Shirika la Posta linazindua huduma ya Pamoja (One Stop Center)

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
666
835
📍 Taarifa📍

Katibu Mkuu wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizaraMTH Dkt. Zainab Chaula anawakaribisha kwenye uzinduzi wa vituo vya HUDUMA PAMOJA(ONE STOP CENTER) Utakaofanyika jijini Dar es salaam tarehe 06/09/2021 saa 5:30 Asubuhi kwenye viwanja vya @posta_tz


IMG_20210903_074416_434.jpg

IMG_20210903_074416_513.jpg
 
Nawapongeza na kuwatakia kila la kheri Posta kwa uzinduzi wa VITUO VYA SIMA MOJA (One Stop Centres) unaotegemea kufanyika.
 
One stop centre (mnaendekeza mkusanyiko zama za Korona?) Bora mngeenda Digital
 
Hudhuria kwenye uzinduzi upate kuelewa tafadhali.
Watu tuna parcel zetu toka ng'ambo tracking no zinaonyesha zimeingia nchini tokea wiki iliyopita ila ukienda kuulizia posta hamna kitu afu wanatuletea huu upuuzi wao.
 
Labda itatupunguzia kadhia ya kwenda Posta Mpya kila mara kufuata vifurushi kutoka nje
 
Back
Top Bottom