo zimeshindikana ama ulishindwa kuzifanya

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,653
2,000
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya

Mobile Application
Desktop Application
Website

Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo au unayo kazi imeshindikana au umetafuta mtu akufanyie kazi ikashindikana. Basi weka komenti yako hapo chini kisha nitakupa majibu kama inawezekana kufanyika au lah.

Japo Kwa upande wangu kwa hayo mambo mamtatu yaliyoorodheshwa hapo juu hakuna kazi inaweza kushindikana.
Karibu maswali nitaweza kujibu yote nk.

img_2263-1024x777.jpg
 

Cybergates

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
460
1,000
Japo Kwa upande wangu kwa hayo mambo matatu yaliyoorodheshwa hapo juu hakuna kazi inaweza kushindikana.
Mkuu badili hayo maneno hapo juu
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,653
2,000
Japo Kwa upande wangu kwa hayo mambo mamtatu yaliyoorodheshwa hapo juu hakuna kazi inaweza kushindikana.
Mkuu badili hayo maneno hapo juu
Sijaona kama kuna shida mkuu kutokana na mna kila mtu anavyokuwa anajipanga kwa ajili ya akazi na majukumu yake,
labda kama kuna sababu za ziada unaweza kunipa kunisaidia niweze kujua ili nibadirishe nk
 

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Nov 4, 2020
226
225
wale wanaoulizaga leo wamepotea, mkuu mimi nisaidie natamani nijifunze hacking hata ndogo ndogo tu kama hobbie tu, ni mambo gani nijifunze na nifanye nini nipate ABC za hio kitu.
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,653
2,000
wale wanaoulizaga leo wamepotea, mkuu mimi nisaidie natamani nijifunze hacking hata ndogo ndogo tu kama hobbie tu, ni mambo gani nijifunze na nifanye nini nipate ABC za hio kitu.
Chakwanza ndugu yangu inakubidi uwe developer wa hiyo field yako unayotaka kuihack, maana itakusaidia kukufanya kujua madhaifu yake yanakuwa wapi nk,
kwa uhalisia hacking mimi naamini haifundishwi sababu unapaswa kumuelewa mhanga wako ili uweze kumdukua nk,
sijawahi ingia deep kusoma hacking lakini nilipokuwa najifunza kuimarisha security katika uwanja wa kazi zangu ndio ilinisaidia kujua baadhi ya madhaifu ya wahanga katika ulimwengu wangu ninaofanya.
Kwa ushauri wangu njia nzuri na sahihi niwewe kuwa developer maana nisawa na kutongoza demu kadri unavyowajua wanawake ndivyo unavyozidi kufanikiwa zaidi
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,653
2,000
ndio nko sirias na hizi inshu natamani nijifunze ningependa unambie jifunze hiki na hiki pitia hapa na pale.
Hebu kwanza ingia google ndugu some tu kuelewa developing ni nini nk upate ule mwangaza baada ya hapo utakuwa specific ni nini unataka kukijua itanipa urahisi zaidi kukushauri uanzie wapi.
nimesema hivyo sababu wengine tumesoma kwa kupitia mitandao tuu hatukwenda chuo so ukifanya hivyo itanipa urahisi zaidi kukushauri uanzie wapi nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom