tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia, Tanzania moja ya nchi Afrika zinazovutia kwa uwekezaji 2020/21

    Wanasalimu kwa Jina la JMT, Siku njema huonekana asubuhi, Hatimaye Rais Samia Suluhu Hasaan ameiingiza nchi yetu kwenye nchi Tano zenye mazingira mazuri ya Uwekezaji barani Africa. Sasa Tanzania tutashuhudia wawekezaji wakimiminika nchini kwetu na kwahakika Vijana wetu watapata ajira na...
  2. Zamazangu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

    Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu. Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa...
  4. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa hii sheria ya Tanzania ya kuzuia ugaidi - Mbowe na wenzake wapambane sana mahakamani

    https://www.tanzanialaws.com/index.php/principal-legislation/prevention-of-terrorism-act kwa kifupi UGAIDI NA TAFSIRI KATIKA SHERIA YA KUZUIA UGAIDI SURA YA 19 YA MWAKA 2002. Tafsiri na kuzuiwa kwa vitendo vya ugaidi.kifungu cha 4.-(1) Hapana mtu yeyote katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makala ya Tanzania itaongeza utalii

    Nimeshiriki kuandaa makala ya Tanzania itakayorushwa katika kipindi maarufu Duniani cha Royal Tour. Ni matarajio yangu kuwa makala hii itasaidia kuitangaza vizuri nchi yetu, kuinua utalii, kuvutia wafanyabiashara na wawekezaji na kuondoa upotoshaji wa makusudi kuhusu Tanzania.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

    Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
  7. mahunduhamza

    JamiiForums Tanzania Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwenye wilaya yako kuna maeneo gani mazuri na vivutio gani kwa utalii wa ndani?

    Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
  9. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?

    Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe? Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi. Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanaojiita wasanii Tanzania hawana vipaji

    Kana huyu jamaa dullvani kwa mtindo huu basi kila mtu angeweza kuwa msanii. Watu wanajua sanaa ni kitu cha kawaida tu. Ndio maana sanaa ni kipaji na kwa sasa tanzania hawa wanajiita wasanii hawna vipaji. Kila siku kuteletea mambo ya ajabu. Kuna wale jana wa futui walikuwa wanatoa vichekesho...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kusherehekea ushindi wa kombe la Dunia (FIFA) utakochukuliwa na Tanzania mwaka XXXX

    Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4. Hata kama ni mwaka 2500 au mwaka 2900, potelea mbali, cha msingi huu uzi utunzwe hadi kipindi hicho ambapo tutakuwa tumelibeba...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika ikiwemo Tanzania bado maskini licha ya kupokea Misaada na Mikopo ya mamilioni ya Fedha kutoka nchi zilizoendelea? - Part I

    Niliuliza hili swali kupata maoni, sio hapa tu ni kwenye majukwaa mbalimbali, Asante kwa wote waliotoa maoni yao. Lakini kwa ufupi misaada na Mikopo kihistoria vilianza miaka ya 1945 na ilikuwa baada ya vita kuu ya pili ya dunia kwa malengo mawili; i) Kujenga miundombinu iliyoharibiwa wakati...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepokea bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW

    Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili na Mifumo ya Ikolojia nchini. Mkataba wa msaada huo umesainiwa jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu...
  14. JF Member

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Makamu wa Rais Philipo Mpango mtuongoze milele hapa Tanzania

    Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza. Kimenipa maswali mengi. 1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia? 2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IMF gives Tanzania Tsh. 1.315 Trillion to deal with effects of Covid-19

    The International Monetary Fund (IMF) has given Tanzania $ 567.25 million equivalent to approximately Tsh. 1.315 trillion to combat the effects of # COVID19 which has significantly affected the Tourism and Health sector - The Government of Tanzania is committed to strengthening good governance...
  16. mahunduhamza

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tuiendeleze Tanzania yenye asili yetu, kwa kuendana na kasi ya Teknolojia

    Tanzania ni nchi tajiri na yenye amani kubwa inayopaswa kutunzwa na kuendelezwa. Utajiri huu unatokana na rasilimali tulizonazo Kama vile Madini, watu, Wanyama na vinginevyo. Uendeshwaji na matumizi ya rasilimali hizi unapaswa kushirikisha wananchi ambao ni wadau muhimu wa maendeleo. Malumbano...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa machifu Tanzania ataka Serikali iwatambue rasmi machifu

    Kiongozi wa machifu Tanzania ataka serikali iwatambue rasmi machifu akisoma risala mbele ya Rais Samia kwenye Takashi la Utamaduni Mwanza Je anataka ukatili na serikali za kikabila urudishwe?
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Korona ya Tanzania ina maajabu, inakuwepo kwenye mikusanyiko ya upinzani ila kwa watawala na CCM inayeyuka

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan yuko mwanza mikutano yake Ina maelfu ya watu ambao hawajavaa barakoa ila kesho CHADEMA wakiitisha mkutano wawatu 50-70 Corona inatinga na hazitambuliwi na madaktari Ila polisi wenye bunduki na virungu. Korona ya Tanzania is so unique.
Back
Top Bottom