tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hakuna Simba wala Yanga, wote wameishia makundi CAF, ni mwanzo wa anguko kwa Soka la Tanzania kimataifa?

    Kwa mara ya kwanza baada ya miaka kadhaa ya mafanikio ya kujivunia mfululizo, kukua kwa soka la Tanzania kimataifa hatimaye klabu zote nne zimeondoshwa hatua ya makundi na kushindwea kuendelea Hatua ya Robo Fainali katika Michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika. Simba SC na...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hakuna timu kutoka Tanzania itakayovuka

    Ile damu iliopo ardhini bado inalia mpaka itendewe haki ndio mambo yatatulia. Na mwakani mwendo ndio huuhuu 👽 AZAM OUT 👽SIMBA OUT 👽YANGA (CCM DEPARTMENT OF SPORTS) OUT
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Naibu Mwendesha Mashtaka wa ICC akutana na Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania

    Hatujui Kombo kapewa taarifa gani, lkn yumkini itakuwa ni kuhusiana na mauaji ya 29/10 na kesi iliyofunguliwa ICC. Waliokuwa wanasema hakuna kesi iliyofunguliwa ICC na kudhani mambo yataisha, business as usual wafikirie upya. ========== On the margins of the #AUSummit in Addis Ababa, #ICC...
  4. opondo

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  5. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 The economist: Samia Suluhu Hassan ameisababishia matatizo makubwa Tanzania, toka nchi ipate uhuru

    Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru. The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War. Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Pongezi na Mapendekezo kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Napenda kutoa pongezi la dhati kwa jeshi la polisi Tanzania kwa kazi kubwa, ngumu, na yenye hatari mnayoifanya kila siku katika kulinda amani na usalama wa wananchi. Huu ni ushuhuda wa jitihada zenu, uvumilivu, na dhamira ya kutekeleza majukumu yenu kwa uadilifu. Hata hivyo, napenda kutoa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kutumia Usahili wa Kina ni njia bora ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata wabunge wenye sifa, ujuzi, na maadili mema

    “Kutumia Usahili wa Kina ni njia bora ya kuhakikisha kuwa Tanzania inapata wabunge wenye sifa, ujuzi, na maadili mema. Hii si tu inakuza maendeleo ya jimbo na taifa, bali pia inahakikisha wananchi wanapewa wawakilishi wanaowakilisha kwa ufanisi na uwajibikaji.” Hivyo ,Kuna haja ya kuwafanyia...
  8. ubongokid

    JamiiForums Tanzania JeTanzania Inahitaji Shujaa Kama Jerry Rawlings au Tundu Lissu Anatosha?

    Habari za Wakati huu; Kuna mambo ukiyatazama kwa mbali na hata kwa ukaribu huwezi kuelewa kabisa. 1. La kwanza ni hili la Tundu Lisu.Tundu Lisu amewekwa Gerezani takribani Mwaka mmoja.Amewekwa Mahabusu.Kesi yake inaonekana kabisa ni kesi isiyo na mashiko wala msingi.Ni kesi ya kubumba.Swali ni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa Tanzania umedidimishwa na Kikwete, Magufuli na Samia

    Kikwete ndiyo alianza mambo ya mitandao , akaja dikteta fake mwendazake Magufuli na huyu Mama wa machawa Samia. Hawa wamechangia sana kwenye kudidimiza tamaduni na ndiyo waliouwa demokrasia
  10. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Developers wa Tanzania

    Kumekuwa na hofu kubwa sana kuhusu AI, wengi wanaiona kama adui au tishio kwenye ajira na future ya Software Development. Lakini ukweli ni kwamba AI si adui ni tool muhimu sana hasa katika kipindi hiki cha mapinduzi ya teknolojia. Kama una misingi mzuri wa Software Engineering, AI inakuongezea...
  11. Inside10

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Mafanikio Ya Tanzania Yanaonewa Wivu Na Wengi

    https://www.instagram.com/reel/DUsyVutAudz/?igsh=N3lkOHM0bm52anVs
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Tanzania Waendelea kwa Kipaji cha Mafunzo kwa Wafanyakazi wa Reli

    Kwa miaka mitatu na nusu, Amina Ally Sauko amesaidia kuratibu operesheni za treni za Shirika la Reli la Tanzania (TRC) kutoka kwenye Kituo chake cha Usimamizi wa Operesheni kilichoko jijini Dar es Salaam, ambako uhakika na kufanya kazi pamoja kama timu ni muhimu. Amina, ofisa usafiri wa TRC...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Je, mahakama ya Tanzania inaweza kuendeshwa kama mechi ya Simba na Yanga?

    Inajulikana ndani ya mahakama kunakuwa na mchuano mkali wa hoja za ,utaratibu na ushahidi bila mihemuko. Je ni sahihi kuwa na mashabiki wa pande mbili kila mmoja akivutia upande wake? Wakati Yesu anahukumiwa pasipo haki pilato alisimama mbele ya wayahudi akawa anahoji baadhi ya maswali muhimu...
  14. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Risk Officer and Credit Analyst Officer Jobs at First Housing Finance Tanzania – February 2026 (2 Positions)

    Company Overview First Housing Finance (Tanzania) Limited is the leading housing finance company in Tanzania. We are dedicated to offering long-term housing finance solutions to Tanzanian citizens. As a pioneer in the Tanzanian housing finance market, we provide a diverse portfolio of mortgage...
  15. Isenye

    JamiiForums Tanzania Maswali ya oral interview Tanzania Commercial Bank,nafasi ni Relationship officer ii.

    Habari za leo wapambanaji wenzangu. Nimebahatika kuitwa oral interview nafasi ya relationship officer ii mwajiri ni Tanzania commercial bank. Ningeomba mwenye kujua hawa jamaa huwa wanauliza maswali ya aina gani anisaidie.. Asante
  16. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vigezo alivyotumia Trump kutaka kununua kisiwa cha Island atumie pia kuinunua Tanzania ili tupumue

    Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi 1. Kodi ya aridhi 2. Kodi ya majengo 3. Lesen 4.kodi kwenye luku 5. Kodi ya miamala ya fedha 6.kodi ya mizani 7.kodi ya ya mafremu 8.kodi ya maegesho 10.kodi ya biashara 11.kodi kibali cha...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania janga waenda Russia !!!

    https://www.youtube.com/watch?v=tx3B0RfO9-U wenzetu https://youtu.be/8p9riRjgazo?si=8faEViuKjxL8ndY2 Kenya wamepata $1.6B kwenye mkutano mmoja wakati biashara ya Tanzania na Urusi ni $400M tu kwa mwaka. Akili za wajinga wajinga ndiyo wanatuongoza
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

    Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani. Uongozi butu!. Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashuka nafasi 1 kwenye mapambano dhidi ya rushwa duniani

    Wakuu, Kwa mujibu wa takwimu za Taasisi ya Transparency International, ambayo huandaa ripoti ya kila mwaka ya kuonesha takwimu na mwenendo wa rushwa duniani (Corruption Perception Index Report) Tanzania imepata alama 40 chini ya 100 ikiwa ni pungufu wa nafasi moja ukilinganisha na mwaka 2024...
Back
Top Bottom