Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Hapa mtawaona Anna Makinda, Kingunge!! Rais Mwinyi kipindi hicho akiwa ndo rais wa TANZANIA.
Tuwe wakweli Tz inapiga hatua japo ni kwa mwendo mdogo sana. Wengine mlikuwa wachanga kipindi hicho sasa mnandevu.
https://www.youtube.com/watch?v=K9hGDiFCTb4&t=1s
03 September 2021
Inside the French Embassy
Dar es Salaam, Tanzania
What defined my time as French ambassador to Tanzania: Exclusive interview with Frédéric Clavier
In his last interview as the ambassador of France to Tanzania, Frederic Clavier shares with The Citizen his actions and...
NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao.
Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini.
Mabalozi...
Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar.
Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu.
Misheni ilipingwa na Waarabu Waislamu na e kukoma mwaka 1698...
Mkuu wa mkoa wa Simiyu David Kafulila, amesema licha ya kuwapo kwa baadhi ya changamoto ya utoaji wa huduma za umeme, lakini Tanzania ni nchi pekee katika mataifa ya pembe ya Afrika Mashariki yenye gharama ndogo zaidi ya tozo za umeme, ikilinganishwa na nchi nyingine za ukanda za huo.
Hayo...
Mabounsa wakimzuia Devota Minja(Chadema) kurudisha fomu kwa msimamizi wa uchaguzi jimbo la Morogoro mjini mwaka 2020.
Kwa haya Tanzania ni Taifa la aibu na laana.
📍 Taarifa📍
Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz
It is shame upon face of illiterate minister to say that he want to impose tax on social media users while himself and his government contribute nothing to those companies.
WE, Tanzanian use google for free, we benefit from it yet without colour of right we want to impose tax or bar it from...
Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania.
Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
Kunekuwa na muamko mkubwa kwa vijana wanaofanya online content creation kwa upande wa YouTube. Nafikiri ni muda sasa wa kuunganisha watu pia kupata wawakilishi katika midahalo mbalimbali na kuitambulisha ili kuchukuliwa kama ni kitu cha msingi kinacho fanywa na vijana.
Pia kupata wawakilishi wa...
Habari,
Nauliza group iliyopo timu yetu ya Tanzania mshindi atakayeongoza ndiye anaenda kombe la Dunia moja kwa moja? Au kuna mchakato mwingine baada ya hapo? (DR Congo, Madagascar Benin na Tanzania)
Kama ndiyo yalivyo hivyo naona kama kuna kabahati hivi kwenye group letu au jinsi group...
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) alipokuwa Yanga SC...
"Haji Manara hana uwezo na bado kabisa hajaweza kumfikia Antonio Nugaz kwa Kuhamasisha, Kushawishi na kupiga Madongo ya maana na huyu ndiyo kiboko yake"
Juma Khatib ( Antonio Nugaz ) baada ya kuondoka Yanga SC Jana...
"Haji Manara hana...
WATU maeneo mbalimbali duniani wamekuwa wanasumbuka kupata 'kiwakilishi' sahihi na bora kwenye kubadilishana bidhaa toka dunia kuumbwa.
Baada ya uwepo wa DOLA ya Kimarekani na EURO ya Ulaya watu wakadhani mapambano hayo yamefikia tamati. La hasha, bado yanaendelea !
Baada ya majaribio ya kadi...
Sio jambo la kushangaza ila ni ukweli mtupu baada ya kuwa na zunguka kwenye utafiti wa kujifunza.
Tanzania tuna madini kama kweli tunaweza kufahamu jinsi ya kuyachenjua basi tungekuwa mbali.
Kwanini?
Ukosefu wa elimu kuhusu jinsi ya kupata madini kama gold ndio unafanya kutofahamu mpaka...
Nakiri kuwa sijawahi kuishabikia CCM hata kwa bahati mbaya. CCM ni chafu na inanuka. Siwezi kuishi kwenye nyumba inayonuka, nikijifunika blanketi moja na wanaonuka, nikikesha na wenzangu wanaonuka halafu nidanganye umma kwamba sinuki. Kuwa mwanachama wa CCM maana yake ni kwamba huo uvundo...
Leo Jumatano Septemba 01, 2021 Gazeti la HABARI LEO limeachia Makala yangu kwenye ukurasa wake wa 12 mpaka 13 yenye kichwa cha habari "KWANINI NI MUHIMU TANZANIA IENDELEE KUNUNUA NDEGE?. Mjadala mzuri na mkubwa sana.
Ni hivi, katika juhudi za kufufua Shirika la ndege na kuimarisha sekta ya anga...
UTANGULIZI
Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi. Ama baada, ningependa kuzibainisha nukta 03 zitakazo chambuliwa katika mnakasha huu.
01) Mapinduzi ya Viwanda kwa ujumla wake.
02) Hali ya Mapinduzi ya Viwanda Nchini Tanzania.
03) Mtazamo Juu ya Nini Kifanyike.
01) MAPINDUZI YA VIWANDA KWA...
Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia Shuleni .
Mfumo wa utoaji elimu ndio kitu pekee kitachopelekea elimu kupokelewa vizuri na wahusika katika mahala sahihi .
Jamii yetu ya Tanzania imetawaliwa na lugha ya Kiswahili na kwa upande wa pili ni kwamba Kiswahili kimeidhinishwa kuwa ni lugha ya taifa...