Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.
Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.
Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
Nimekuwa naenda mahakamani kufuatilia kesi ya Jamhuri (Samia) v/s Tundu Lisu.
Pamoja na mambo memgine, tumeona wingi wa askari polisi na wanausalama eneo lote la katikati ya jiji kuzunguka Mahakama Kuu, lakini jambo lililonistua ni uwepo wa Ambulance ambazo madereva na wahudumu ni askari polisi...
Bahati siyo yetu Tanzania au Afrika kwamba binadamu mwenye uwezo wa aina ya huyu anakuja na kuondoka na hawezi kutumika ipasavyo.
Kwanza wanapenda HAKI na ujue kabisa watu wanaopenda HAKI siyo rafiki wa maovu.
Vinginevyo kwa haya tunayoendelea kusoma anayomwaga huko mahakamani eeh bana NO...
Hii hadithi tumeisikia kuanzia Nchi imepata Uhuru. Najiuliza umeme utakasambazwa nchi nzima ndo huu huu unaokatika kila baada ya masaa nane au?
My take suala sio kusambaza umeme swali ni huo umeme unaosambazwa utaweza kukidhi mahitaji ya Watanzania nchi nzima na utakuwa reliable...
Kila mwaka Septemba 10, Tanzania inaungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Kuzuia Kujitoa Uhai Duniani, huku wataalamu wa afya ya akili wameeleza kuwa tatizo hilo limekuwa tishio kubwa nchini hususan kwa vijana.
Akizungumza katika Maadhimisho hayo Septemba 10, 2025 katika...
Kuanzia sisi tuliojaariwa uhai na mwenyezi Mungu sasa hadi vizazi vyote vinavyokuja vya Tanzania na hasa Tanganyika historia ya Nchi yetu hatutaisimulia kwa kuwaeleza kina Mkwawa au Nyerere kama mashujaa wa hili Taifa.
Kuanzia sasa historia ya nchi yetu hasa kwenye mapambano ya haki sawa kwa...
Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD), Mwajuma Noty Mirambo, amesema kuwa akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anaigawa Tanzania kwa Majimbo. Ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa kampeni za chama chake kwenye...
Nchi ya Kolombia inajulikana kwa makundi mengi ya mauaji. Ukweli ni kwamba moja ya sababu ni kama haya yanayofanywa na CCM. Ni hii hali ya serikali kuendesha mauaji kwa wanaotetea haki za raia.
Hali iliyopo Tanzania Mahakama zinatumika vibaya, Polisi wanatumika vibaya, Tume ya uchaguzi...
Chandler Good Government Index (CGGI) ambayo ni kigizo cha kimataifa cha kuchambua utendaji na uwezo wa serikali inayochapishwa kila mwaka na Chandler Institute of Governance yenye makao yake Singapore imeitaja Tanzania kupanda kwa nafasi nne katika masuala ya utawala bora, kutoka nafasi ya 82...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Kibaha vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Abuu Jumaa amesema, mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, ni Rais aliyeletwa na Mwenyezi Mungu akieleza kuwa hilo linathibitishwa na namna alivyofanya...
Tanzania Haina Demokrasia ya Kweli ya Vyama Vingi Ni Udanganyifu Ulioratibiwa na CCM
Tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Tanzania haijawahi kuwa na demokrasia ya kweli. Badala yake, tumeendelea kuishi ndani ya mfumo wa chama kimoja uliovaa sura mpya chini ya ushawishi mkubwa...
Sasa hivi kila Mtanzania ukiacha machaww wa CCM ndio hawana uoga juu ya kupoteza maisha yao.
Uhuru tuliousaka toka kwa Mjerumani na Muingereza umetoweka.
Haki ya kujadili masuala ya taifa letu imepokwa.
Bora tunywe Valuu na konyagi huku tukimiksi na Kangala
Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito ,kauli ya Matumaini,kauli ya kijasiri ,kauli iliyoleta matumaini,furaha ,tabasamu kwa watanzania. Ni kauli ya kiuongozi yenye kuonyesha umadhubuti ,uimara na ushupavu wa kiuongozi wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Albetta Canada
Najua Watanzania wenzetu Sasa hawaipata jamii forums kama jukwaa huru
Nawapa pole Jamii forums na kuwatia moyo kuwa Sasa ushindi unakaribia
CCM na njama zake wanakaribi kuanguka, wamegusa pabaya.mara hii
Jamiiforums ni kubwa mno, yaani jamii forums...
1. Walimu na Wakufunzi
Jinsi ya kutumia:
Kuandaa notes na lesson plans kwa haraka.
Kutengeneza maswali ya mitihani na majibu.
Kutoa maelezo ya kina kwa mada ngumu (mfano hesabu, fizikia).
Kufundisha kupitia maudhui ya Kiswahili na Kiingereza kwa wanafunzi.
2. Waandishi wa Habari na Bloggers...
Mimi ni Mtanzania ninayetamani kuona mapinduzi na mabadiliko ya siasa ndani ya Tanzania , naimani kubwa siasa za ushindani na demokrasia ya kweli ni chachu ya maendeleo kwa Taifa lolote lile
Tatizo kubwa ninaloliona ambalo lipo kwa vyama vya siasa vya upinzani ndani ya Tanzania vimejikita...
Dr. Noorali Jiwaji mhadhiri wa Physics and Astronomy katika Open University of Tanzania anasema kesho kuanzia saa 6:28 pm,saa ya Magharibi ,watu wa Tanzania,hasa watu wa mwambao wataona kupatwa kwa mwezi. Mwezi utaingia giza.
Total lunar eclipse.
Now talking about eclipses,I noticed last time...
Samia sio mjinga kubuni tume feki ya maridhiano ndani ya siku 100. Hii ni Kwa sababu anajua kushinda uchaguzi ni kitu kimoja na kuongoza taifa lenye mshikamano ni kitu kingine.
IDU ni muunganiko wa vyama vya Africa,ulaya na America,,kitendo Chao cha kusema jumuia ya kimataifa zipuuze uchaguzi...
https://youtu.be/Gf6xImh1lEk?si=H-r2cFmd2xPTutwR
Sina hakika kama hiki kipande cha video kuhusu utekaji unaoendelea Tanzania kililetwa hapa.
Kama kililetwa basi mods wanaweza kuunganisha nyuzi.
Ni kipande kilichorushwa juzi, Septemba 3, na kituo cha runinga cha BBC, idara ya Afrika.
Licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.