tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Vuta N'kuvute Official Trailer

    Hii ndio Official Trailer ya Filamu ya Vuta N'kuvute (Adaptation ya ile novel ya Vuta N'kuvute by Shafi A. Shafi) Filamu ilikuwa Directed & kuandaliwa Amil Shivji (Kijiweni Production) akisaidiana na Big World Cinema. What do you all think? #vnv #tiff #kijiweniproductions #bongomovies...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mvurugano wa mambo uliopo Tanzania ni matokeo ya kuyumba kwa CCM Kisera

    Kwani hasa CCM inasimamia misingi gani sasa huwezi kupata jibu la wazi. Tuchukue walau huu muda wa miaka 20 iliyopita utaona ukweli wa mambo. Nakusudia kutoka mwaka 2000. Kuanzia mivutano ya Kupata mgombea wa Urais wa JMT na kuvuana magamba na kuasisiwa mitandao kulikiacha chama peupe kabisa...
  3. JamiiForums Tanzania Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano Tanzania

    Teknolojia ni rahaa sana. Nimeanza kufahamu hii clubhouse kupitia JamiiForums. Asanteni JamiiForums [emoji106]. Mnaweza kufanya mikutano bila buguza yoyote wala poiliCCM kuingilia mkutano [emoji23]. Clubhouse ndio mkombozi wa mikutano yoyote na makundi yote.
  4. JamiiForums Tanzania Live from Mkapa national stadium: WCQ African zone Tanzania vs Madagascar

    Wellcome for updates about this match from beigning to the end of this match. Starz will win or draw at the home? Madagascar starting XI Update Tanzania moja dakika ya 3 erasto kwa mkwaju wa penalt Full-time Tanzania 3-0 Madagascar The Tanzania now leading the group J for the 4 point...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
  6. JamiiForums Tanzania Generation ya kuanzia 1990's ndiyo italeta ukombozi wa kisiasa hapa Tanzania

    Huu ndo ukweli CCM imekataliwa na most of people. Wengi ni vijana waliozaliwa 1990s Hivyo kizazi cha hakina kayafa kinabidi kiishe chote. Hiki kizazi cha 1950+ kimejaa watu makatili waliopoteza utu na Heshima na wanaofanya siasa za chuki na kukomoana. Pendekezo vyama vya upinzani makini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
  8. JamiiForums Tanzania The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  9. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji Katiba, Tanzania tunafeli Wapi?

    Nchi si shamba la mtu. Nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Inatia moyo majahili kama kina Alpha Conde wanapotiwa adabu kwa kukiuka katiba: "Rais Alpha Conde alitaka kuvunja Katiba ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa muhula 3 na bunge kumuongezea mshahara." Sote hatupendi katiba ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwa Rasilimali Zilizopo Tanzania, Tunastahili kuwa na Maendeleo haya tuliyo nayo?

    1: UTANGULIZI. Tanzania katika miaka ya hivi karibuni imepata maendeleo mazuri katika nyanja za kisiasa kiuchumi na katika ustawi wa jamii. Ingawa bado nchi inakumbana na changamoto kubwa za kimaendeleo, kama vile rushwa ongezeko kubwa la watu magonjwa na kukosa usawa wa mgawanyo wa mapato...
  12. JamiiForums Tanzania ALAF Tanzania, mnatumia kigezo gani kupandisha bei za bati zenu

    Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

    https://cceonlinenews.com/2020/02/05/tanzania-now-catches-up-with-kenya-in-infrastructure-projects-2/ Tanzania is now at per with Kenya in terms of infrastructure projects, both recording 51 projects in 2019, a new report has revealed. The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yangu

    Nakupenda Tanzania yangu ya Mama Samia
  15. JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa Safaricom

    Kama title inayojieleza hapo juu, natafuta wakala wa safaricom au mtu mwenye cash kwenye safaricom mpesa kwa tanzania, nataka niweke pesa kwenye safaricom mpesa. Kama upo DAR itakuwa poa sana...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji (Feedlot Experts)

    Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji mifugo (hasa wa nyama)kwa njia ya "feedlots" sijui neno sawia kwa kiswahili. Kama Kuna wadau wanazo hizo Center tusaidiane ili nijifunze jinsi ya kuanzisha na kuendesha feedlots.
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 If i'm a Leader, what would I do to ensure peace is achieved and sustained in Tanzania

    Leader is a person who have influential power over other people and which is rule other people, suppose I am a leader and I get time to talk with my fellow leaders inside and outside my country, I will take as advantage to use my influential power to teach and advise others what to do, to...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akirudi Tanzania tumuombe arudi CHADEMA

    Kwa sasa kisiasa tupo vibaya sana maana katibu mkuu aliyepo sasa hivi hana mikakati ya kutunyanyua kisiasa. Pamoja na kuwa mwamba ametiwa nyavuni lakini sio sababu ya kutoendeleza mikakati ya kisiasa. Uonevu wa Ccm kwa watanzania umezidi, tozo za kila namna, ukosefu wa ajira, ufisadi na kila...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?

    Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa? Ilikuwaje kuwaje vazi la kaunda suti kuanza kutumika tanzania? Kwanini limekuwa maarufu kwa viongozi hasa wabunge? Kwanini sehemu kama chuo cha CFR wanataka liwe vazi la wanachuo? Kwanini kaunda suti itumiwe mabalozi wengi? Kwanini rangi nyeusi na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Historia ya Kanisa Katoliki Tanzania

    HISTORIA YA KANISA KATOLIKI TANZANIA Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili KANISA Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili Kanisa lililo hai ni lile, linalojiweza katika uinjilishaji, utawala na kujitegemeza. Kanisa la Tanzania limepiga hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…