tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais Museveni, amkabidhi Rais Samia shule iliyojengwa kwa fedha za Serikali ya Uganda

    Rais wa Uganda, Yoweri Mseveni leo Jumatatu amemkabidhi Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan shule ya awali na ya msingi Mseveni iliyojengwa kwa fedha za serikali ya Uganda, eneo la Nyabirezi, wilayani Chato, Mkoa wa Geita.
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ilipora Maelfu ya mifugo ya nchi nyingine iliyokamatwa kwenye mapori ya mpakani. Wahanga walipwe fidia

    Unyama wa serikali ya awamu ya 5 ulijumuisha hadi wizi wa mifugo ya nchi jirani kwa kisingizio cha kuvuka mpaka. Mifugo kutoka Rwanda na Uganda ilitaifishwa baada ya kuvuka mpaka na kuingia kwenye mapori ya Tanzania, badala ya kurejeshwa zilikotoka viongozi wa Tanzania wakaamua kuzipora na bila...
  3. JamiiForums Tanzania Chama Cha Madaktari Tanzania chatoa tamko juu ya tukio la Kaliua

    Kwanini matukio haya ya udhalilishaji wa madaktari yanaendelea kutokea?? Taarifa zinazotrend mitandaoni ni kuwa DC alilazimisha mgonjwa atibiwe wakati rufaa ilishatolewa kutokana na hali ya mgonjwa. Kwanini techinical issues zinakuwa politicised?
  4. JamiiForums Tanzania President Samia, the manifestation of Uhuru dream

    PRESIDENT SAMIA, THE MANIFESTATION OF UHURU DREAM By Special Correspondent ON 22 October 1959, the founding father of our nation, then a young African leader, Mwalimu Julius Nyerere made a commitment on behalf of his people, who had not yet acquired their independence from their colonial...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo

    Heko wadau.. Rais wa Tanzania mh.Samia Suluhu Hassan anajenga Tanzania ya viwanda kwa vitendo na bila makelele .. Kwa mda mfupi Sana amevutia maelfu ya wawekezaji katika maeneo mbalimbali hususani viwanda . Tulikuwa na Rais ambaye alikuwa anajigamba Sana Kuwa Rais wa viwanda lakini ndani ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Satelite internet in Tanzania

    Habar wadau hope kila mtu leo upo home wiki iliopita nilianzisha mada ya fiber internet na kila kitu kikawa sawa kila mtu anajua kuwa unternet ni muhimu katika kusaka saka huku na kule niligundua kuwa kuna kampuni zaidi ya saba zinafanya fiber internet hapo city centre nazo ni TTCL ZUKU LIQUID...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi yangu ngumu sana. Demokrasia hatuijui na tunaiogopa

    Hakika Nchi yangu Ngumu sana CCM Wanafanya Mikutano bila hata Kibali cha Polisi Vyama vya Upinzani pamoja na kutii Sheria bila Shuruti lakini Wanakatazwa kufanya Mikutano. Nchi yangu kweli Demokasia HATUIJUI na TUNAIOGOPA
  8. JamiiForums Tanzania Rais Museveni ametumia gari lake kwenye ziara yake Tanzania?

    Jana asubuhi hapa Manyoni-Singida ilipita convoy ya Uganda ikiwa escorted na Polisi Tanzania. Miongoni mwa magari hayo, kuna moja lilikua limebeba gari, iliyokuwa imefunikwa gubi gubi, nilivyojaribu kufuatilia nikagundua kuwa Museveni alitakiwa kuwepo Tanzania leo. Swali, je ni sahihi Rais...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, unajua habari za Kionga, ambayo ingekuwa sehemu ya Tanzania?

    Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga (Kireno "Quionga"), ambao mwaka wa 1910 ulikuwa na karibu wakazi 4,000. Eneo hili lilikuwa sehemu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Museveni kufanya ziara ya kikazi Tanzania. Atakabidhi Shule iliyojengwa kwa ufadhili wake Wilayani Chato

    Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania kwa ziara ya Kitaifa kuanzia Novemba 27, 2021, na atapokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan Mbali na Marais hao kufanya mazungumzo, pia watashiriki ufunguzi wa kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda Rais Museveni...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili

    Shirika la ndege Tanzania -ATCL limezindua safari kutoka Dar es Salaam kwenda Nairobi nchini Kenya ambapo ndege za Air Tanzania zitasafiri mara mbili kwa siku kuanzia leo Ijumaa tarehe 26 Novemba, 202. #TanzaniaImara💪🏿#TupoVizuri #KaziIendelee🇹🇿
  12. JamiiForums Tanzania Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasema Uchumi wa Tanzania umekuwa sana na Watanzania sasa wana hela nyingi na Miradi mikubwa ipo na mingine inakamilika

    Kumbe Watanzania wakiwa katika Mgawo wa Umeme, Maji ya shida, Tozo za kila aina Kuongezeka na Mfumuko wa Bei na hata wa Bidhaa nao Kukua, Ajira kutopatikana, Benki zikitoa Mikopo kwa Riba Kubwa na Kiwango cha 'the haves' and 'the haves not' nchini Tanzania kikiongezeka kwa Kasi ndiyo tafsiri...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Kama Taifa hebu tutafakari haya: 1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB, 2. Ni lini...
  15. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa wadudu kama chakula cha mifugo na binadamu kilimo kilichokosa nafasi Tanzania

    Licha ya Nchi ya Tanzania kuwa katika ukanda wenye hali ya hewa inayoruhusu uwepo na ukuaji wa viumbe wengi wakiwemo wadudu na mimea bado uwekezaji kwenye kilimo cha ufugaji wa wadudu lishe unaonekana kuwa wa chini sana ukilinganisha na nchi nyingine Duniani. Tanzania inaonekana kuwa nyuma sana...
  16. JamiiForums Tanzania BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  17. JamiiForums Tanzania Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?

    Nisaidieni majibu ya hili swali la kweli au sikweli? Nilikua kwenye test ya maarifa ya jamii nikakutana na hilo swali. Miradi yote inayolisha Tanzania ilianzishwa na Nyerere kweli au si kweli?
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi unakua kwa kasi. Tumepunguza kiwango cha umasikini

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni miongoni mwa Nchi 10 za Afrika ambazo Uchumi unakua kwa kasi. Pia, imekuwa na utulivu wa Mfumuko wa Bei na Thamani ya Fedha. Ameeleza, "Tumeona viashiria vya Maendeleo kwenye Maendeleo ya mtu. Tumeweza kupunguza kiwango cha umasikini...
  19. JamiiForums Tanzania Live from The Grand Hyatt, Kilimanjaro Kempinsky- TotalEnergies Marketing Tanzania, Yazindua, Pure Lubricant, ni Funga Kazi!. Karibu Ushuhudie Live!

    Paskali
  20. JamiiForums Tanzania Armed Robbery sasa ina dhamana Tanzania

    Kwa wale wanasheria wenzangu, mnakumbuka kesi ya Dickson Paulo Sanga, Rufaa ya madai Na.175 ya 2020 Mahakama ya Rufaa (DSM) ilitoa miezi 18 sheria kubadilishwa kwa ujambazi wa kutumia silaha ili iwe na dhamana, miezi hiyo 18 imeisha November, 2021, endapo kwa kipindi hicho sheria itakuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…