Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Baada ya mwanachama kustaafu rasmi utumishi wake, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii husika unatakiwa kuchakata na kulipa mafao ya mstaafu ndani ya siku sitini (60) tangu kukamilika kwa nyaraka zote muhimu za madai ya mafao.
Kisheria, masharti haya yameainishwa wazi katika sheria mbalimbali za hifadhi...
Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala.
Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
Saudi arabia anahangaika kulipa mabilioni ili Barcelona na real Madrid wakacheze kwenye ardhi yao, nasikia alitaka kuwalipa england pesa mechi za mzunguko WA pili WA EPL zikachezwe saudia SIJUI walifikia wapi.
Kuna kisiwa cha amani kinajiita HIVO mawazir wake huvaa miwani MIKUBWA utasema yes we...
Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana.
Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
Ukweli ni kwamba nchi yetu inahali ya kisiasa na kiuchumi mbaya sana.hali ambayo imesababishwa na uongozi mmbovu.tunaongozwa na viongozi waovu. Ili mambo yabadilike viongozi waovu waondolewe kuanzia Rais na wenzake,siasa ziwe bora,haki itawale ndani ya...
Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania? Jee ni:
1. Umaskini
2. Kupungua kwa ushawishi wa dini kwa jamii?
3. Malezi ya hovyo kwa watoto?
4. Maendeleo ya teknolojia ya kupashana habari?
5. Kufuata Mila za mataifa ya nchi nyingine.
Jee tabia hizi pia zimeathiri mahusiano kati ya wanaume...
Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa kauli yenye msisitizo mkubwa kuhusu hali halisi ya uchumi wa Tanzania, akiongea bungeni jijini Dodoma. Akizungumza katika kikao na wanahabari, Mbunge Shigongo amesema kuwa licha ya rekodi rasmi kuonyesha kuwa uchumi wa nchi unaendelea kukua...
Habari zenu
Mara nyingi hua nasikiliza story mbalimbali za maisha ya jela nchi tofauti tofauti. Ubakaji wanaume kwa wanaume, madawa ya kulevya, ukatili, nk
ila hua siskii sana story za maisha ya Jela Tanzania. Story halisi za watu walio-onja maisha ya jela kwa muda mfupi au miaka.
Iwapo una...
Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
Habari Tanzania !
Mimi na Wewe ni marafiki. Tunapendana sana. Tunaishi taifa moja na kwanini leo nikunyime Elimu.
Karibu.
Y = C + S ni sawa na kusema;
Y= C+ I
Hii maana yake;
Y = Income/ Kipato
C= Consumptions/ Matumizi
S = Savings/ Hifadhi
I = Investment/ Uwekezaji
Nawaletea mambo kwa...
GT
Habari ndiyo hiyo kwisha kabisa. Vibanda umiza kwa sasa wanapitia wakti mgumu sana mapato ya uwanjani hakuna TFF mtakula nyasi hadi mkome.
Hata kwa mechiza ulaya.watu hawana interest hata kidogo. FIFA wanaposema siasa zijitenge na mpira huwa wana maana kubwa sasa.
Sasa uchawa wa kwenye...
Papa akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania
Ni katika nchi ya Tanzania ambayo Tume ya uchunguzi iko inafanya kazi ili kubaini wahusika wa vurugu zilizoibuka mwezi Oktoba 2025 iliyopita katika tukio la uchaguzi.
Na Angella Rwezaula, - Vatican.
Papa Leo XIV, kabla ya Katekesi yake...
Kwa hii overview fupi ya Tanzania unaonaje future yetu ya miska 15 mbele?
Tanzania Yalenga Kusaini Mradi wa Gesi (LNG) wa Dola Bilioni 42 Kabla ya Juni
Baada ya miaka kadhaa ya kukwama, Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini mkataba wa mradi mkubwa wa kusindika gesi asilia (LNG) wenye thamani...
Nchini Tanzania familia nyingi bado zinahangaika kutafuta miili ya wapendwa wao waliopotea wakati wa machafuko ya wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika miezi mitatu iliyopita.
Mashirika ya haki za binadamu yanasema mamia ya watu huenda walizikwa kwenye makaburi ya pamoja, huku serikali...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV, ameahidi kuiombea Tanzania amani na utulivu, baada ya vurugu za Oktoba 29, mwaka jana, huku akidokeza amewahi kuishi nchini katika mikoa ya Morogoro, Dar es Salaam, Ruvuma na Arusha.
Ahadi hiyo ya Papa Leo, imetokana na ombi lililowasilishwa...
Katika diplomasia ya kiuchumi, thamani ya fedha ni kama sumaku. Inaposhuka, inavuta wateja na watalii kuja ndani ya nchi, na inapopanda sana, inawafukuza na kuwapeleka kwa majirani. Kwa kutumia mfano wa Tanzania na Kenya, hivi ndivyo mantiki hii inavyofanya kazi katika biashara na utalii:
Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.